You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Polisi: Kifo cha Mmarekani mweusi Minneapolis, bahati mbaya
Mkuu wa polisi huko Minneapolis, Marekani, amesema afisa wa polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi Mmarekani mweusi katika
Vilio na simanzi wakati wa kuagwa mwili wa Hayati Magufuli
Hayati Rais Magufuli alifariki jijini Dar es alaam kutokana na tatizo la mfumo wa umeme kwenye moyo.
Kifo cha Magufuli chatawala magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani yaliyojishughulisha kuliangalia bara la Afrika wiki hii yameandika juu ya kifo cha rais Magufuli
CHADEMA chaomboleza kifo cha Magufuli
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania,CHADEMA, kinaomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa kupeperusha bendera nusu mlingoti katika ofisi zake zote za chama hicho.
Uganda yaanza kuomboleza kifo cha Rais Magufuli
Uganda imeanza rasmi kuomboleza kifo cha rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufuatia agizo la rais Yoweri Museveni.
CCM kukutana baadae mwezi huu kufuatia kifo cha Magufuli
CCM haijaweka wazi masuala watakayojadili kwenye mkutano wa Machi 23
Katiba ya Tanzania inasemaje baada ya kifo cha Rais?
Kwa mara ya kwanza Tanzania yaondokewa na kiongozi wa nchi akiwa bado madarakani
Kenya yatangaza siku saba za maombolezo
Viongozi wa kisiasa watuma risala za rambirambi
Spika Ndugai azungumza baada ya kifo cha Rais Magufuli
Spika Ndugai azungumza baada ya kifo cha Rais Magufuli
Saudia yakanusha Bin Salman kuhusika na kifo cha Khashoggi
Saudi Arabia imekanusha vikali ripoti iliyofichua kuwa Mohammed bin Salman aliidhinisha mauaji ya Jamal Khashoggi
Utayarifu wa Mauti
Kwenye Makala Yetu Leo, Shisia Wasilwa anasimulia kuhusu mzee Nalelta Naurori kutoka Narok Kenya ambaye ameamua kujiandaa kwa mauti yake, jambo ambalo ni tofauti sana na misimamo ya watu wengi. Mzee Naurori yuko tayari kukabiliana na mauti jinsi alivyowakabili simba alipokuwa kijana. Hebu sikiliza.
Kifo cha Maradona chausikitisha ulimwengu wa soka
Kipindi cha Karibuni kinaanza kwa kuangazia majonzi makubwa miongoni mwa wapenzi wa soka duniani kote kutokana na kifo cha nguli wa soka raia wa Argentina Diego Maradona. Vilevile katika Kiswahili Kina Wenyewe utasikia "Nafasi ya Kiswahili kwenye utamaduni wa Waswahili
Rais Kagame ajitokeza na kukomesha uvumi kuhusu kifo chake
Rais Kagame ajitokeza na kukomesha uvumi kuwa ameaga dunia
Mwanasiasa mashuhuri Hassan Nassor Moyo afariki dunia
Mzee Hassan Nassor Moyo ni mmoja wa waasisi wa chama cha Mapinduzi na alikuwa akishikilia kadi nambari saba.
Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa azikwa
Mpaka aliefariki wiki iliyopita baadaya kuugua kw amuda mfupi, amezikwa kijijini kwake Lupaso, wilayani Masasi, Mtwara.
Watanzania watoa hisia mbalimbali kumuomboleza Mkapa
Tumewauliza watanzania watamkumbuka vipi kiongozi huyo aliyekuwa rais wa tatu wa taifa hilo la Afrika Mashariki tangu mwaka 1995-2005. Na wewe tufahamishe, kitu gani kinakuja haraka kichwani likitajwa jina la Benjamin Mkapa?
Hisia kutoka Zanzibar kuhusu kifo cha Benjamin Mkapa
Kwa upande hasi atakumbukwa sana kwa tukio maarufu ya mauaji ya Januari 26 na 27 2001ambapo zaidi ya watu 30 waliuawa
Wasifu wa marehemu Benjamin Mkapa
Mkapa alikuwa rais wa Tanzania kati ya mwaka 1995-2005. Amefariki akiwa na umri wa miaka 81
Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa amefariki dunia
Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin William Mkapa amefariki dunia
Maoni: Kifo cha mwanamuziki maarufu nchini Ethiopia
Waziri Mkuu wa Ethuiopia Abiy Ahmed yumo kwenye shinikizo kubwa.
Ufaransa yagoma kuchunguza upya kifo cha Habyarimana.
Rais Juvenal Habyarimana aliuawa baada ya ndege yake kudunguliwa mwaka 1994 mjini Kigali Rwanda.
