You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Maandamano Kenya
Kombe la EURO 2024 Ujerumani
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Teknolojia
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Ununuzi wa bidhaa mtandaoni upo katika hali gani Afrika?
Ununuzi wa bidhaa mtandaoni upo katika hali gani Afrika?
Wataalam wanasema licha ya sekta hiyo ya biashara kuwa muhimu barani Afrika lakini bado inakabiliwa na changamoto.
AI huathiri vipi maendeleo ya akili ya binadamu?
AI huathiri vipi maendeleo ya akili ya binadamu?
Akili ya kubuni (AI) imeendelea kukuwa na hata kutumika katika sekta mbalimbali ikiwemo rasmi na zile ambazo si rasmi. Kundi la wanafunzi nalo halijabaki nyuma, wanatumia teknolojia hii pia. Lakini lipo kundi ambalo lina wasiwasi kwamba matumizi yaliokithiri ya akili ya kubuni yanaweza kuhatarisha maendeleo ya akili ya binadamu katika kufikiri.
Meta kuchunguzwa juu ya usalama wa watoto mtandaoni
Meta kuchunguzwa juu ya usalama wa watoto mtandaoni
Uchunguzi huo unalenga kubaini ikiwa kampuni ya META imekwenda kinyume na kanuni kali za kidijitali za Umoja wa Ulaya.
Tanzania: Hatufahamu hitilafu ya Intaneti itakwisha lini
Tanzania: Hatufahamu hitilafu ya Intaneti itakwisha lini
Amina Aboubakar amezungumza na msemaji wa serikali ya Tanzania Mobhare Matinyi kuhusu hitilafu ya huduma ya Intaneti.
Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini
Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini
Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini
Maroboti katika usambazaji wa chakula
Maroboti katika usambazaji wa chakula
Makala ya Sema Uvume wiki hii inaangazia maendeleo mapya katika sekta ya usambazaji wa vyakula ambapo sasa, maroboti yameanza kutoa huduma hiyo. Pia maroboti yanatumika kukusanya taarifa kutoka katika sehemu ya chini kabisa ya bahari. Mwandaaji wiki hii ni Angela Mdungu.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
DW Kiswahili inapatikana kupitia mtandao wa Instagram
Jielimishe zaidi