You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Japan: Wasiwasi waibuka kuhusu wanasayansi wa kigeni
Kesi ya madai ya uvujaji wa teknolojia inayomhusisha mtafiti wa China nchini Japani "inapaswa kuwa kengele ya tahadhari.
Nini kitatokea iwapo Ukraine itajiunga na NATO?
Wakati Rais Volodymyr Zelenskiy akishinikiza nchi yake kupewa uanachama, swali ni kipi kitatokea baada ya hapo.
Sweden na Uturuki zakutana Brussels kuhusu NATO
Maafisa waandamizi wa Sweden na Uturuki watakutana Alhamis katika makao makuu ya NATO mjini Brussels, ili kuangazia hatu
China yaituhumu Marekani kuigeuza Taiwan kuwa eneo hatari
Matamshi hayo ya China yanafuatia mauzo ya silaha yaliyofanywa na Washington kwa kisiwa hicho kinachojitawala.
Marekani yarejea UNESCO baada ya kujitoa kwa miaka 6
Marekani imerejea kuwa mwanachama wa shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO.
Biden asema Putin anapoteza vita nchini Ukraine
Rais Joe Biden pia amemtaja Putin kama mtu alietengwa na ulimwengu.
Wafungwa wateswa kinyama Guantanamo
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamewasilisha ripoti inayoelezea matendo ya kinyama dhidi ya wafungwa.
Urusi yachunguza ikiwa nchi za magharibi zilihusika na uasi
Idara ya intelijensia Urusi, inachunguza ikiwa nchi za Magharibi zilihusika katika kitisho cha uasi wa kundi la Wagner.
China yaikosoa Marekani kwa kuyashtaki makampuni yake
China imezikosoa mamlaka za Marekani kwa kuzishtaki kampuni nane na raia wanne wa China kwa tuhuma za kufanya ulanguzi,
China yasema matamshi ya Biden kumuita Xi dikteta ni upuuzi
Mzozo huo mpya umejiri siku chache tu baada ya ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken mjini Beijing.
Madege ya kivita ya Marekani yatua nchini Sweden
Madege ya kivita ya Marekani yatua nchini Sweden kwa mara ya kwanza katika historia ya sasa
Matumaini yarejea katika mahusiano ya Marekani na China
Blinken na Xi wote wamesisitiza umuhimu wa kuwa na uhusiano thabiti kati ya Washington na Beijing.
Marekani yasikitishwa na ombi la Mali kuhusu tume ya MINUSMA
Marekani imeelezea masikitiko yake kuhusu uamuzi wa Mali kukitaka kikosi cha kulinda amani cha Minusma kiondoke nchini.
Hatimaye Blinken akutana na Xi katika ziara yake ya Beijing
Hatua ya Rais Xi kufanya mazungumzo na Blinken inatizamwa kama ishara muhimu kwa Beijing kupunguza joto la mivutano.
Blinken awasili China kupunguza joto la mivutano
Blinken na ujumbe wake wameanza ziara ya siku mbili kwa kukutana na waziri wa mambo ya nje wa China Qin Gang.
Marekani yataka Ukraine isaidiwe na silaha zaidi
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin leo mjini Brussels, amewataka marafiki wa Ukraine kuisaidia na silaha zaidi za
Wabunge Marekani wahoji uhusiano wa Afrika Kusini na Urusi
Afrika Kusini inatazamiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la kibiashara la AGOA mjini Johannesburg, baadae mwaka huu.
Saudi Arabia yatangaza mkutano wa kuichangia Sudan
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa takribani watu milioni 25 wa taifa hilo wana uhitaji.
Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na China wazungumza
Mahusiano kati ya madola hayo mawili makubwa kiuchumi yamezorota katika miaka ya karibuni
Trump akana makosa katika kesi ya kuhodhi nyaraka za siri
Hatua hiyo inamaanisha kwamba inaweza kuchukua mwaka mmoja au zaidi hadi kesi kuanza kusikilizwa.
Trump amekana mashtaka ya nyaraka za siri
Trump akana mashtaka ya nyaraka za siri
Marekani na Saudi Arabia zashtumu kurejea kwa vita Sudan
Marekani na Saudi Arabia zashtumu kurejea kwa vita Sudan baada ya kusitishwa kwa saa 24
NATO kufanya mazoezi makubwa kabisa Ujerumani
Maeneo matatu yatafungwa kwa muda. Safari za ndege za kiraia hazitaruhusiwa katika anga ambazo yatafanika mazoeizi hayo
Sudan: Amri ya kusitisha vita kwa muda wa saa 24 yaanza.
Amri ya kusitisha vita kwa muda wa saa 24 imeanza leo Jumamosi nchini Sudan ingawa raia waonesha mashaka.
Marekani yasema Urusi yaimarisha ushirikiano wake na Iran.
Ikulu ya Marekani yasema Urusi inaonekana kuimarisha ushirikiano wake wa ulinzi na Iran.
NATO kufanya luteka kubwa ya angani nchini Ujerumani
Jumuiya ya Kujihami ya NATO itafanya mazoezi makubwa kabisa ya kijeshi ya angani kuwahi kufanywa nchini Ujerumani.
