You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rais aliyepinduliwa Niger atembelewa na daktari
Rais aliyepinduliwa nchini Niger Mohammed Bazoum leo ameonana na daktari
12.08.2023 - Matangazo ya Mchana
ECOWAS yatafakari hatua zinazofuata mzozo wa Niger
Viongozi wa mataifa ya Afrika Magharibi wanatakafari hatua za kuchukua kuhusu mzozo wa Niger
ECOWAS wasitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya Niger
Mataifa ya Afrika ya Magharibi yameusitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mzozo wa Niger.
AU, EU, Marekani zasikitishwa kutoachiliwa familia ya Bazoum
Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na Marekani zimesikitishwa na kutoachiliwa familia ya rais wa Niger aliyepinduliwa.
ECOWAS yaakhirisha mkutano wa kijeshi juu ya Niger
Mataifa ya Afrika ya Magharibi yamesitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mipango ya kuivamia Niger.
ECOWAS kuunda kikosi cha dharura kwa ajili ya Niger
Wakuu wa jeshi la ECOWAS watakutana Jumamosi katika mji mkuu wa Ghana, Accra, kujadili mapinduzi ya kijeshi Niger.
AU yazungumzia hali ya afya ya rais aliyepinduliwa Niger
AU yazungumzia hali ya afya ya rais aliyepinduliwa Niger
ECOWAS waamua kujizuia kuingilia kati kijeshi Niger
Jeshi la Niger limeshikilia msimamo wake wa kushikilia ikulu rais Mohammed Bazoum na familia yake.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu ya Asubuhi 11.08.2023
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu ya Asubuhi ya tarehe 11 Agosti 2023 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
ECOWAS yaidhinisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Niger
Viongozi wa ECOWAS wameidhinisha kutumwa "kikosi cha dharura kurejesha utaratibu wa kikatiba nchini Niger" haraka.
Je, hatua za kijeshi ni mwafaka kwa mzozo wa Niger?
Je, hatua za kijeshi ni mwafaka kwa mzozo wa Niger?
Mzozo wa Niger wazingatiwa na wahariri wa Ujerumani
Mazeti ya Ujerumani wiki hii yamejishughulisha na mzozo unaoendelea kutokota nchini Niger na vita vya Sudan. Wahariri pia wamezungumzia vita vipya vilivyozuka eneo la Tigray nchini Ethiopia na sakata la malipo ya marupurupu ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Josephat Charo amekuandalia Afrika katika magazeti ya Ujerumani.
ECOWAS yaendelea na mipango ya kutuma jeshi Niger
Mataifa ya Afrika Magharibi leo yameendelea na mipango ya uwezekano wa kuivamia kijeshi Niger.
ECOWAS yapitisha kupeleka jeshi Niger
Jeshi la Niger ladaiwa kutowa kistiho cha kumuua rais Bazoum ikiwa nchi jirani zitaingilia kati kijeshi
Wanajeshi Niger watangaza baraza la mawaziri
Utawala wa kijeshi Niger wakataa kuurudisha madarakani utawala wa kidemokrasia
Utawala wa kijeshi Niger wakutana na wajumbe kutoka Nigeria
Mazungumzo hayo yamefanyika huku Niger ikiishutumu Ufaransa kwa kukiuka anga yake na kushambulia kambi ya kijeshi.
Muasi wa zamani Niger aanzisha vuguvugu la kupinga mapinduzi
Watawala wapya wa kijeshi Niger wamekataa kukutana na wawakilishi wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kiuchumi ya ECOWAS.
Jeshi lamzuia Mwanadiplomasia wa Marekani kumuona Bazoum
Victoria Nuland amesema viongozi wa kijeshi wa Niger walikataa ombi lake la kutaka kukutana na Rais Mohamed Bazoum.
Mazungumzo ya kuutafuta mkwamo wa kisiasa Niger yakwama
Matumaini ya mwisho yaliyokuwepo ya kuupatia mzozo huo suluhisho la kidiplomasia yafifia
Niger yaukataa ujumbe wa upatanishi wa Umoja wa Mataifa
Juhudi za kutatuwa hali ya kisiasa ya Niger zinaonekana kukwama, baada ya watawala kukataa ujumbe za Umoja wa Mataifa.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 09.08.2023
Benki ya Dunia yakemea sheria ya Uganda dhidi ya mashoga. Watu 9 wauawa kufuatia shambulizi la Urusi nchini Ukraine. Mvutano wa kisiasa waendelea nchini Niger.
Blinken: Wagner inatumia mapinduzi ya Niger kwa manufaa yake
Blinken amesema popote pale ambapo wapiganaji hao wamekwenda wamesababisha vifo, uharibifu na unyonyaji.
Ujumbe wa ECOWAS hauwezi kupokewa Niger kwasababu ya usalama
Viongozi wa mapinduzi Niger wasema hawawezi kuupokea ujumbe wa ECOWAS
ECOWAS bado inatumai kuna fursa ya upatanishi Niger
Nchi za Afrika Magharibi na mataifa yenye nguvu duniani zinatumaini kwamba bado kuna fursa ya upatanishi nchini Niger.
Matumaini ya usuluhishi Niger kabla ya mkutano wa ECOWAS
Wanajeshi walioipindua serikali wameazimia kupinga mashinikizo yoyote kutoka nje ya kuwataka kuachia madaraka.
