You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Netanyahu: Hamas inatakiwa kuangamizwa kama ISIS
Netanyahu: Hamas wanatakiwa kuchukuliwa hatua sawasawa kama ISIS ilivyochukuliwa.
Warepublican wamteua Steve Scalise kuwania uspika
Chama cha Republican kinachokabiliwa na mgawanyiko mkubwa kimemteua Steve Scalise kuchukua nafasi ya spika.
Ajenda ya mahusiano kati ya Israel na mataifa ya kiarabu
"Vitendo vya Hamas vinatoa ukumbusho uliyo wazi kwa Saudia kwamba suala la Palestina lisichukuliwe kama mada rahisi tu"
Ujerumani kuipa NATO wanajeshi 35,000 kuanzia 2025
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amesema nchi yake itaanza kuipa NATO wanajeshi 35,000 kuanzia 2025.
Hunter Biden afutiwa kesi ya kumiliki silaha
Jaji wa kesi dhidi ya Hunter Biden amelikataa ombi la waendesha mashitaka na hivyo kufuta shitaka hilo dhidi yake.
Mashambulizi Israel, Gaza yaingia siku ya sita
Idadi ya watu waliokwishauawa pande zote mbili za mzozo huu sasa imepindukia 2,300.
Marekani yatangaza msaada mpya wa kijeshi kwa Ukraine
Ubelgiji nayo imetangaza kuwa itapeleka ndege za kivita chapa F-16 kwa Ukraine kuanzia mwaka 2025 ikiwemo mafunzo.
Marekani yasitisha msaada wa dola milioni 500 kwa Niger
Marekani imesitisha msaada huo kwa Niger kufuatia mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Mohamed Bazoum.
Wanajeshi wa Ufaransa wameanza kuondoka nchini Niger
Haya yanajiri wakati Marekani ikikatiza msaada kwa Niger
Rwanda yakosolewa kwa vitisho na mauaji ya wakosiaji ugenini
Shirika la Human Rights Watch limesema Rwanda imewaua, kuwashambulia na kuwapoteza wakosoaji wake nje ya mipaka ya nchi.
Blinken azungumza na Bazoum kwa njia ya simu
Antony Blinken amezungumza kwa njia ya simu na rais wa Niger aliyeondolewa mamlakani Mohamed Bazoum.
Biden: Kuna uwezekano wa kukutana na Rais wa China
Uhusiano kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani umekabiliwa na mivutano ya kisiasa na kichumi.
Rais wa Ujerumani Steimeier akutana na Biden wa Marekani
Viongozi hao wanatarajiwa kusisitiza mshikamano baina ya nchi zao na pia katika kuinga mkono Ukraine.
EU kuiunga mkono Ukraine lakini kutoziba pengo la Marekani
Zelensky amesema ana imani bado anaungwa mkono na pande zote nchini Marekani.
Marekani yaonya kuhusu kampeni ya upotoshaji wa China
Marekani imetahadharisha dhidi ya kampeni ya kueneza taarifa potoshi za China zinazoweza kudhoofisha amani ulimwenguni.
Spika wa bunge la Marekani McCarthy aondelewa madarakani
Kevi McCarthy ndiye spika wa kwanza wa Baraza la Wawakilishi katika historia ya Marekani kupigiwa kura ya kuondolewa.
Tishio la Marekani kusimamisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine
Wabunge wa Republican wanashikilia kwamba uungwaji mkono unaoendelea wa Marekani kwa Ukraine hauna uhakika.
Kevin McCarthy aondolewa kama Spika wa Bunge la Marekani
Wabunge wa mrengo wa kulia kutoka chama cha Republican wamemtimua spika wa bunge la Marekani katika kura ya kihistoria.
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani aondolewa
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani aondolewa
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani aondolewa.
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani aondolewa
China yaaita Marekani kuwa dola la ulaghai
China yaaita Marekani kuwa dola la ulaghai
Marekani yaionya Serbia kuhusu jeshi lake
Marekani yaionya Serbia kuhusu jeshi lake
Marekani yawawekea vikwazo wanaodidimiza demokrasia Liberia
Antony Blinken ametangaza vikwazo vya viza za kusafiri kwa watu wanaodhoofisha demokrasia nchini Liberia.
Mahakama yamtia hatiani Trump kwa udanganyifu
Trump anaongoza kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais kwa chama chake cha Republican na anaendelea na kampeni zake.
Donald Trump adaiwa kudanganya benki ili kupata mikopo
Wakili wa Trump Christopher Kise amesema watakatia rufaa uamuzi huo alioita "upotoshaji wa haki" na usiozingatia sheria.
