1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNiger

Je, hatua za kijeshi ni mwafaka kwa mzozo wa Niger?

John Juma11 Agosti 2023

DW imezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Ahmed Rajab, kujua mtizamo wake kuhusu uamuzi wa Jumuiya ya ECOWAS kukiweka tayari kikosi cha dharura kwa uwezekano wa kuingia Niger ili kurejesha utaratibu wa kikatiba.

https://p.dw.com/p/4V2Vr