1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbunge wa Ujerumani mwafrika aliyejizulu sababu ya vitisho

Sylvia Mwehozi
11 Julai 2024

Hivi karibuni mbunge wa kwanza mwafrika katika bunge la Ujerumani Karamba Diaby alitangaza kung’atuka katika siasa kutokana na kukithiri kwa vitisho dhidi yake. Aliamua kuchapisha vitisho hivyo vya kuuawa katika mtandao wa Instagram na kuibua mjadala kuhusu suala la ubaguzi wa rangi Ujerumani. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4iBEn