You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani yafanya shambulizi jipya dhidi ya waasi Yemen
Hii ni baada ya Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran kuonya dhidi ya mashambulizi zaidi kwenye meli za Bahari ya Shamu
UN: Hali katika Ukanda wa Gaza ni ya kutisha
Mratibu wa misaada ya dharura wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths ametoa wito wa kusitishwa kwa vita Gaza.
Guterres atoa wito wa kupunguza mvutano Bahari ya Shamu
Guterres ametoa kauli hiyo baada ya Marekani na Uingereza kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya waasi wa Kihouthi.
NATO: Mashambulizi dhidi ya Wahouthi yalikuwa ya kujihami
Msemaji wa NATO, amesema mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Kihouthi wa Yemen yalikuwa ya kujihami.
Wafanyabiashara Uganda walia Burundi kufunga mpaka na Rwanda
Wafanyabiashara nchini Uganda wameeleza kusikitishwa na hatua ya Burundi kufunga mpaka wake na Rwanda.
Marekani na Uingereza zashambulia ngome za wahouthi, Yemen
Waasi wa Houthi wamesema wapiganaji wao watano wameuawa na kuapa kulipiza kisasi
Marekani na Uingereza zashambulia waasi wa Yemen
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi makubwa ya anga yaliyoyalenga maeneo yanayoshikiliwa na waasi nchini Yemen.
Marekani na Uingereza zashambulia maeneo ya Kihouthi
Mashambulizi hayo ya angani yamepiga miji kadhaa ya Yemen, ambako waasi wa Kihouthi wanadhibiti maeneo makubwa.
Uganda kuharibu dozi za chanjo ya uviko-19
Huku shehena zaidi ya chanjo ikitazamiwa kuisha muda wake kufikia mwishoni mwa mwaka.
Azimio la UN la laani hujuma za waasi wa Houthi
Mashambulizi yanayofanywa na waasi wa Houthi dhidi ya meli za mizigo kwenye ujia wa Bahari ya Shamu yalaaniwa na UN.
Taarifa ya habari ya asubuhi 11.01.2024
Muhtasari wa Habari: Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lapitisha azimio la kulaani mashambulizi ya waasi wa Kihuthi katika bahari ya Shamu // Wanamgambo wa Al-Shabaab nchini Somalia, waikamata helkopita ya Umoja wa Mataifa // Mwanadiplomasia mkuu wa Marekani Antony Blinken afanya mazungumzo na kiongozi wa Mamlaka ya Palestina.
Baraza la Usalama la UN lalaani mashambulizi ya Wahouthi
Azimio hilo limepitishwa kwa kura 11 kwa 0 huku Urusi, China, Algeria na Msumbiji zikijizuia kupiga kura.
Waasi wa Houthi washambulia tena meli katika Bahari ya Shamu
Baraza la Usalama la UN linapanga kulipigia kura azimio ambalo linataka kusitishwa kwa mashambulizi ya waasi hao
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Kampuni ya meli ya Maersk kuikwepa njia ya Bahari ya Sham
Kampuni ya meli ya Maersk imesema itabadili njia lwa meli zake kukwepa mashambulizi ya Wahouthi kwenye bahari ya Sham.
Baada ya ushindi, Tshisekedi anao mlima mrefu wa kupanda
Rais Felix Tshisekedi anao muhula wa pili kibindoni, lakini katika miaka mitano ijayo anakabiliwa na changamoto lukuki.
Mwanaharakati wa jamii ya LGBTQ nchini Uganda ashambuliwa
Wanaharakati nchini Uganda wamekuwa na hofu tangu taifa hilo lilipopitisha sheria mpya dhidi ya jamii hiyo.
Watu 6 wafa baada ya boti 2 kuzama katika Ziwa Victoria
Makundi ya wavuvi yanaendelea kutafuta miili ya watu wengine ambao wanadhaniwa walikuwa abiria kwenye boti hizo.
Wawili washikiliwa kwa mauaji ya mwanariadha Kiplagat.
Wawili washikiliwa kwa mauji ya mwanariadha Kiplagat.
02.01.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
02.01.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mwanariadha wa Uganda Benjamin Kiplagat auawa nchini Kenya
wito watolewa kuharakishwa kwa uchunguzi
Mwanariadha maarufu wa Uganda Benjamin Kiplagat afia Kenya
Mwili wa mwanariadha huyo ulikutwa na jeraha kubwa shingoni kana kwamba alichomwa kisu.
Rwanda yakanusha kuwafadhili waasi wa Burundi waliopo DRC
Siku ya Ijumaa, Rais Ndayishimiye aliituhumu Rwanda kuwasaidia kwa hali na mali waasi wa Red Tabara
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 30.12.2023
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 30.12.2023
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Burundi yaishtumu Rwanda kwa kuunga mkono waasi
Mashambulizi hayo ni pamoja na uvamizi mbaya wiki moja iliyopita
Ndayishimiye aituhumu Rwanda kuwaunga mkono waasi wa Burundi
Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ameituhumu Rwanda kuwasaidia waasi wa Red Tabara wanaoishambulia Burundi.