Pande zinazozozana Sudan zakubali kusitisha vita kwa saa 24
Majenerali wanaohasimiana nchini Sudan wamekubali kusitisha vita kwa muda wa saa 24 kuanzia Jumamosi.
China yasema Marekani yaeneza uvumi kuhusu kituo cha ujasusi
China yasema Marekani yaeneza uvumi kuhusu kituo cha ujasusi
Marekani yajitolea kuendeleza ushirikiano na nchi za Ghuba
Blinken ametoa kauli hiyo Riyadh wakati wa ziara yake ya siku 3 nchini Saudi Arabia alipokutana na viongozi wa juu.
Blinken, MBS wafanya 'mazungumzo ya wazi' Jeddah
Ziara ya Blinken nchini Saudi Arabia iliyoanza Jumanne ndiyo ya pili tangu kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.
Sunak ziarani nchini Marekani kwa mazungumzo na Rais Biden
Sunak amesema pia analenga kuimarisha mahusiano ya Uingereza na Marekani kwenye nyanja za uchumi.
Kwanini Marekani iliingia katika mkwamo wa madeni?
Marekani bado inakabiliwa na matumizi makubwa katika huduma za afya na pensheni kwa idadi kubwa ya wazee
Mapigano yaendelea kushuhudiwa nchini Sudan
Saudi Arabia na Marekani zimesema zinaendelea na mazungumzo ya kila siku na wajumbe kutoka pande mbili hasimu.
Miili 180 yazikwa bila ya kutambuliwa Sudan
Wafanyakazi wa Hilali nyekundu nchini Sudan, wameizika miili 180 bila ya kutambuliwa katika miji ya Khartoum na Darfur.
Blinken kwenda Saudi Arabia wiki ijayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anatarajiwa kufanya ziara nchini Saudi Arabia juma lijalo
Marekani yaepuka hatari ya kushindwa kulipa deni lake.
Mswada ulioidhinishwa na pande mbili unapaswa kutiwa saini na kuwa sheria kabla ya tarehe ya mwisho ya Juni 5.
Marekani na Taiwan zasaini makubaliano ya kibiashara
Marekani na Taiwan zimesaini makubaliano ya kibiashara licha ya upinzani kutoka China.
Wasiwasi waongezeka kuhusu mzozo wa Kosovo na Serbia
Jamii ya Wasarbeia wa Kosovo wapinga hatua ya serikali kuachia mameya kudhibiti mabaraza ya miji kaskazini mwa Kosovo
Marekani yaweka vikwazo vipya dhidi ya taasisi za Sudan
Marekani hakubainisha wazi ikiwa hatua hizo zitawalenga majenerali wanaoongoza makundi hasimu katika mzozo huo.
Marekani: Tutarejea katika usuluhishi wa Sudan kwa masharti
John Kirby amesema hali mbaya ya usalama inazuia zoezi la kufikisha msaada wa dharura
Bunge la Marekani lapitisha muswada wa ukomo wa kukopa
Rais Joe Biden amesema makubaliano hayo ni habari njema kwa watu wa Marekani
Pence ajitosa kwenye kinyang'anyiro cha Ikulu ya White House
Kura za maoni zinaonyesha wapiga kura wengi bado wanampendelea Donald Trump akiwa na uungwaji mkono wa asilimia 53.
Korea Kaskazini kurusha satelaiti yake ya kwanza ya kijasusi
Kufutia kitisho hicho waziri wa ulinzi wa Japan alitoa onyo la vikosi vyake kuishambulia setilaiti hiyo
Pande hasimu Sudan zakiuka mkataba wa usitishaji mapigano
Kulingana na Umoja wa Mataifa, takriban watu milioni 1.4 wamepoteza makaazi yao kutokana na vita hivyo.
Marekani yaitaka Kongo kuheshimu haki ya kuandamana
Wakati huohuo vyama vikuu vya upinzani vimeitisha maandamano mapya mjini Kinshasa kuomba uchaguzi huru na wa haki.
Ron DeSantis ajitosa katika mbio za urais wa Marekani 2024
Uzinduzi wa nia ya urais ya DeSantis kwenye mtandao wa Twitter ulikumbwa na matatizo ya mara kwa mara ya kiufundi
Marekani: Ron DeSantis kutangaza nia ya kuwania urais
Gavana wa Florida, Ron DeSantis anatarajiwa kutangaza nia yake ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican.
DeSantis kutangaza nia ya kuwania urais Marekani
Gavana wa jimbo la Florida Ron DeSantis atatangaza Jumatano nia yake ya kugombea urais wa Marekani.
Wasiwasi waongezeka Marekani kabla ya mkutano kuhusu madeni
Rais Biden alilazimika jana Jumapili kuikatisha ziara yake barani Asia
Pande hasimu zakubaliana kusitisha mapigano kwa wiki 1 Sudan
Khartoum yashuhudia mapigano makali kuelekea makubaliano ya kusitisha mapigano kwa wiki moja kati ya majenerali hasimu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 66
Ukurasa unaofuatia