1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wito watolewa kuhusu uchunguzi wa kifo cha rais Ntaryamira

6 Aprili 2022

Burundi leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 28 tangu kuuwawa kwenye ajali ya ndege katika anga ya Rwanda rais wa zamani Cyprien Ntaryamira. Chama chake, Sahwanya Frodebu, kimeitaka serikali kuanzisha uchunguzi wa pamoja na Rwanda ili kubaini chanzo cha ajali hiyo. Wito wa uchunguzi huo umetolewa katika wakati ambapo uhusiano kati ya Burundi na Rwanda umeanza kuimarika. Msikilize Amida Issa.

https://p.dw.com/p/49YUn