1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

23 Agosti 2024

Kwenye Afrika wiki hii, Bakari Ubena anaangazia juhudi za kupambana na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox), Sudan kukabiliwa na mlipuko wa kipindupindu, sakata la wamasai kufurushwa Ngorongoro huko Tanzania, kutoroka kwa mfungwa anayetuhumiwa mauaji ya wanawake huko Kenya, Na hatua ya Mwanasiasa mkongwe wa Kenya Raila Odinga kutangaza kujiondoa kwenye jukwaa la siasa za Kenya.

https://p.dw.com/p/4jrj7