You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Matokeo ya AfD ni "adhabu" kwa serikali ya Scholz?
Kufuatia ushindi wa AfD, Scholz amevitaka vyama vikuu kuunda serikali bila ya vyama vya mirengo mikali ya kulia.
Chama cha AfD chashinda uchaguzi Thuringia
Wachambuzi wana wasiwasi kuhusu kuimarika kwa chama cha AfD nchini Ujerumani.
Rais wa Poland aitaka Ujerumani iwalipe fidia ya vita
Rais Andrzej Duda wa Poland aitaka Ujerumani iwalipe fidia kwa uharibifu wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Watu wa Thuringia na Saxony washiriki uchaguzi muhimu
Thuringia na Saxony
Poland inaadhimisha miaka 85 tangu Vita vya Pili vya Dunia
Poland inaadhimisha miaka 85 tangu kuzuka kwa Vita vya Pili vya Dunia
AfD yatafuta uungwaji mkono katika chaguzi Saxony, Thuringia
Shirika la ujasusi Ujerumani,limekiorodhesha chama cha AfD katika majimbo ya Thuringia na Saxony kuwa cha itikadi kali.
Ujerumani yahitimisha shughui za kijeshi Niger
Wanajeshi wa mwisho wa Ujerumani waliokuwa Niger, wameondoka nchini humo na kurejea nyumbani Ujerumani jana Ijumaa.
Watu 6 wajeruhiwa katika shambulio jipya la kisu Ujerumani
Watu sita wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa kisu wakiwa ndani ya basi katika mji wa Siegen magharibi mwa Ujerumani.
Ujerumani: Watu 6 wajeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa kisu
Hayo yanajiri wakati Ujerumani bado inaomboleza vifo vya watu 3 kufuatia shambulio jingine la kisu huko Solingen.
Ujerumani yawatimua wahalifu wa Afghanistan
Ujerumani imesema haitachukuwa hatua za kurejesha uhusiano wa kawaida na Taliban.
Ujerumani yaanza kuwarejesha nyumbani raia wa Afghanistan
Ujerumani yaanza kuwarejesha nyumbani raia wa Afghanistan
Wajerumani weusi wahofia ushindi wa chama cha AFD
Chama cha mrengo mkali wa kulia cha AFD kinaongoza kueleke uchaguzi wa majimbo mashariki mwa Ujerumani.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Maswala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na mvutano wa miaka mingi kati ya Misri na Ethopia juu ya udhibiti wa maji ya mto Nile. Mlipuko wa maambukizi ya virusi vya Mpox kwenye nchi kadhaa za Afrika. Mjerumani, Bruno Labbadia, atakuwa kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya Nigeria.
Siku ya kulinda jamii ya nyani duniani
Je unafahamu kuwa kuna aina 200 ya Wanyama wa Jamii ya Nyani duniani? Septemba mosi kila mwaka ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuwalinda Wanyama jamii ya nyani duniani. Kituo kimoja kilichoko Diani pwani ya Kenya, kinawahifadhi Wanyama hao. #kurunzi
Sullivan akutana na Rais wa China Xi Jinping
Rais Xi Jinping asema dhamira ya China ya uhusiano bora na Marekani bado haijabadilika
Ujerumani yatangaza sheria kali za umiliki wa silaha
Serikali ya Ujerumani imekubali kuimarisha udhibiti wa silaha, ili kukabiliana na uhamiaji usio wa kawaida na kuchukua h
Ujerumani yamtimua mkuu wa kituo cha Iran
Wiki tano baada ya Kituo cha Iran kilicho Hamburg (IZH) kupigwa marufuku baada ya kuorodheshwa kama kituo cha
Uingereza yataka kurudisha mahusiano ya karibu na EU
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema anataka kuanzisha ukurasa mpya wa mahusiano na Umoja wa Ulaya.
Sura ya Ujerumani: Umaarufu wa AfD Ujerumani Mashariki
Makala ya Sura ya Ujerumani inamulika je, ushawishi mkubwa wa chama cha AfD mashariki mwa Ujerumani unatokana na nini?
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer yuko ziarani Berlin
Mahusiano ya Uingereza na jumuiya ya Umoja wa Ulaya yalipwaya baada ya mchakato wa Brexit wa kujiondoa muunganao huo.
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer azuru Ujerumani
Kiongozi huyo wa Uingereza baada ya mazungumzo yake mjini Berlin anatarajiwa kufanya ziara nchini Ufaransa.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 28 Agosti 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 28 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Starmer afanya ziara Berlin kujadili mkataba na Ujerumani
aada ya Berlin, Starmer atasafiri kwenda Paris kukutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.
Mkuu wa shirika la IAEA atembelea kinu cha Nyulia cha Kursk
Grossi amesema anaongoza ujumbe kuendesha uchunguzi huru wa matukio yanayoshuhudiwa kufuatia mashambulizi ya mapakani.
Je, shambulio la kisu Solingen litaathiri sera ya uhamiaji?
Kansela Scholz ameahidi kutazama upya sheria ya uhamiaji. Dr. Mwilima anatathmini kuhusu athari za shambulio hilo.
