You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mazungumzo ya deni la Marekani yakwama tena
Chama cha Republican kinamtaka Biden kupunguza matumizi ili kumuunga mkono katika kuiongezea serikali kiwango cha kukopa
Mataifa ya G7 yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Kwenye mkutano wao wa kilele nchini Japan, viongozi wakuu wa G7 wamekubaliana juu ya vikwazo zaidi dhidi ya Urusi.
Amnesty: Idadi ya watu walionyongwa iliongezeka mwaka 2022
Kulingana na Amnesty International, idadi ya watu waliouawa kwa kunyongwa ulimwenguni kote mwaka 2022 ilifikia 883.
Viongozi wa G7 kujadili "mabavu ya kiuchumi" ya China
Viongozi wa G7 kujadili China inavyotumia nguvu zake kiuchumi kama turufu katika mahusiano yake na mataifa mengine.
Mawaziri wa G7 wajadili juu ya kadhia ya deni la Marekani
Iwapo Marekani itashindwa kulipa deni lake la taifa hali hiyo itasababisha matatizo makubwa duniani.
Wahamiaji wapambana kuvuka mpaka wa Mexico kuingia Marekani
Mamia ya wahamiaji wanapambana kuvuka mpaka wa Mexico na kuingia Marekani kabla ya kuondolewa kwa vizuizi vya corona
Mapigano yanaendelea katika mji wa Khartoum nchini Sudan
Mapigano yanaendelea nchini Sudan licha ya juhudi za Saudi Arabia na Marekani za kusimamisha mapigano hayo.
Watu kadhaa wauwawa kwa risasi Texas, Marekani
Watu tisa wameuliwa kwa kupigwa risasi na mtu aliyekuwa na bunduki katika mji wa Allen jimboni Texas nchini Marekani
Jill Biden kushuhudia kutawazwa kwa Mfalme Charles III
Jill Biden ataiwakilisha Marekani kwenye sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Charles III wa Uingereza
Marekani na Saudia wakaribisha mazungumzo ya amani ya Sudan
Majeshi hasimu nchini Sudan yamekuwa yakipambana kwa wiki tatu sasa na kusababisha wasiwasi mkubwa ndani na nje.
Marekani yatishia vikwazo vipya nchini Sudan
Mapigano ya Sudan yamechochea maelfu ya watu kuyakimbia makazi yao na wengine kukimbilia mataifa jirani kusaka usalama.
Urusi: Marekani iliagiza Kremlin ishambuliwe kwa droni
Urusi Alhamis imeituhumu Marekani kwa kuhusika katika shambulizi la droni lililonuiwa kumuua Rais Vladimir Putin katika
USAID na WFP zasitisha msaada wa chakula kwa jimbo la Tigray
Msimamizi wa USAID Samantha Power amesema chakula cha msaada kiliporwa na kuuzwa kwenye soko la ndani
Marekani na Ufilipino waungana dhidi ya uchokozi wa China
Marekani na Ufilipino waungana kiulinzi wakati uchokozi wa China ukiongezeka.
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa wakimbizi Sudan
Majenerali wanaopambana wamekubali kupeleka wawakilishi wao Saudi Arabia kwa mazungumzo.
Maelfu wafukuzwa kazi kwa kushiriki mgomo Iran
Maelfu wafukuzwa kazi Iran
Moshi watanda anga ya mji wa Khartoum
Moshi watanda anga ya mji wa Khartoum
Ushirika wa Korea kusini na Marekani utazidisha uhasama
Dada wa kiongozi wa Korea Kaskazini amesema makubaliano ya hivi karibuni ya Marekani na Korea Kusini yatazidisha uhasama
Meli moja yashambuliwa nchini Yemen
Marekani imeitaka Iran iiachilie meli hiyo ikisema hatua hiyo inakwenda kinyume na sheria ya kimataifa
Marekani, Korea Kusini kukabiliana na kitisho cha Pyongyang
Marais Biden na Yoon pia wamekubaliana kuimarisha uhusiano wa kiuchumi,
IGAD yapendekeza kuongezwa muda wa kusimamisha vita Sudan.
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Volker Perthes amesema haoni dalili ya mapigano kumalizika hivi karibuni.
Kampeni ya Biden ya kugombea Urais 2024 na changamoto zake
Miongoni mwa changamoto zinazomkabili Biden ni athari za janga la Covid-19, uchumi na mfumuko wa bei.
Guterres: jeshi la kimataifa linapaswa kupelekwa Haiti
Guterres asema ukosefu wa usalama katika mji mkuu Haiti umefikia viwango vinavyolingana na nchi zinazokumbwa na vita.
Biden atangaza kuwania tena urais wa Marekani
Trump ameuita uamuzi huo kuwa wa mtu aliyeshindwa vibaya kwenye masuala yote muhimu ya nchi.
