You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujumbe wa ECOWAS watua Niger kutafuta suluhu
Ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS unaoongozwa na Nigeria, umewasili Niger kujadiliana na
Jumuiya ya ECOWAS inaweza kuziwajibisha tawala za kijeshi?
ECOWAS imerejea tena mbele ya macho ya wengi baada ya kutangaza nia ya kuiwekea vikwazo Niger kufuatia mapinduzi
Ndege za uokozi kutoka Niger zatua Ufaransa
Ndege za uokozi kutoka Niger zatua Ufaransa
Ndege za kwanza kutoka Niger zatua Paris
Ndege mbili za kwanza zilizokuwa zinawabeba raia wa Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya walioondolewa kutoka Niger, zim
Ndege ya uokozi kutoka Niger yatua Ufaransa
Ndege ya uokozi kutoka Niger yatua Ufaransa
Ujerumani yaishukuru Ufaransa kwa kuwaondoa raia wake Niger
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ameishukuru Ufaransa kwa kusaidia kuwaondoa raia wake Niger.
Ufaransa kuwaondoa raia wake Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa imetangaza mpango wa kuwaondoa Niger raia wake na wa Ulaya baada ya mapinduzi ya kijeshi kufanyika nchini humo.
Ufaransa inapanga kuwaondoa raia wake nchini Niger
Ufaransa inapanga kuwaondoa raia wake nchini Niger kufuatia mapinduzi
Onyo latolewa kuhusu uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Mali, Burkina Faso zaonya dhidi ya uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Burkina Faso, Mali zaonya dhidi ya uingiliaji kijeshi Niger
Utawala mpya wa kijeshi Niger umeituhumu Ufaransa kwa kutaka kuingilia kijeshi ili kumrejesha madarakani Mohamed Bazoum
Utawala wa kijeshi wa Niger wawakamata maafisa wa serikali
Utawala wa kijeshi nchini Niger umewakamata maafisa kadhaa waandamizi wa serikali iliyopinduliwa ya Rais Mohamed Bazoum.
Vikwazo vya kiuchumi vya ECOWAS kuwaathiri raia wa Niger
Ombi la Niger la mkopo wenye thamani ya dola milioni 51 limetupiliwa mbali na Benki ya ukanda huo kutokana na vikwazo.
Utawala wa kijeshi wa Niger waituhumu Ufaransa kula njama
Utawala wa kijeshi Niger umeituhumu Ufaransa kula njama ya kumrejesha madarakani Rais Mohammed Bazoum.
Niger yaituhumu Ufaransa kutaka kumrejesha Bazoum madarakani
Rais Mohamed Bazoum ambaye ni mshirika wa Magharibi, ameshikiliwa na jeshi tangu siku ya Jumatano wiki iliyopita.
ECOWAS kuwawekea vikwazo watawala wa kijeshi Niger
ECOWAS imetishia kuwawekea vikwazo vikali viongozi wa kijeshi waliokamata madaraka kwa nguvu nchini Niger.
Viongozi wa ECOWAS wawaonya viongozi wa mapinduzi, Niger
Viongozi wa ECOWAS wamekutana katika mkutano wa kilele usio wa kawaida nchini Nigeria, kuijadili Niger.
Vikwazo vyainyemelea Niger
Jumuiya ya kimataifa imesema wanafanya kila linalowezekana kuilinda demokrasia ya nchini Niger baada ya mapinduzi.
AU na EU zaongeza shinikizo kwa viongozi wa mapinduzi Niger
Baraza la amani na usalama la Umoja wa Afrika, limewataka wanajeshi kurejea mara moja katika kambi zao.
Blinken aapa kumuunga mkono rais wa Niger aliyepinduliwa
Matamshi ya Blinken yametolewa siku moja baada ya Jenerali Tchiani kujitangaza kuwa kiongozi mpya wa mpito wa Niger.
Baraza la usalama la UN lalaani mapinduzi ya Niger
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali mapinduzi ya kijeshi ya Niger na kutaka Rais Bazoum aachiliwe.
Macron kuongoza mkutano wa ulinzi kuhusu mapinduzi ya Niger
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, leo ataongoza mkutano wa ulinzi kuhusu mapinduzi yaliyotokea Niger.
Niger yatangaza kiongozi mpya
Taifa hilo limeingia katika mkwamo baada ya jeshi kupindua utawala wa kidemokrasia nchini Niger.
Jenerali Abdourahamane Tiane ajitangaza kiongozi mpya Niger
Mkuu kikosi cha ulinzi wa rais nchini Niger Jenerali Abdourahamane Tiani, amejitangaza kuwa Rais wa baraza la mpito la n
Nani anayeiongoza Niger baada ya mapinduzi?
Wachambuzi wameonya kuwa vurugu hizo za kisiasa huenda zikarudisha nyuma vita dhidi ya makundi ya itikadi kali
Ufaransa: Upo uwezekano wa suluhu ya mzozo wa Niger
Ufaransa, iliyowahi kuitawala nchi hiyo imesema haizingatii jaribio hilo la kuipindua serikali kama hatua ya "mwisho."
