You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kansela Scholz atetea sera ya serikali yake kuhusu uhamiaji
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani ametetea sera ya serikali yake, kuhusu uhamiaji mbele ya bunge mjini Berlin leo.
Scholz na upinzani walumbana bungeni kuhusu uhamiaji
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema upinzani unalitumia swala la uhamiaji kama mtaji wa kisiasa nchini humo.
Idadi ya vijana wanaonaswa kwa ugaidi yaongezeka Ulaya
Ni, jinsi gani kundi la itikadi kali linalojiita dola la kiislamu IS linashawishi vijana Ulaya kushambulia maadui zake?
Scholz arejelea wito wa mkutano wa amani kuhusu Ukraine
Akizungumza bungeni mjini Berlin kiongozi huyo wa Ujerumani amesema huu ndio wakati wa kutumia fursa zilizobakia.
Ulaya na ukaguzi wa muda wa mipakani kukabili wahamiaji
Sheria za Schengen zinaruhusu nchi wanachama kuanzisha ukaguzi wa mipakani ili kuepusha tishio la usalama wa ndani.
Ujerumani yaijaribu EU kwa kuongeza udhibiti mipakani
Udhibiti wa mipaka unatarajiwa kuanza wiki ijayo na kudumu kwa miezi sita, na tayari unatishia umoja wa Ulaya.
Muungano wa upinzani wa Ujerumani wajadili tena uhamiaji
Mkutano huo wa ngazi ya juu kuhusu uhamiaji unalenga kufafanua mkakati wa pamoja wa serikali.
Ujerumani yaanza maisha vizuri bila ya Toni Kroos na Neuer
Kikazi kipya cha Ujerumani chaanza vizuri kwa kuitandika Hungary 5-0 katika mechi ya kundi A3 UEFA Nations League.
Kansela Scholz atoa wito wa juhudi mpya za amani, Ukraine
Urusi na Ukraine hazijaweza kufanikisha mazungumzo ya amani tangu Urusi ilipoivamia rasmi Ukraine mwaka 2022
Idara ya upelelezi ya Ujerumani yaishutumu Urusi kwa hujuma
Idara ya upelelezi imesema Urusi pia ilifanya hujuma hizo kabla ya kuivamia Ukraine.
Ujerumani yawasilisha mswada wa kuharakisha uhamishaji
Pendelezo la kuharakisha uhamiaji linakuja wiki mbili baada ya shambulizi baya la kisu mjini Solingen.
Rais wa Chad Idriss Deby Itno afanya ziara nchini Hungary
Rais Idriss Deby Itno afanya ziara Hungary baada ya kuhudhuria mkutano wa China-Afrika mjini Beijing.
Papa Francis aendelea na ziara huko Papa New Guinea
Francis ametoa kauli hiyo wakati alipokutana na wanasiasa, wanadiplomasia na viongozi wa asasi za kiraia nchini humo.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyoandikwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na swali lililoulizwa na gazeti la die tageszeitung, jee nani ni rafiki mkubwa kabisa wa China? Juu ya kifo cha mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei. Nchi tano ndizo hasa zinahusika kupeleka silaha zinazokoleza vita nchini Sudan.
Benki ya Dunia, Ufaransa kuikopesha Uganda dola milioni 600
Dola milioni 566 ni mkopo kutoka Benki ya Dunia na dola milioni 42.7 zitatolewa na AFD.
Ujerumani yatangaza msaada zaidi wa kibinadamu kwa Gaza
Baerbock ametoa tangazo hilo katika mkutano na waziri wa mambo ya nje wa Jordan Ayman al-Safadi mjini Amman.
Papa Francis aelekea Papua New Guinea katika ziara ya siku 3
Ziara ya siku 3 ya Papa Francis nchini Papua New Guinea itamfikisha mji mkuu wa Port Moresby na kukutana na viongozi.
Marekani na Ujerumani kujadili misaada kwa Ukraine
Ujumbe wa Marekani waja Ujerumani kujadili misaada kwa Ukraine katika kambi ya Ramstein.
Ramaphosa apongeza ahadi ya China kwa Afrika
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa asema ahadi ya Rais Xi Jinping, kufadhili dola bilioni 50 kwa Afrika ni faida.
Ujerumani yataka mzozo wa Gaza umalizike
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock amesema jinamizi la mzozo wa Gaza lazima limalizike.
Chama cha BSW Ujerumani kinasimamia nini?
Chama cha BSW cha Ujerumani kina chini ya mwaka mmoja tangu kuundwa kwake, lakini tayari kimepata mafanikio katika chaguzi tatu. Je, chama hiki kipya cha kipopulisti kinasimamia nini?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani awasili Saudi Arabia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock aitaka Israel kutokataa tena kujadili suluhisho la mataifa mawili.
Biashara Ujerumani zatiwa hofu na mafanikio ya AfD Mashariki
Kuna hofu ya vijana na wenye uwezo zaidi kuyakimbia majimbo haya mawili na kuelekea kule wanakojihisi kuthaminiwa.
Wanasiasa nchini Ujerumani wajadiliana sera ya uhamiaji
Mtu mmoja raia wa Syria aliwachoma visu watu waliokuwa tamashani katika mji wa Solingen na kuibua mjadala wa uhamiaji.
Wajumbe wa vyama wakutana kujadili mashambulio ya Solingen
Mtuhumiwa ni mtu anayedaiwa kuwa mwenye itikadi kali kutoka Syria.