Ghala la WFP laporwa na waasi wa RSF nchini Sudan
Wanamgambo wa RSF nchini Sudan, wamepora nafaka katika ghala la Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP.
Mapigano kati ya kundi la M23 na Wazalendo yazua hofu Kongo
Jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo limetuma ndege za kivita kushambulia ngome za M23 kwenye milima ya Karuba.
Ujerumani na EU watathmini kuweka ujumbe mpya bahari ya Sham
Marekani imekuwa ikiongoza kikosi kipya cha wanamaji kujibu mashambulizi ya waasi wa Houthi.
Kiongozi wa RSF akutana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais Museveni alithibitisha mkutano huo kupitia chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X.
Mkuu wa RSF nchini Sudan afanya ziara nchini Uganda
Rais Museveni amethibitisha kufanyika kwa mkutano huo
Kundi la wanamgambo la ADF lawauwa watu watatu Uganda
Jeshi la Uganda, UPDF, limesema watu 3 wameuwawa katika shambulizi lilililofanywa na ADF Magharibi mwa taifa hilo.
Marekani yazima shambulizi ya Wahouthi huko Bahari ya Shamu
Marekani imesema imedungua ndege 12 zisizo na rubani pamoja na makombora 5 yaliyofyetuliwa na waasi wa Houthi.
Watu watatu wateketezwa moto DRC
Wanamgambo wa kundi lenye itikadi kali la ADF wanadaiwa kuwaua kwa kuwatekeza moto bibi na wajukuu zake wawili.
Shambulizi la waasi lasababisha vifo vya watu 20 Burundi
Haya yametangazwa na serikali ya nchi hiyo
Wanawake wa Goma wanataka nini kwenya uchaguzi huu?
Wanawake wa Goma wanasema hawana haja na kingine kwenye uchaguzi huu zaidi ya kuwaomba watakaochaguliwa kuwaletea amani na utulivu. Hata wagombea nao wana miito kama hii. Ruth Alonga alituandalia video hii.
Marekani yazindua muungano wa ulinzi wa Bahari ya Shamu
Mashambulizi yamesababisha kampuni kubwa za usafirishaji kubadilisha njia ya safari zao
Mahakama Uganda yasikiliza rufaa dhidi ya sheria ya ushoga
Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imeanza kusikiliza pingamizi la kwanza kuhusu sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.
Mpinzani wa Kongo atangaza muungano na waasi
Msemaji wa serikali ya Kongo asema kutakuwa na athari za kidiplomasia
15.12.2023 Taarifa ya Habari ya Asubuhi.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya walikubaliana Alhamisi kuanzisha mazungumzo na Ukraine na Moldova kuhusu kujiunga na umoja huo, licha ya tishio la awali la Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban kuupinga mpango huo.
Matajiri Uganda wachangia dola milioni 50 kwa Israel, Gaza
Kundi la matajiri kutoka Uganda wamechangisha dola milioni 50 kama misaada kwa waathiriwa wa vita vya Israel na Hamas.
Changamoto zaongezeka wiki moja kabla ya uchaguzi mkuu Congo
Tume huru ya uchaguzi CENI imesema uchache wa barabara ni kikwazo kikubwa katika kusambaza vifaa muhimu vya uchaguzi
Marekani: Mapigano kusitishwa kwa saa 72 Mashariki mwa Kongo
Afisa wa UN atoa tahadhari kwa baraza kuu la usalama la UN kwamba mvutano kati ya Kongo na Rwanda umekuwa ukiongezeka
Waasi wa Yemen watishia kuzishambulia meli za Israel
Kundi la Hamas limekaribisha uamuzi wa wahouthi waliouita wa kijasiri.
Afrika Wiki HII
Rais wa Tanzania atoa hakikisho la serikali yake kuwa pamoja na watu wa Hanang, waliokumbwa na madhara makubwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko, wanajeshi wa EAC waondoka nchini Congo, baada ya muda wao kumalizika, na Kiongozi wa upinzani Uganda Robert Kyagulanyi matatani kufuatia matamshi yake makali. Mtayarishaji ni Amina Abubakar Mjahid.
Bobi Wine akosolewa kubadili msimamo mapenzi ya jinsia moja
Bobi Wine anadai sheria kali dhidi ya mahusiano ya jinsia moja ilishinikizwa na Rais Yoweri Museveni kuubana upinzani.
Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa Uganda na Zimbabwe
Marekani yawawekea vikwazo vya visa maafisa kadhaa wa Uganda na Zimbabwe
Jeshi la Uganda latangaza donge nono kuwanasa ADF
Kufuatia miripuko miwili ya mabomu mjini Kampala, vyombo vya usalama vimetoa tahadhari ya mashambulizi ya kigaidi.
Kikosi cha Afrika Mashariki chaanza kuondoka Kongo
Kikosi cha Afrika Mashariki kimeaanza kuondoka Kongo baada ya nchi hiyo kukataa kukiongezea muda.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 54
Ukurasa unaofuatia