1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EURO 2024: Wenyeji Ujerumani watakiweza kishindo cha Uhispania?

1 Julai 2024

Ujerumani itapambana na Uhispania katika robo fainali ya EURO 2024 mnamo Julai 5 huko Stuttgart. Kulingana na mlinda lango wa timu ya taifa ya Georgia, Giorgi Mamardashvili ambaye timu yake ililazwa na Uhispania 4-1 Jumapili, mabingwa hao wa dunia mwaka 2010, ndio watakaoibuka na ubingwa. Jacob Safari amezungumza na mchambuzi Sekione Kitojo kuhusu jinsi mambo yatakavyokuwa katika robo fainali.

https://p.dw.com/p/4hkRj