1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kifo cha mtoto wa mkimbizi chazua taharuki

Shisia Wasilwa10 Mei 2023

Mtoto wa miaka minne amefariki dunia huku janga la kibinadamu likishuhudiwa katika uwanja wa maonyesho ya Kilimo wa Kitale, jimbo la Trans-Nzoia nchini Kenya ambapo wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Burundi, Sudan na Rwanda wamekwama walipokuwa wakielekea kwenye kambi ya wakimbizi iliyoko Kakuma nchini humo. Shisia Wasilwa alituarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/4R9oC