Ripoti ya SIPRI: Matumizi ya kijeshi yaongezeka duniani kote
Wanasiasa wa Marekani wanatahadharisha kwamba China inaziba pengo la kijeshi kati yake na Marekani.
Jeshi la Ujerumani limewaondoa watu 101 kutoka Sudan.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ahimiza mazungumzo kumaliza mzozto wa Sudan
Raia wa kigeni na wanadiplomasia kuondolewa nchini Sudan.
Mkuu wa jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema pande zinazopigana zinahitaji kuzungumza kama Wasudan
Sudan: Guterres atoa wito wa kusitishwa mapigano
Maelfu ya raia wamelazimika kuondoka katika mji mkuu Khartoum huku milipuko ya mabomu ikiendelea kusikika
Biden atangaza dola bilioni 1 kwa kukabiliana na joto
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza ufadhili mwingine wa Marekani wa kimazingira wenye thamani ya dola bilioni moja
Msafara wa ubalozi wa Marekani washambuliwa Sudan
Blinken ameeleza kuwa kila mtu aliyekuwemo ndani ya msafara huo wa magari yuko salama.
Pentagon yamnasa mtu anayeshukiwa kuvujisha nyaraka za siri
The Washington Post iliripoti kuwa mamia ya kurasa za nyaraka zilikuwa zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Discord
Biden akutana na rais na waziri mkuu wa Ireland
Biden amekutana na viongozi wa Dublin
Biden: Mustakabali wa Ireland Kaskazini ni wa Marekani pia
Rais wa Marekani Joe Biden amesema mustakabali mzuri wa Ireland Kaskazini ndiyo kwanza umeanza.
Mpinzani mkubwa wa China kuwania urais Taiwan
Uamuzi huu unatazamiwa kuikasirisha zaidi na China inayokichukulia kisiwa hicho kuwa sehemu yake iliyojitenga
Ukraine yakanusha kubadili mkakati wa mashambulizi
Majeshi ya Urusi yamezidisha mashambulizi katika miji ya mashariki mwa Ukraine wakati ambapo maafisa wa serikali ya Ukra
Biden aenda Ireland ya Kaskazini
Biden anajali Ireland Kaskazini na ana historia ndefu ya kuunga mkono amani na ustawi wa eneo hilo.
Watumishi 2 wa shirika la misaada ya Marekani wauawa, Amhara
Shirika hilo la Marekani limesema waliouawa ni meneja wa usalama Chuol Tongyik na dereva Amare Kindeya
Marekani yasaka chanzo cha kuvuja kwa nyaraka zake za siri
Mitandao ya Twitter, Telegram, Discord na mingineyo imekuwa ikizipata nyaraka hizo katika siku chache zilizopita
Biden kuwania tena urais 2024
Biden kuwania tena urais 2024
China yahitimisha luteka ya kijeshi karibu na Taiwan
China yahitimisha luteka ya kijeshi
China yahitimisha luteka za kijeshi kuizunguka Taiwan
Vyombo vya habari vya China viliripoti kwamba ndege kadhaa za kijeshi zilifanya mazoezi ya kuifunga anga ya Taiwan.
China yaendeleza luteka za kijeshi kuizunguka Taiwan
China inaendelea na mazoezi ya kijeshi kukizunguuka kisiwa cha Taiwan inachokichukulia kama semehu ya himaya yake.
China yamuwekea vikwazo Balozi wa Taiwan nchini Marekani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan imejibu kwa ghadhabu hatua hiyo
Uchambuzi: Mashtaka dhidi ya Trump yaibua mengine mapya
Swali linaloning'inia ni je Trump alikusudia kukiuka sheria ya uchaguzi, japo hajashtakiwa kwa kosa hilo?
Iran yakaribisha wito wa marekani kuunga mkono amani Yemen.
Iran yapongeza wito wa Marekani wa kusaidia kumaliza mgogoro wa muda mrefu nchini Yemen
Trump ajitetea, adai Wademocrat waihujumu azma yake ya urais
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amejitetea vikali katika matamshi yake ya kwanza kwa umma tangu kufikishwa kizim
Trump aapa kupambana mahakamani
Uwezekano wa Trump kukamatwa unaongeza mashaka kwenye kampeni yake ya kuwania kurejea kwenye Ikulu ya White House.
Trump kukamatwa Jumanne
Trump atakamatwa rasmi na kufikishwa kizimbani Jumanne wiki ijayo kutokana na mashtaka ya jinai dhidi yake.
Trump kushtakiwa kufuatia malipo kwa Stormy Daniels
Baraza kuu la mahakama ya New York limeidhinisha rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ashtakiwe.
Waliojeruhiwa kwa bunduki waongezeka Marekani
Majeruhi wa rusasi waongezeka Marekani
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 66
Ukurasa unaofuatia