1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, shambulio la kisu Solingen litaathiri sera ya uhamiaji?

27 Agosti 2024

Nchini Ujerumani mjadala unaendelea kuhusu kisa cha kuuwawa watu watatu walioshambuliwa kwa kisu katika mji wa magharibi wa Solingen hivi karibuni, tukio ambalo limeibuwa upya hamasa miongoni mwa Wajerumani ya kutaka sheria za uhamiaji zipitiwe upya.

https://p.dw.com/p/4jxDb