1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

zainab Aziz12 Julai 2024

Magazeti ya Ujerumani wiki hii kuhusu Afrika, yameandika juu ya yale yanayotukia nchini Kenya ambako Rais William Ruto amelivunja baraza lake la mawaziri. Umoja wa Mataifa wasema Rwanda inahusika kwa kiasi kikubwa katika mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwelekeo mpya wa nchi zinazoongozwa na wanajeshi katika Afrika magharibi.

https://p.dw.com/p/4iEeG