You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Maandamano Kenya
Kombe la EURO 2024 Ujerumani
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waziri wa Ujerumani Baerbock aanza ziara Afrika Magharibi
Ni juhudi za kuongeza ushirikiano wa Ujerumani na mataifa ya Afrika Magharibi, ili kuzuia kuenea kwa ukosefu wa usalama.
Euro 2024: Ni England au Uhispania leo?
England na Uhispania, zinakutana katika mechi ya kuwania ubingwa katika michuano ya Euro 2024.
Urusi yatishia kuishambulia Ulaya
Urusi imesema, kama Marekani itapeleka makombora ya masafa marefu Ujerumani, huenda ikaishambulia miji mikuu ya Ulaya
Mafuriko yasababisha uharibifu Ujerumani
Mamlaka ya hali ya hewa ya Ujerumani imeripoti kuwa mvua za radi zinatarajiwa kuendelea wikiendi hii.
Mainnoo: Hakuna kuangalia nyuma hadi 'kazi ikamilike'
Lamine Yamal na Jude Belingham wanatarajiwa kuzibeba timu zao katika mchezo huo wa fainali ya michuano ya Euro 2024.
UEFA yaridhishwa na kiwango cha maandalizi ya Euro 2024
Kallen vile vile ameusifu mfumo wa reli wa Ujerumani ingawa shirika la treni la Ujerumani Deutsche Bahn.
Urusi: Hatuhusiki na njama za kutaka kumuua Armin Papperger
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Moscow, Dmitry Peskov amesema hawezi kutoa tamko kuhusiana na tuhuma hizo.
Ujerumani yalia na njama ya kumuua mkuu wa kampuni ya silaha
Ikulu ya Kremlin imepuuza taarifa hizo na kuziita habari za upotoshaji zisizopaswa kuchukuliwa kwa uzito wowote.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii kuhusu Afrika, yameandika juu ya yale yanayotukia nchini Kenya ambako Rais William Ruto amelivunja baraza lake la mawaziri. Umoja wa Mataifa wasema Rwanda inahusika kwa kiasi kikubwa katika mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwelekeo mpya wa nchi zinazoongozwa na wanajeshi katika Afrika magharibi.
Urusi yatuhumiwa kutaka kumuua mkuu wa kampuni ya Ujerumani
Maafisa wa ujasusi wa Marekani wamefichua mipango ya serikali ya Urusi ya kumuangamiza Armin Papperger.
Urusi: Kupeleka silaha Ujerumani kutachochea Vita Baridi
Mataifa hayo yalitangaza makubaliano ya Marekani kuanza kupeleka silaha nzito Ujerumani kukabiliana na vitisho.
Baerbock: Sina nia ya kugombea ukansela
Baerbock asema hana mpango wa kugombea ukansela katika uchaguzi ujao
Mbunge wa Ujerumani mwafrika aliyejizulu sababu ya vitisho
Hivi karibuni mbunge wa kwanza mwafrika katika bunge la Ujerumani Karamba Diaby alitangaza kung’atuka katika siasa kutokana na kukithiri kwa vitisho dhidi yake. Aliamua kuchapisha vitisho hivyo vya kuuawa katika mtandao wa Instagram na kuibua mjadala kuhusu suala la ubaguzi wa rangi Ujerumani. #kurunzi
Jeshi la Germany lina utayari kubeba dhamana NATO?
Viongozi wa Jumuia ya Kujihami ya NATO wanakutana kujadili mambo mbalimbali kuanzia kuiunga mkono zaidi Ukraine.
Shiko: Uongozi unapimwa katika kutatua changamoto
Licha ya kipaji cha kuandika mashairi lakini pia ni kiongozi wa kupigiwa mfano katika jamii yake inayokabiliwa na mapigano makali huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Shiko anaongoza kundi la vijana kwa kutumia sanaa kueleza hali inayoendelea katika taifa lake ya ukosefu wa usalama, lakini pia nafasi ya kijana kwenye jamii.
Mambo muhimu yanayojenga uhusiano wa India na Urusi
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi yuko nchini Urusi tangu Jumatatu kwa ziara inayolenga kuimarisha uhusiano kati yao.
Spain na France kutunishiana misuli nusu fainali
Ufaransa imekosolewa kwa kuonesha mchezo usiovutia.
Germany yapata alama za juu ushirikishwaji wa wahamiaji
Utafiti mpya wa OECD umegundua Ujerumani inafanikiwa kuwashirikisha wahamiaji licha ya vikwazo kama vile elimu duni.
Urusi yakisahambulia kwa droni kituo cha nishati cha Sumy
Tangu mwezi Machi, vikosi vya Urusi vimeongeza mashambulizi ya nguvu katika maeneo ya nishati ya Ukraine
Euro 2024: Spain yawatoa wenyeji Germany robo fainali
Uhispania sasa itakumbana na Ufaransa kwenye mechi ya nusu fainali katika michuano ya Euro 2024.
Magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika
Serikali mpya ya Afrika ya Kusini imeangaziwa
Serikali ya mseto ya Ujerumani yaafikiana kuhusu bajeti
Vyanzo vimesema,serikali mjini Berlin inapanga kuendelea na mpango wa sheria kali za kudhibiti nakisi ya bajeti.
Watu 830,000 wakaguliwa mipakani Ujerumani kwa siku 21
Kila siku, maafisa wa polisi 22,000 wanamwagwa barabarani na katika maeneo ya mipakani ili kushika doria .
