1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Niger yafunga anga yake huku wasiwasi ukiongezeka baada ya mapinduzi

7 Agosti 2023

Jeshi la Niger lililompindua Rais Mohamed Bazoum limefunga anga ya nchi hiyo huku hali ya wasiwasi ikiendelea kutanda. Wakati huo huo maelfu ya wafuasi wa jeshi wamejitokeza kuonyesha uungwaji wao mkono kwa Jeshi.

https://p.dw.com/p/4Urth