Marekani na Kenya zatia saini makubaliano ya ulinzi
Ujumbe huo wa kimataifa wa kulinda usalama utakabiliana na magenge ya wahalifu yanayoendeleza ghasia nchini Haiti.
Utafiti: Watu 1,329 wafa kutokana na njaa huko Tigray
Utafiti huo umebaini kuwa zaidi ya asilimia 68 ya vifo vimetokana na njaa.
Suella Braverman atarajiwa kufanya ziara nchini Marekani
Braverman atarajiwa kutafuta ushirikiano wa Marekani kukabiliana na uhamiaji haramu
Mkutano wa Baraza Kuu la UN waingia siku ya tano
Waandamanaji waendelea kukusanyika katika eneo la mkutano kutoa machungu yanayozikabili nchi zao.
Viongozi wahutubia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewatolea wito viongozi kuchukua hatua za pamoja kwa maslahi ya walimwengu.
Magenge yenye silaha nchini Haiti yataka serikali ipinduliwe
Magenge yenye silaha Haiti yashinikiza serikali ya Waziri Mkuu Ariel Henry, kuondolewa madarakani.
Netanyahu kukutana na Biden kwa mazungumzo
Mchambuzi wa mahusiano kati ya Israel na Marekani Eytan Gilboa amesema mazungumzo hayo hayatakuwa mepesi.
Marekani na Iran zafanikiwa kubadilishana wafungwa
Duru zinasema kwamba wafungwa watano wa Kimarekani waliwasili Doha vivyo hivyo kwa wafungwa watano wa Iran.
Marekani na Iran kubadilishana wafungwa
Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema itabadilishana wafungwa na Marekani baadaye Jumatatu.
Korea Kaskazini na Urusi kuimarisha uhusiano wao
China yasema, mkutano wa kilele kati ya Kim Jong Un na Vladimir Putin unahusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Marekani: Bunge laanzisha uchunguzi wa kumshtaki rais Biden
Ikulu ya Marekani imezitaja juhudi hizo kuwa za mrengo mbaya wa kisiasa
Biden azungumza na Waziri mkuu wa China
Biden amesema Marekani haina nia ya kuihujumu China.
Biden alenga kuimarisha ushirikiano na Vietnam
Rais wa Marekani Joe Biden, amewasili Vietnam.
Rais wa Marekani Biden awasili India kwa mkutano wa G20
Biden anatumai kutumia fursa hiyo kuongeza ushawishi wa nchi yake.
Thomas-Greenfield akutana na wakimbizi wa Sudan nchini Chad
Wakimbizi hao hawakuonyesha nia ya kutaka kurejea nyumbani hasa kwa kuzingatia vita vinavyoendelea Sudan.
Marekani yaipa Ukraine dola bilioni moja
Blinken amesisitiza Marekani itaendelea kuisaidia Ukaine katika vita vya kuyakomboa maeneo yake kusini na mashariki.
Korea Kaskazini italipa gharama ikiipa silaha Urusi
Mshauri wa usalama wa taifa Jake Sullivan amesema Urusi huenda ikashambulia maghala ya nafaka na silaha hizo.
Kiongozi wa zamani wa Proud Boys afungwa miaka 22 jela
Tarrio ni mwanachama wa kwanza wa Proud Boys kufungwa kwa kipindi kirefu kuhusiana na shambulizi hilo dhidi ya bunge.
China yaonesha kutofautiana na mataifa makubwa duniani
China yaonesha kutofautiana na mataifa makubwa duniani
Kim atarajiwa kukutana na Putin nchini Urusi
Viongozi hao wawili wanatarajiwa kujadili kuhusu hatua ya kubadilishana silaha na ujuzi wa kijeshi.
Marekani yasema Kim atarajia kukutana na Putin
Marekani imetahadharisha juu ya kuendelea kwa mazungumzo kati ya Korea Kaskazini na Urusi kuhusu silaha.
Maafisa wa Marekani watuliza hali ya mambo Deir al Zor
Viongozi wamekubaliana kuyazingatia malalamiko ya wakazi wa mji wa Deir al Zor kuepusha uasi zaidi.
Wahafidhina na mpango wa kusambaratisha serikali ya Marekani
Kundi la mashirika ya kihafidhina lipanga kuvunja mfumo wa sasa wa serikali ya Marekani na kutawala kwa maono ya Trump.
Marekani yapeleka ndege zaidi za kivita Korea Kusini
Wakati ambapo nchi hizo marafiki zimeongeza jawabu kwa kitisho cha Korea Kaskazini.
Raimondo na Le Keqiang watoa wito wa ushirikiano
Gina Raimondo, amekutana Jumanne na waziri mkuu wa China Li Qiang na kutoa wito kwa China na Marekani kushirikiana.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 66
Ukurasa unaofuatia