Viongozi wa nchi wanachama wa SCO waahidi kushikamana
Baadhi ya mataifa yameahidi kusuluhisha tofauti zao huku mengine yakitangaza kuimairisha ushirikiano wao.
Putin na Xi wahudhuria mkutano wa kilele wa SCO huko Astana
Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai SCO imeahidi kuimarisha mahusiano yao ya kiuchumi na kiusalama.
Belarus yajiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai
Rais wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev alitangaza hatua hiyo na kumpongeza rais wa nchi hiyo Alexander Lukashenko.
Jenerali jeshi la Ujerumani ataka wanawake watumikie jeshi
Inspekta mkuu wa majeshi ya Ujerumani amependekeza wanawake kujumuishwa kwenye sheria ya kutumikia jeshi kwa lazima.
Putin asifu uhusiano imara kati ya Urusi na China
Urusi na China zinaiona jumuiya ya SCO kama chombo cha kupambana na vitisho vya usalama wa nje.
Putin na Xi watazamia kuongeza ushawishi wao mkutano wa SCO
Urusi na China wamezidisha uhusiano wao wa kisiasa, kijeshi na kiuchumi tangu Urusi ilipoanza uvamizi wake Ukraine.
Putin, Xi kwenye mkutano wa Ushirikiano wa Shanghai
China na Urusi wanauona ushirikiano wa SCO kama jukwaa muhimu la kuendeleza maslahi yao.
EURO 2024: Turkey na Netherlands zatinga robo fainali
Nchi zote mbili za Uturuki na Uholanzi zimefuzu hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 16.
Germany kuwalipa fidia maelfu ya waathirika walio hai
Kansela Olaf Scholz andamana na mawaziri wake 12 kwenye ziara ya nchini Poland
Umasikini unavyowatesa wastaafu Germany
Mstaafu mmoja kati ya watano nchini Ujerumani anakabiliwa kuwa katika hatari ya umasikini, kulingana na ofisi ya takwimu ya Ujerumani. Idadi ni kubwa zaidi hasa kwa upande wa wanawake
EURO 2024: Wenyeji Ujerumani watakiweza kishindo cha Uhispania?
Ujerumani itapambana na Uhispania katika robo fainali ya EURO 2024 mnamo Julai 5 huko Stuttgart. Kulingana na mlinda lango wa timu ya taifa ya Georgia, Giorgi Mamardashvili ambaye timu yake ililazwa na Uhispania 4-1 Jumapili, mabingwa hao wa dunia mwaka 2010, ndio watakaoibuka na ubingwa. Jacob Safari amezungumza na mchambuzi Sekione Kitojo kuhusu jinsi mambo yatakavyokuwa katika robo fainali.
Akili mnemba katika soka
Makala ya Sema Uvume leo inamulika namna akili mnemba inavyotumika na inavyotarajiwa kutumika katika maeneo mbalimbali ya mpira wa miguu.
Wapinzani Germany wataka Waukraine wasiofanya kazi wafukuzwe
Vyama vya mrengo wa wastani wa kulia nchini Ujerumani vinashinikiza waukraine wasiotaka kutafuta kazi warudishwe kwao.
Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA ajiunga na CCM
Mchungaji Msigwa amepokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
EURO 2024: Germany yatinga robo fainali
Wenyeji walipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Denmark licha ya mechi kusitishwa kwa muda kutokana na dhoruba na radi.
Wachama wa AfD wachagua viongozi wao leo
Essen, Wanachama cha mrengo wa kulia Alternative for Germany AfD wamekusa
Kitisho cha hali ya hewa kwa mechi ya Germany na Denmark
Hali mbaya ya hewa inaweza kuathiri mechi ya Ujerumani dhidi ya Denmark
Polisi yakabiliana na waandamanaji mjini Essen Ujerumani
Polisi yakabiliana na waandamaanaji mjini Essen Ujerumani
Nagelsmann atumai Rudiger atacheza dhidi ya Denmark
Ujerumani itakabana koo na Denmark mjini Dortmund wakati Uswisi ikivaana na mabingwa watetezi Italia mjini Berlin.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Idadi ya watu wasio na ajira Ujerumani yaongezeka mwezi Juni
Idadi ya wasiokuwa na ajira nchini Ujerumani imeongezeka hadi watu milioni 2.72 mwezi huu wa Juni.
Mashambulizi DR Congo yaua wanajeshi 2 wa Afrika Kusini
Mashambulizi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya wanajeshi wawili wa Afrika Kusini.
Germany yaanza kutekeleza mageuzi ya sheria ya uraia
Sheria ya uraia iliyozua mjadala mrefu imeanza kutekelezwa Alhamisi nchini Ujerumani.
Euro 2024: Timu 16 zajipanga katika hatua ya mchujo
Ukraine inakuwa timu ya kwanza kutolewa ikiwa na pointi nne tangu mashindano hayo kuanza katika muundo wake wa sasa.
Mwanajeshi mmoja wa Israel auawa Ukingo wa Magharibi
Mwanajeshi mmoja wa Israel ameuawa na mwingine amejeruhiwa vibaya wakati wa operesheni ya kijeshi Ukingo wa Magharibi.
Germany kuwafukuza wanaotoa machapisho ya chuki
Mageuzi hayo ya serikali kuu ya Ujerumani yanalenga kukabiliana na kuenea kwa chuki ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 134
Ukurasa unaofuatia