Joshua Kimmich:Nahodha mpya wa timu ya taifa ya Ujerumani
Beki wa Real Madrid Antonio Rüdiger na mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz watakuwa manahodha wasaidizi.
Vyama rafiki na Urusi Ujerumani vyapata mafanikio
Vyama vya rafiki na Urusi nchini Ujerumani vya AFD na BSW vinamafanikio kwenye uchaguzi uchaguzi wa majimbo.
Wanawake na Maendeleo
Bi. Asawar Mustafa, mwanamke mkimbizi kutoka Sudan anayefanya kazi ya ufundi wa magari nchini Libya amefanikiwa kwa vitendo na kuonesha kwamba mwanamke pia anaweza kuwa fundi gereji hodari na kwamba kazi hiyo si ya wanaume pekee. Makala hii imeandaliwa na Zainab Aziz.
Matokeo ya AfD ni "adhabu" kwa serikali ya Scholz?
Kufuatia ushindi wa AfD, Scholz amevitaka vyama vikuu kuunda serikali bila ya vyama vya mirengo mikali ya kulia.
Chama cha AfD chashinda uchaguzi Thuringia
Wachambuzi wana wasiwasi kuhusu kuimarika kwa chama cha AfD nchini Ujerumani.
Rais wa Poland aitaka Ujerumani iwalipe fidia ya vita
Rais Andrzej Duda wa Poland aitaka Ujerumani iwalipe fidia kwa uharibifu wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Watu wa Thuringia na Saxony washiriki uchaguzi muhimu
Thuringia na Saxony
Poland inaadhimisha miaka 85 tangu Vita vya Pili vya Dunia
Poland inaadhimisha miaka 85 tangu kuzuka kwa Vita vya Pili vya Dunia
AfD yatafuta uungwaji mkono katika chaguzi Saxony, Thuringia
Shirika la ujasusi Ujerumani,limekiorodhesha chama cha AfD katika majimbo ya Thuringia na Saxony kuwa cha itikadi kali.
Ujerumani yahitimisha shughui za kijeshi Niger
Wanajeshi wa mwisho wa Ujerumani waliokuwa Niger, wameondoka nchini humo na kurejea nyumbani Ujerumani jana Ijumaa.
Watu 6 wajeruhiwa katika shambulio jipya la kisu Ujerumani
Watu sita wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa kisu wakiwa ndani ya basi katika mji wa Siegen magharibi mwa Ujerumani.
Ujerumani: Watu 6 wajeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa kisu
Hayo yanajiri wakati Ujerumani bado inaomboleza vifo vya watu 3 kufuatia shambulio jingine la kisu huko Solingen.
Ujerumani yawatimua wahalifu wa Afghanistan
Ujerumani imesema haitachukuwa hatua za kurejesha uhusiano wa kawaida na Taliban.
Ujerumani yaanza kuwarejesha nyumbani raia wa Afghanistan
Ujerumani yaanza kuwarejesha nyumbani raia wa Afghanistan
Wajerumani weusi wahofia ushindi wa chama cha AFD
Chama cha mrengo mkali wa kulia cha AFD kinaongoza kueleke uchaguzi wa majimbo mashariki mwa Ujerumani.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Maswala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na mvutano wa miaka mingi kati ya Misri na Ethopia juu ya udhibiti wa maji ya mto Nile. Mlipuko wa maambukizi ya virusi vya Mpox kwenye nchi kadhaa za Afrika. Mjerumani, Bruno Labbadia, atakuwa kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya Nigeria.
Siku ya kulinda jamii ya nyani duniani
Je unafahamu kuwa kuna aina 200 ya Wanyama wa Jamii ya Nyani duniani? Septemba mosi kila mwaka ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuwalinda Wanyama jamii ya nyani duniani. Kituo kimoja kilichoko Diani pwani ya Kenya, kinawahifadhi Wanyama hao. #kurunzi
Sullivan akutana na Rais wa China Xi Jinping
Rais Xi Jinping asema dhamira ya China ya uhusiano bora na Marekani bado haijabadilika
Ujerumani yatangaza sheria kali za umiliki wa silaha
Serikali ya Ujerumani imekubali kuimarisha udhibiti wa silaha, ili kukabiliana na uhamiaji usio wa kawaida na kuchukua h
Ujerumani yamtimua mkuu wa kituo cha Iran
Wiki tano baada ya Kituo cha Iran kilicho Hamburg (IZH) kupigwa marufuku baada ya kuorodheshwa kama kituo cha
Uingereza yataka kurudisha mahusiano ya karibu na EU
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema anataka kuanzisha ukurasa mpya wa mahusiano na Umoja wa Ulaya.
Sura ya Ujerumani: Umaarufu wa AfD Ujerumani Mashariki
Makala ya Sura ya Ujerumani inamulika je, ushawishi mkubwa wa chama cha AfD mashariki mwa Ujerumani unatokana na nini?
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer yuko ziarani Berlin
Mahusiano ya Uingereza na jumuiya ya Umoja wa Ulaya yalipwaya baada ya mchakato wa Brexit wa kujiondoa muunganao huo.
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer azuru Ujerumani
Kiongozi huyo wa Uingereza baada ya mazungumzo yake mjini Berlin anatarajiwa kufanya ziara nchini Ufaransa.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 28 Agosti 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 28 Agosti 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 139
Ukurasa unaofuatia