1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sura ya Ujerumani: Umaarufu wa AfD Ujerumani Mashariki

Angela Mdungu
28 Agosti 2024

Ukuta wa Berlin ulipoanguka mwaka 1989, historia iliandikwa Ujerumani. Hatua hiyo ilisafisha njia ya muungano wa pande mbili za Ujerumani, Mashariki na magharibi kuwa kitu kimoja. Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia AfD kinazidi kukua kwa kasi katika upande wa mashariki. Ungana na Angela Mdungu katika Makala ya Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/4k13j