You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kifo cha mtoto wa mkimbizi chazua taharuki
Mtoto wa miaka minne amefariki dunia huku janga la kibinadamu likishuhudiwa katika uwanja wa maonyesho ya Kilimo wa Kitale, jimbo la Trans-Nzoia nchini Kenya ambapo wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Burundi, Sudan na Rwanda wamekwama walipokuwa wakielekea kwenye kambi ya wakimbizi iliyoko Kakuma nchini humo. Shisia Wasilwa alituarifu zaidi.
Polisi ahukumiwa maisha kwa kumuua mwanaharakati Iraq
Polisi huko Iraq amehukumiwa kifo kwa mauaji ya mchambuzi mashuhuri wa masuala ya usalama na mkosoaji wa wanamgambo.
Mtu mwenye uraia wa Iran na Sweden anyongwa Iran kwa ugaidi
Iran leo Jumamosi, imemnyonga Habib Chaab mwenye uraia wa Iran na Sweeden kwa kosa la ugaidi
EU yataka hukumu ya kifo ya Jamshid Shamrad ifutwe
Umoja wa Ulaya walaani hukumu ya kifo ya mahakama ya Iran dhidi ya Jamshid Sharmad, mjerumani mwenye asili ya Iran
Iran yathibitisha adhabu ya kifo dhidi ya Jamshid Sharmahd
Sharmahd alikuwa anaishi nchini Marekani kwa miaka mingi hadi alipokamatwa huko Dubai
Iran: Idadi ya walionyongwa yaongezeka na kuzua hofu
Ripoti hiyo inasema watu 582 walinyongwa mwaka jana
Mahakama ya Iran imetoa hukumu ya kifo kwa mpinzani
Iran yaidhinisha hukumu ya kifo
Ujerumani imeionya Israel dhidi ya hukumu ya kifo
Ujerumani imeionya Israel kuwa litakuwa kosa kuanzisha adhabu ya kifo kwa wanaopatikana na hatia ya kuwauwa Waisraeli
Ujerumani yakosoa hukumu ya kifo kwa raia wake, Iran
Ujerumani yakosoa hukumu ya kifo kwa raia wake, Iran
Ujerumani: Polisi watano washtakiwa kifo cha Msenegali
Ujerumani: Polisi watano washtakiwa kuhusiana na kifo cha kijana Msenegali
Wanajeshi 7 wa DRC wahukumiwa kifo kwa kuonyesha uoga mbele ya kundi la waasi wa M23
Mapambano kati ya Jeshi la Kongo na waasi wa M23 bado yanaendelea.
Pakistan: Mtu mmoja auawa akishutumiwa kuinajisi Quran
Kosa la "kukufuru" linaadhibiwa kwa hukumu ya kifo.
RSF yakosoa mazingira ya kifo cha mwanahabari Rwanda
RSF imesema kuwa mchakato huo wa kisheria pamoja na sababu za kifo chake havikuwa wazi.
Aliyekuwa kiongozi Pakistan Pervez Musharraf kuzikwa leo
Pervez Musharraf alikuwa kiongozi wa kijeshi nchini Pakistan.
Kenya: Polisi ahukumiwa kifo kwa kumuua wakili Willie Kimani
Mahakama nchini Kenya imemhukumu kifo Polisi Fredrick Ole Leliman kwa mauaji ya wakili Willie Kimani na wengine 2.
Waziri wa elimu Ujerumani ashtushwa na kifo cha mwalimu
Waziri wa elimu wa Ujerumani Bettina Stark-Watzinger leo ameelezea kushtushwa na kifo cha mwalimu aliyeuwawa kwa kuchomw
Papa Francis alaani huku Iran ikiwahukumu kifo watu watatu
Wanatuhumiwa kuwauwa maafisa watatu wa vyombo vya usalama wakati wa maandamano yaliyochochewa na kifo cha Mahsa Amini.
Iran yawahukumu kifo watu zaidi kufuatia maandamano ya Amini
Hukumu hizo zimezuwa hasira kutoka sehemu tofauti ulimwenguni na kusababisha Iran kuwekewa vikwazo vipya:
Ulimwengu waomboleza kifo cha Pele
Ulimwengu unaomboleza kifo cha nyota wa zamani wa mchezo wa soka kutoka Brazil, Pele.
Wanajeshi 8 wahukumiwa kifo na Mahakama ya kijeshi DRC
Hukumu ya kifo hutolewa nchini Kongo lakini utekelezaji wake hubadilishwa na kuwa kifungo cha maisha jela.
Libya yawahukumu kifo wanachama 17 wa IS
Libya yawahukumu kifo wanachama 17 wa IS
Iran yamnyonga mtu wa pili kuhusiana na maandamano
Iran yamhukumu mtu wa pili kuhusiana na maandamano nchini humo.
Iran yashutumiwa kimataifa kwa kumnyonga muandamanaji
Iran yakumbwa na shutuma za kimataifa kufuatia hatua ya kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya muandamanaji.
Iran yatoa hukumu ya kifo kwa waandamanaji
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamelaani hukumu hizo za kifo
Kenya yachunguza kifo cha wakili aliyetuhumiwa kwa hongo
Madai dhidi yake yalifunguliwa Februari mwaka huu akidaiwa kuwahonga mashahidi hao hadi shilingi milioni moja za Kenya.
Kifo cha msichana Mahsa chazusha maandamano makubwa Iran
Mahsa amekufa mikononi mwa polisi baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kutovaa vizuri hijabu
Kifo cha Malkia Elizabeth chatawala magazeti ya Ujerumani
Chanjo dhidi ya ugonjwa malaria yakaribia kupatikana. Pikipiki za kutumia beti zapelekwa Afrika Mashariki.
