1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2023- Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Sylvia Mwehozi
4 Agosti 2023

Viongozi wa kijeshi wa Niger wasema wako tayari kujibu jaribio lolote la kichokozi. +++++++ Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekana mashitaka ya jinai yanayomkabili. +++++ Rais Volodymyr Zelensky asema vikosi vya nchi yake vinakabiliwa na mapigano makali lakini bado vinapambana.

https://p.dw.com/p/4UlIH