1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

zainab Aziz28 Juni 2024

Yaliyoandikwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na maandamano ya nchini Kenya ambako watu kadhaa waliuawa. Juu ya harakati za wanafunzi wenye itikadi kali nchini Senegal zinazoakisi hali ya vijana waliohitimu masomo ya chuo kikuu barani Afrika. Mapinduzi ya kimyakimya nchini Afrika Kusini.

https://p.dw.com/p/4heCg