1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNiger

Ujerumani yaahidi kuongeza ushirikiano wa kijeshi na Niger

14 Aprili 2023

Ujerumani inakusudia kuongeza wanajeshi wake Niger ambapo watatoa mafunzo na msaada kwa vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinakabiliwa na kuongezeka kwa kitisho cha wapiganaji wenye itikadi kali za Kiislamu.

https://p.dw.com/p/4Q4J5