Uchaguzi Mkuu wa Marekani 2024 unatarajiwa kufanyika Jumanne, Novemba 5, 2024. Katika mwaka huu wa uchaguzi wa rais, rais na makamu wa rais watachaguliwa. Makamu wa sasa rais Kamala Harris atachuana na Donald Trump.
Kusikiliza matangazo, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi: kiswahili@dw.com
Mahojiano ya moja kwa moja ya kila wiki na masuali magumu kwa mmoja wa watu muhimu kuhusu jambo muhimu lililotokea katika mataifa ya Afrika ya Mashariki na Kati.