1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya kulinda jamii ya nyani duniani

30 Agosti 2024

Je unafahamu kuwa kuna aina 200 ya Wanyama wa Jamii ya Nyani duniani? Septemba mosi kila mwaka ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuwalinda Wanyama jamii ya nyani duniani. Kituo kimoja kilichoko Diani pwani ya Kenya, kinawahifadhi Wanyama hao. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4k5R5