27.08.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 27 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine
Miundombinu ya nishati imelengwa na kusababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini humo.
Ujerumani kuongeza kasi ya kuwarudisha wahamiaji makwao
Serikali ya kansela Scholz inazidi kukosolewa kwa kushindwa kudhibiti uhamiaji na sheria za kubeba silaha
Scholz asema shambulizi la kisu Solingen ni ´ugaidi´
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameliita shambulizi la kisu la wiki iliyopita kuwa ni "ugaidi dhidi ya kila mmoja".
Ujerumani yachangia dozi laki 1 za chanjo ya mpox
Ujerumani inatarajiwa kupeleka dozi 100,000 za chanjo ya mpox kwenye baadhi ya mataifa ya Afrika yaliyoathiriwa.
Scholz atembelea Solingen kulikofanyika shambulio la kisu
Waendesha mashtaka wa Ujerumani wanaopambana na ugaidi wanamchunguza mtu huyo anayeitwa Issa al- H.
Urusi yashambulia vituo vya nishati magharibi mwa Ukraine
Urusi imevishambulia vituo vya nishati vilivyoko katika mji wa Lviv magharibi mwa Ukraine.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 26 Agosti 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 26 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Mshukiwa wa shambulio la Solingen kufikishwa mahakani
Mshukiwa wa shambulio la kisu la mji wa Solingen amepelekwa Karlsruhe kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.
Mshukiwa wa shambulio la kisu Ujerumani ajisalimisha Polisi
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amelaani shambulio hilo na kuahidi kuimarisha sheria kuhusu visu.
Polisi yaapata kifaa inachoshuku kimetumika Solingen
Scholz amelitaja shambulio hilo kuwa ni uhalifu wa kutisha na kwamba serikali itausaidia mji huo na watu wake.
Scholz alaani shambulio lililowauwa watu watatu Solingen
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alaani shambulio la kisu Solingen.
Nancy Faeser alaani shambulio la kisu Solingen
Polisi imesemakwa sasa msako mkali unaendelea ili kumkamata mhusika wa tukio hilo.
Ujerumani: Watu watatu wauawa katika shambulizi la kisu
Tamasha hilo lilikuwa sehemu ya mfululizo wa matukio ya kusherehekea miaka 650 ya kuanzishwa mji wa Solingen.
Ujerumani: Watu watatu wauawa katika shambulizi la kisu
Tamasha hilo lilikuwa sehemu ya mfululizo wa matukio ya kusherehekea miaka 650 ya kuanzishwa mji wa Solingen.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Kwenye Afrika wiki hii, Bakari Ubena anaangazia juhudi za kupambana na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox), Sudan kukabiliwa na mlipuko wa kipindupindu, sakata la wamasai kufurushwa Ngorongoro huko Tanzania, kutoroka kwa mfungwa anayetuhumiwa mauaji ya wanawake huko Kenya, Na hatua ya Mwanasiasa mkongwe wa Kenya Raila Odinga kutangaza kujiondoa kwenye jukwaa la siasa za Kenya.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Virusi vinavyosababisha homa ya nyani vinaendelea kusambaa kwa kasi barani Afrika.
Vita vya Ukraine vyatawala kampeni za majimbo Ujerumani
Wajerumani wengi wa Mashariki wana mashaka kuhusu msimamo wa Ujerumani katika vita vya Urusi nchini Ukraine.
Je, EU inapaswa kufikiria upya sera yake kuhusu Syria?
Sera ya Umoja wa Ulaya kuhusu Syria imeshindikana huku kundi kubwa la wahamiaji likisaka hifadhi kwa nchi wanachama.
Uungwaji mkono wa AfD mashariki mwa Ujerumani
Wakati ukuta wa Berlin ulipoanguka mwaka 1989, historia iliandikwa. Ulifungua mlango kwa Ujerumani kuungana tena. Lakini takriban miaka 35 tangu wakati huo, tofauti zingalipo kati ya Ujerumani magharibi na mashariki. Na hudhihirika kwenye chaguzi. Kwa miaka mingi Ujerumani Mashariki imekuwa ngome ya chama cha mrengo wa kulia AfD. Je uungwaji wao mkono watokana na nini?
Ujerumani kusaidia kubaini visa vya Mpox nchini Kongo
Visa vya mpox na vifo vinaongezeka barani Afrika, ambako milipuko imeripotiwa Kongo, Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda.
Manuel Neuer atangaza kustaafu soka la kimataifa
Manuel Neuer atangaza kustaafu soka la kimataifa akiwa na umri wa miaka 38
Ujerumani kupeleka Kongo maabara ya kukabiliana na Mpox
Ujerumani kupeleka Kongo maabara ya kukabiliana na Mpox
Umoja wa Mataifa waomba msaada wa dola milioni 18.5 kwa Mpox
Umoja wa Mataifa waomba msaada wa dola milioni 18.5 kwa Mpox
Polisi Ujerumani yasema wahamiaji haramu waongezeka 2023
Polisi Ujerumani yasema wahamiaji haramu waongezeka 2023
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 137
Ukurasa unaofuatia