Viongozi wa Afrika waomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II
Wengi wakimtaja kuwa kiongozi wa mfano na anayeacha urathi utakaokumbukwa daima.
Ulimwengu unaomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II
Kifo cha Malkia Elizabeth II
Putin aelezea kusikitishwa na kifo cha Daria Dugina
Urusi imesema Ukraine inahusika na mauaji ya Daria Dugina, binti wa mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladmir Putin.
Utawala wa kijeshi Myanmar wanyonga wanaharakati wanne
Utawala wa kijeshi nchini Myanmar, umesema umewaua wanaharakati wanne wa demokrasia
Viongozi waomboleza kifo cha waziri Mkuu mstaafu Shinzo Abe
Kwa mujibu wa taarifa Abe alishambuliwa na mtu mwenye umri wa miaka 41 aliyewahi kuwa mwanajeshi.
Kumbukumbu ya miaka miwili tangu kifo cha Nkurunziza
Rais Evariste Ndayishimiye amesema mafunzo ya uzalendo yaliyoasisiwa na Pierre Nkurunziza yameanza kuzaa matunda
Iran kuendelea na hukumu ya kifo kwa daktari raia wa Sweden
Setayeshi amefutilia mbali uwezekano wa suluhisho la kidiplomasia kama vile mabadilishano ya wafungwa.
Palestina yakaribisha mamataifa uchunguzi kifo cha Shireen
Palestina yakaribisha msaada wa kimataifa kwa uchunguzi wa kifo cha Shireen
Wakala wa kandanda akasirishwa na ripoti za kifo chake
Wakala maarufu wa kandanda Mino Raiola ameelezea kughadhabishwa na ripoti zilizoenea kwenye vyombo kadha vya habari kwam
Ripoti: Idadi ya wanaonyongwa Iran yapanda kwa asilimia 25
Ripoti mpya yasema idadi ya watu walionyongwa nchini Iran mwaka 2021 ilipanda kwa asilimia 25.
Chad: mwaka mmoja baada ya kifo cha Déby
hakuna amani wala democrasia ambayo wachadi wanaweza kujivunia baada ya kifo cha ghafla cha kiongozi wao hapo mwaka jana
Wito watolewa kuhusu uchunguzi wa kifo cha rais Ntaryamira
Burundi leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 28 tangu kuuwawa kwenye ajali ya ndege katika anga ya Rwanda rais wa zamani Cyprien Ntaryamira. Chama chake, Sahwanya Frodebu, kimeitaka serikali kuanzisha uchunguzi wa pamoja na Rwanda ili kubaini chanzo cha ajali hiyo. Wito wa uchunguzi huo umetolewa katika wakati ambapo uhusiano kati ya Burundi na Rwanda umeanza kuimarika. Msikilize Amida Issa.
Maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha rais Magufuli Tanzania
Afrika wiki hii inayadurusu yaliyojitokeza wiki nzima ndani ya bara la Afrika na miongoni mwa yaliyotazamwa ni kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha rais Magufuli wa Tanzania,na Kenya joto la kisiasa lapamba moto huku maandalizi nayo yakishika kasi,wakati Rwanda ikituhumiwa kuwatia jela waandishi habari na wakosoaji wa serikali.Jiunge na Saumu Mwasimba katika makala hii
Waziri Mkuu wa Libya anusurika kifo
Waziri Mkuu wa Libya anusurika kifo
DRC: Watu 51 wahukumiwa kifo kwa mauaji ya wataalam wa UN
Watalamu wa Umoja wa Mataifa walipotea na kisha miili yao ilipatikana katika kijiji kimoja mnamo Machi 28, mwaka 2017.
Wanajeshi 2 wa Uganda wahukumiwa kifo kwa kuua raia Somalia
Mahakama ya kijeshi Uganda imetoa adhabu ya kifo kwa wanajeshi wawili waliohusika katika mauaji ya raia nchini Somalia.
Miito Uingereza ya kutaka sheria ya kifo cha hiari ilegezwe
Nchini Uingereza, wanaharakati wanapigania kulegezwa kwa sheria kuhusu msaada wa kifo cha hiari. Wanasema mabadiliko katika sheria hiyo yatawapa udhibiti mkubwa zaidi kuhusu namna na lini wanakufa. Katika makala hii ya Mwangaza wa Ulaya iliyoandaliwa kwa ushikiriano na Nimita Bhati, tunamulika harakati hizo na uwezekano wake wa kufanikiwa.
Merkel ashtushwa na kifo cha balozi wa Ujerumani kwa China
Merkel ashtushwa na kifo cha balozi wa Ujerumani kwa China
Zambia yatangaza siku 21 kuomboleza kifo cha Kaunda
Kaunda alikufa (17.06.2021) akiwa na umri wa miaka 97 siku chache baada ya kulazwa hospitali ya jeshi mjini Lusaka
Amnesty: Hukumu ya kifo yapungua ulimwenguni
China, Korea Kaskazini, Syria na Vietnam hazitoa idadi kwa kuwa adhabu ya kifo ni taarifa ya siri ya taifa.
Viongozi duniani waomboleza kifo cha Rais Deby wa Chad
Viongozi duniani waomboleza kifo cha Rais Deby wa Chad
Jeshi la Chad lachukua madaraka baada ya kifo cha rais
Jeshi la Chad limetangaza kuvunjwa kwa serikali na bunge kufuatia kifo cha rais Idriss Deby wa nchi hiyo
Hukumu ya kifo cha Floyd yangojewa kwa hamu Minneapolis
Jopo la majaji limekutana siku ya pili ya kesi ya afisa wa zamani wa polisi wa Minneapolis Derek Chauvin
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 10
Ukurasa unaofuatia