1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024

Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2024 inafanyika katika jiji la Paris nchini Ufaransa chini ya kiwingu cha mashaka ya kisiasa nchini humo, kufuatia uchaguzi wa bunge wa mapema ambao haukutoa mshindi wa wazi.