1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa Niger wazingatiwa na wahariri wa Ujerumani

11 Agosti 2023

Mazeti ya Ujerumani wiki hii yamejishughulisha na mzozo unaoendelea kutokota nchini Niger na vita vya Sudan. Wahariri pia wamezungumzia vita vipya vilivyozuka eneo la Tigray nchini Ethiopia na sakata la malipo ya marupurupu ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Josephat Charo amekuandalia Afrika katika magazeti ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/4V2n8