Jumuiya ya Kimataifa yalaani mapinduzi nchini Niger
Jumuiya ya Kimataifa yalaani mapinduzi nchini Niger
Umoja wa Ulaya wataka Bazoum aachiliwe huru
Umoja wa Ulaya leo umetoa wito wa "kuachiwa mara moja" kwa Rais wa Niger Mohamed Bazoum na familia yake.
Jeshi na wananchi waunga mkono mapinduzi ya Niger
Mamia ya wananchi pia wamepiga kambi jengo ya bunge kuunga mkono mapinduzi na kuvamia makao makuu ya chama cha Bazoum.
Rais Bazoum aapa kuilinda demokrasia ya Niger
Viongozi wa kikanda na kimataifa wameendelea kutoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa Rais Bazoum na kulaani mapinduzi.
Rais Bazoum aapa kuilinda demokrasia licha ya kupinduliwa
Rais Mohamed Bazoum wa Niger ameapa kuyalinda mafanikio ya kidemokrasia yaliyopiganiwa kwa bidii licha ya kupinduliwa.
Jeshi la Niger latangaza rasmi mapinduzi dhidi ya Bazoum
Wanajeshi wa Niger wametangaza rasmi kumpindua Rais Mohamed Bazoum, masaa machache baada ya kuzuiliwa na walinzi wake.
Wanajeshi wa Niger wadai kumuondoa madarakani Rais Bazoum
Kundi la wanajeshi wa Niger, limetangaza kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
Niger yakumbwa na kitisho cha "mapinduzi ya kijeshi"
Niger imekumbwa na matukio ya mapinduzi mara nne tangu ilipopata uhuru kutoka Ufaransa, 1960.
Jaribio la mapinduzi linaendelea nchini Niger
Jaribio la mapinduzi linaendelea nchini Niger
Watu 5 wameuwawa kwenye shambulio la itikadi kali Niger
Watu 5 wameuwawa kwenye shambulio la itikadi kali Niger.
Watu 11,000 wakimbia makaazi yao kusini magharibi mwa Niger
Umoja wa Mataifa unasema watu 11,000 wameyakimbia makaazi yao kusini magharibi mwa Niger.
Amnesty: Afrika Magharibi iongeze vita dhidi ya rushwa
Ni miaka 20 tangu kutiwa Saini Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa
Ujerumani yachukua urais wa muungano wa kanda ya Sahel
Muungano wa Sahel wenye wanachama 18 ulianzishwa mwaka 2017 na Ujerumani, Ufaransa na Umoja wa Ulaya na nchi za G5.
Uamuzi wa Rais Sall wapokelewa kwa hisia mseto
Uamuzi wake wa kutowania muhula mwingine wa uraia umepokelewa kwa hisia tofauti na kupongezwa na viongozi wa kikanda.
Askari wa zamani aliyehukumiwa kwa mauaji ya Rwanda afariki
Wakili wake Abbe Jolles amesema Tharcisse Muvunyi alipatikana jana mchana akiwa amefariki bafuni
Wanamgambo 55 wameuwa katika operesheni ya pamoja, Niger
Taarifa ilisema katika operesheni hiyo askari wawili waliuawa na wengine watatu walijeruhiwa
Ujerumani yaahidi kuongeza ushirikiano wa kijeshi na Niger
Ujerumani inakusudia kuongeza wanajeshi wake Niger ambapo watatoa mafunzo na msaada kwa vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinakabiliwa na kuongezeka kwa kitisho cha wapiganaji wenye itikadi kali za Kiislamu.
Ndege iliyowabeba Mawaziri wa Ujerumani yapata tatizo
Ziara hiyo ambayo haikutangazwa kabla kwa sababu za kiusalama
Niger: Wanajeshi 5 wafa katika shambulizi
Mashambulizi dhidi ya wachimbaji wa dhahabu yamekuwa yakitokea mara kwa mara katika mkoa wa Agadez
Marekani yatangaza msaada zaidi wa kifedha kanda ya Sahel
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametangaza msaada wa Dola milioni 150 kwa kanda ya Sahel
17.03.2023 Matangazo ya Asubuhi
17.03.2023 Matangazo ya Asubuhi
Blinken aendelea na ziara barani Afrika
Blinken aendelea na ziara barani Afrika
Blinken aelekea Niger kuonyesha mshikamano zaidi wa Marekani
Akiwa Ethiopia, Blinken amesifu maendeleo katika utekelezaji wa mkataba wa amani wa kumaliza mzozo wa Tigray.
Wanajeshi 10 wauawa Niger na wanaoshukiwa kuwa magaidi
Idadi ya vifo huenda ikaongezeka kufuatia watu kadhaa kutoweka.
Bomu lawaua askari wawili wa kulinda amani Mali
Askari wawili wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa raia wa Misri, wameuawa kwa bomu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 10
Ukurasa unaofuatia