1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Spika wa bunge la Marekani McCarthy aondelewa madarakani

4 Oktoba 2023

Kevin McCarthy ndiye spika wa kwanza wa Baraza la Wawakilishi katika historia ya Marekani kupigiwa kura ya kuondolewa mamlakani. Kuondolewa kwake kunaliacha bunge njiapanda katika wakati nyeti kwenye siasa za Marekani.

https://p.dw.com/p/4X6yD