Viongozi wa kijeshi Niger wamtangaza waziri mkuu mpya
Mtaalamu huyo alihudumu kama waziri wa uchumi na fedha kwa miaka kadhaa chini ya rais wa wakati huo Mamadou Tandja.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 08.08.2023
Majaji wa Umoja wa Mataifa waamuru kusitishwa kwa kesi ya Felicien Kabuga. Mwanadiplomasia wa Marekani akutana na viongozi wa kijeshi wa Niger. Ukraine yamtia nguvuni mwanamke anayetuhumiwa kuwa jasusi wa Urusi.
ECOWAS kukutana Alhamis kuhusu Niger
Viongozi wa jumuiya hiyo ya kiuchumi watakutana mjini Abuja kuangalia hatua za kuuchukulia utawala wa kijeshi wa Niger.
Safari za ndege zatatizika kuelekea Afrika Magharibi
Niger ilitangaza kufunga anga yake jana Jumapili kutokana na kile ilichokitaja kuwa kitisho cha uvamizi.
Niger yafunga anga yake huku wasiwasi ukiongezeka baada ya mapinduzi
Jeshi la Niger lililompindua Rais Mohamed Bazoum limefunga anga ya nchi hiyo huku hali ya wasiwasi ikiendelea kutanda. Wakati huo huo maelfu ya wafuasi wa jeshi wamejitokeza kuonyesha uungwaji wao mkono kwa Jeshi.
Jeshi la Niger lafunga anga
Jeshi la Niger limelifunga anga na kuyatuhumu mataifa ya kigeni kujiandaa kwa mashambulizi kutoka nje.
Niger yangoja uvamizi wa kijeshi wa ECOWAS
Utawala mpya wa kijeshi unangoja kuona endapo jumuiya ya ECOWAS itatimiza azma ya kumrejesha madarakani Mohamed Bazoum.
Niger yafunga anga ikihofia uvamizi wa ECOWAS
Watawala wa kijeshi nchini Mali wametangaza kulifunga anga la nchi hiyo, kufuatia kitisho cha uvamizi wa ECOWAS.
Shinikizo lazidi kuongezeka kwa viongozi wa mapinduzi Niger
Ufaransa iliyowahi kuitawala Niger enzi za ukoloni imesema itaunga mkono hatua yoyote itakayochukuliwa na ECOWAS
Watawala wa kijeshi Niger waomba msaada mamluki wa Wagner
Watawala wapya wa kijeshi wa Niger wameomba msaada wa kundi la mamluki wa Urusi la Wagner.
ECOWAS yakamilisha mipango ya kuingia kijeshi nchini Niger.
Wajumbe kutoka nchi za jumuiya hiyo waliwasili nchini Niger Alhamisi iliyopita kwa ajili ya mazungumzo lakini yamekwama
ECOWAS wakubaliana uwezekano wa kuingilia kati kijeshi Niger
Wakuu wa majeshi kutoka nchi za Jumuiya ya ECOWAS wamekubaliana juu ya uwezekano wa kuingilia kati kijeshi nchini Niger.
Matangazo ya asubuhi 05.08.2023
Kuna uwezekano kiasi gani kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS kutumia nguvu kurejesha demokrasia ya Niger? +++Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu Human Rights Watch lakosoa maandalizi ya uchaguzi Zimbabwe. ++Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umezuwa tuhuma za uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu
ECOWAS yakubaliana uwezekano wa kuingilia kati Niger
ECOWAS iliwapatia muda wa wiki moja viongozi wa mapinduzi kumrejesha madarakani Rais aliyechaguliwa Mohamed Bazoum.
Ujerumani yahimiza juhudi za upatanishi Niger
Ujerumani yahimiza kuendelea kwa juhudi za upatanishi Niger.
Niger yavunja makubaliano ya kijeshi na Ufaransa
Niger imevunja mikataba yote ya kijeshi na Ufaransa na kuvizuia vyombo vya habari vya mkoloni huyo wa zamani.
Viongozi wa kijeshi wa Niger kujibu uchokozi
Viongozi wa kijeshi wa Niger kujibu jaribio lolote la kichokozi.
04.08.2023- Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Viongozi wa kijeshi wa Niger wasema wako tayari kujibu jaribio lolote la kichokozi. +++++++ Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekana mashitaka ya jinai yanayomkabili. +++++ Rais Volodymyr Zelensky asema vikosi vya nchi yake vinakabiliwa na mapigano makali lakini bado vinapambana.
Je, raia wa kanda ya Sahel wamekosa imani na demokrasia?
Raia wa ukanda wa Sahel wanaelemea zaidi kuamini wanajeshi kuliko watawala wa kiraia.
Maelfu ya watu waandamana Niger kupinga vikwazo vya ECOWAS
Waandamanaji hao wameunga pia mkono mataifa mengine yaliyokumbwa na mapinduzi ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni.
Utawala wa kijeshi waitisha maandamano makubwa Niger
Kumekuwepo wasiwasi wa usalama kufutia maandamano hayo huku Ufaransa ikidai kuhakikishiwa usalama kwa balozi za kigeni.
Mtawala wa kijeshi Niger aonya dhidi ya uingiliaji wa kigeni
Jenerali Jenerali Abdourahmane Tchiani amewataka wananchi kuandamana kuunga mkono utawala wake.
Ujumbe wa ECOWAS wawasili Niger
Ujumbe wa ECOWAS wawasili Niger
Rishi Sunak, Olaf Scholz walaani jaribio la mapinduzi Niger
Sunak na Olaf Scholz wazungumzia Niger
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 10
Ukurasa unaofuatia