1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UEFA EURO 2024
Picha: SOPA Images/ZUMA Press Wire/dpa/picture alliancePicha: SOPA Images/ZUMA Press Wire/dpa/picture alliance

Kombe la EURO 2024 Ujerumani

Michuano ya kombe la EURO 2024 itaanza Ijumaa Juni 14 kwa pambano kati ya wenyeji Ujerumani na Scotland katika dimba la Allianz Arena mjini Munich na kukamilika Jumapili Julai 14 kwa fainali mjini Berlin.