1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanajeshi 7 wa DRC wahukumiwa kifo kwa kuonyesha uoga mbele ya kundi la waasi wa M23

13 Februari 2023

Wanajeshi saba wa jamuhuri yakidemokrasia ya congo walihukumiwa kifo kwa kuonyesha uoga mbele ya kundi la waasi wa M23 katika mapigano yaliokuwa yakiendelea alhamisi ya wiki iliyo pita kwenye vijii vya luhonga na kingi mbali kidogo na mji wa sake ulioko umbali wa kilometa 27 maghaharibi mwa mji wa Goma.

https://p.dw.com/p/4NPr4