Kifo cha Nkurunziza: Viongozi watuma salamu za rambirambi
Kifo cha rais Pierre Nkurunziza kimezusha hali ya taharuki kwa raia wengi. Shughuli zimeonekana kudorora,
Makamu wa rais Burundi azungumza juu ya kifo cha Nkurunziza
Burundi yatangaza siku 7 za kumuomboleza Rais Nkurunziza
Serikali ya Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7
Burundi yaomboleza kifo cha rais Nkurunziza
Rais Pierre Nkurunziza alifariki dunia Jumatatu kufuatia mshutuko wa moyo, baada ya kuiongoza Buurndi kwa miaka 15
Maandamano duniani ukatili wa polisi; kifo cha Floyd
Maandamano yamefanyika katika nchi mbali mbali kupinga ukatili wa polisi na kumuenzi George Floyd
Bangladesh yatangaza kifo cha kwanza cha COVID 19
Watoa huduma za afya wameonya juu ya janga katika kambi za wakimbizi zilizoko nje ya wilaya ya Cox's Bazar.
Kifo cha George Floyd: Polisi ashitakiwa kwa mauwaji
Kifo cha George Floyd: Polisi ashitakiwa kwa mauwaji
Trump awatisha wanaolaani kifo cha Floyd
Rais Donald Trump wa Marekani amewaita ´vibaka´ waandamanaji mjini Minneapolis wanaolaani kifo cha mmarekani mweusi.
Tanzania yaripoti kifo chake cha kwanza kutokana na corona
Tanzania imethibitisha kifo cha kwanza kutokana na maradhi ya COVID-19 yanayosababishwa na virusi vya corona.
Salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Hosni Mubarak
Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak amefariki dunia Jumanne akiwa na miaka 91,atazikwa Jumatano kwa heshma za kijeshi
Tanzia: Maisha ya Rais Daniel Arap Moi
Rais wa zamani wa Kenya, Daniel Arap Moi ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 95.
Kifo cha kwanza kutokana na virusi vya corona Ufilipino
Kifo cha kwanza nchini Ufilipino kutokana na virusi vya corona
Dunia yashtushwa na kifo cha Bryant
Kobe amecheza na LA Lakers kwa miongo miwili na kushiriki katika harakati za ubingwa wa timu hiyo kwenye ligi ya NBA.
Sudan yawahukumu kifo wanajeshi 27 kwa kumuua mwandamaji
Kifo cha Ahmed al-Khair, aliyekuwa mwalimu wa shule, kilikuwa suala muhimu na ishara katika maandamano hayo
Rais wa zamani wa Pakistan, Pervez Musharraf ahukumiwa kifo
Pervez Musharraf amekutikana na kosa la uhaini
Kiongozi wa Malta Joseph Muscat kujiuzulu.
Muscat amesema amemuarifu rais wa nchi hiyo kuwa atajiuzulu kama kiongozi wa chama cha Labour tarehe 12 mwezi
Bangladesh yawahukumu kifo wanamgambo 7 wa shambulio la 2016
Wanamgambo saba wa kundi la Jumatul Mujahedeen wamehukumiwa kifo Bangladesh, kwa kupanga shambulio llilouwa watu 20.
Trump athibitisha kifo cha kiongozi wa "Dola la Kiislamu"
Kifo chake kinazingatiwa kuwa pigo kubwa kwa kundi hilo la wanamgambo ambalo wakati mmoja lilikuwa na nguvu kubwa
Uganda: HRW yataka uchunguzi kifo cha mwanaharakati
Wasswa aliuawa baada ya kushambuliwa
Watu 14 wafariki Congo baada ya mgodi kuporomoka
Huzuni yakumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya watu 14 kufariki kufuatia mgodi kuporomoka.
Viongozi wa Afrika kumuaga rasmi Mugabe mjini Harare
Viongozi mbalimbali wanakusanyika mjini Harare kumpa buriani rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe.
Viongozi watuma pole kufuatia kifo cha Mugabe
Marais wa Afrika watuma pole kufuatia kifo cha rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe
Robert Mugabe amefariki dunia
Rais Robert Mugabe amefariki dunia
Ligi ya mabingwa barani Ulaya kundi F ni la kifo
Kundi F katika Champions League msimu wa mwaka 2019/20 ni la kifo
Waziri Kabudi kukiri kifo cha Gwanda kwazusha sintofahamu
Kauli ya Waziri Kabudi kukiri kifo cha Gwanda inamaanisha nini?
Ushahidi wamhusisha bin Salman na kifo cha Khashoggi
Mchunguzi maalum Agnes Callamard ameitaka UN kufungua uchunguzi wa uhalifu dhidi ya mwanamfalme na maafisa wengine.
Kifo kutokana na Ebola chasababisha hofu Uganda
Wizara ya afya Uganda imetangaza hatua za dharura kukabiliana na mripuko wa Ebola
Kifo cha kwanza kutokana na ebola chatokea Uganda
Pamekuwa na hofu ugonjwa wa ebola ungeenea katika nchi jirani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Utekelezwaji wa adhabu ya kifo wapungua ulimwenguni
Mafanikio hayo hata hivyo yanatiwa doa na sheria mpya za Brunei zinazowalenga mashoga, wezi na wazinzi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 10
Ukurasa unaofuatia