You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Putin azitaka Armenia na Azerbaijan kujizuia na mapigano
Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema ana wasiwasi kuhusu mapigano mapya yaliyozuka kati ya Armenia na Azerbaijan.
Pelosi alaani mashambulizi ya Azerbaijan dhidi ya Armenia
Pelosi amelaani 'shambulizi ambalo ni kinyume cha sheria' ambalo limefanywa na Azerbaijan dhidi ya Armenia.
Marekani kutoa msaada wa dola bilioni 2 kwa Ukraine
Marekani imetangaza msaada mpya wa kijeshi wa dola bilioni mbili kwa Ukraine.
Urusi: Maelfu wakusanyika kumzika Mikhail Gorbachev
Watu walijipanga foleni na kupitia mahala ambapo jeneza lake liliwekwa.
Marekani haijaridhishwa na jawabu la Iran kuhusu nyuklia
Marekani imesema haijaridhishwa na jawabu jipya kutoka kwa Iran kuhusiana na kuufufua mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015,
Upi mustakabali wa Afghanistan mwaka mmoja baadaye?
Uongozi wa Taliban unaadhimisha mwaka mmoja tangu kuondoka kwa wanajeshi wa Marekani. Uongozi huo umeitaja siku ya leo kuwa ya ukombozi kutoka ukaliaji wa kimabavu wa Marekani. Lakini je, kuna mabadiliko yoyote mwaka mmoja tangu kuondoka kwa wanajeshi hao? Sikiliza mahojiano kati ya Amina Abubakar na mchambuzi wa masuala ya kimataifa anayeishi jijini London, Ahmed Rajab.
Makubaliano ya nyuklia ya Iran kufikiwa karibuni?
Makubaliano hayo yalikuwa katika hali tete tangu aliyekuwa rais Donald Trump wa Marekani alipojiondoa mwaka 2018.
Marekani yasema Urusi inapanga kufanya mashambulizi Kyiv
Rais wa Poland Andrzej Duda amewasili leo mjini Kyiv kujadili juu ya kupeleka msaada zaidi kwa Ukraine
Marekani, Korea Kusini waanza mazoezi ya kijeshi
Mazoezi hayo ya kijeshi yanafanyika katikati ya ongezeko la wasiwasi katika rasi ya Korea.
Je, Ukraine inafanya maandalizi ya kulipiza kisasi?
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametishia kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya Urusi. Je, mashambulizi y
Ujumbe wa Marekani wataka rais kukabidhi madaraka kwa amani
Ujumbe wa Marekani wataka rais kukabidhi madaraka kwa amani
Marekani: Liz Cheney ashindwa kwenye kura za mchujo
Liz Cheney amedokeza azma yake ya kugombea urais ifikapo mwaka 2024
Putin:Marekani inachochea mzozo Ukraine
Putin ametoa kauli hiyo katika hotuba yake ya video kwenye ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa usalama mjini Moscow
Ulaya imepokea majibu ya Iran kuhusu mkataba wa nyuklia
Umoja wa Ulaya umepokea majibu ya Iran kuhusu rasimu ya mwisho ya makubaliano ya kuufufua mkataba wa nyuklia wa Iran.
Mkwamo kuhusu mkataba wa nyuklia wanufaisha pande husika
Wadadisi wasema kuuweka hai mkataba wa nyuklia wa Iran kunasaidia maslahi ya pande zote mbili.
Mwaka mmoja wa Taliban madarakani
Taliban wameshindwa kutimiza ahadi walizozitowa Doha katika makubaliano na Marekani
Zaporizhhzhia: Ukraine na Urusi zatupiana lawama
Huku pande zote mbili zikitupiana lawama kuhusu mashambulizi ya hapo jana yalioathiri mitambo za umeme.
China yafanya luteka mpya za kijeshi Taiwan
China imesema inafanya luteka za kawaida za kijeshi Taiwan, katika eneo lake la baharí kwa uwazi na kutumia taaluma.
Taiwan: Blinken ailaumu China kwa luteka zake za kijeshi
China imesema imemwekea vikwazo Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi kwa kuzuru kisiwa cha Taiwan..
Al-Sadr aonyesha nguvu yake kwa mara nyengine Irak
Mamia kwa maelfu ya Wairaki wameitikia mwito wa kiongozi wa kidini wa Kishia mwenye ushawishi mkubwa Muqtada al-Sadr na
China yamuwekea vikwazo Pelosi
China imetangaza kumuwekea vikwazo spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi kufuatia ziara yake ya Taiwan.
Pelosi asema Marekani haitaitelekeza Taiwan
Pelosi asema Marekani haitaitelekeza Taiwan
Spika Pelosi aizuru Taiwan licha ya onyo la China
Wizara ya ulinzi ya Taiwan imeweka jeshi lake kwenye hali ya tahadhari tayari kujilinda ikibidi.
Al-Zawahri ni nani na kwa nini ameuawa na Marekani?
kwa nini Marekani imekuwa ikimsaka na hatimaye kumuua?
Pelosi awasili Taipei licha ya vitisho vya China
Wakati huo huo Urusi imesema imefungamana na China, na kuita matarajio ya ziara ya Pelosi kuwa uchokozi mtupu.
Marekani yafanikiwa kumuua kiongozi mkuu wa Al-Qaida
Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kuuawa kwa kiongozi wa kundi la al-Qaida, Ayman al-Zawahiri, mjini Kabul.
Vikosi vya Ukraine vyakomboa makaazi 40 ya Kherson
Jeshi la Ukraine vimesema vimekomboa zaidi ya makaazi 40 katika jimbo muhimu la Kherson, wakati ambapo Ukrain
Blinken na Lavrov wajadili kubadilishana wafungwa
Rais wa Ukraine ameitembelea moja ya bandari kwenye Bahari Nyeusi kushuhudia maandalizi ya usafirishaji nafaka.
Biden na Xi Jinping wakabiliana kwa njia ya simu
Biden na Xi Jinping wakabliana kwa simu
Utawala wa kijeshi Myanmar wanyonga wanaharakati wanne
Utawala wa kijeshi nchini Myanmar, umesema umewaua wanaharakati wanne wa demokrasia
Biden kwa Waarabu 'Marekani haitaiacha Mashariki ya Kati'
Marekani yahitaji kurekebisha uhusiano kati yake na Saudi Arabia
Biden,Lapid wasaini mkataba mpya dhidi ya Iran
Rais wa Marekani Joe Biden na mwenyeji wake wa Israel, Waziri Mkuu wa Israel Yair Lapid, wametia saini mkataba mpya
Biden, Yair wakubaliana kuzuia mpango wa nyuklia wa Iran
Hatua hiyo inaashiria kufikiwa muafaka baada ya kutofautiana namna ya kutumia diplomasia kushughulikia mzozo wa Iran.
Rais Biden ajitetea juu ya kufanya ziara nchini Saudi Arabia
Biden aliulaumu vikali utawala wa Saudi Arabia kwa uvunjaji wa haki za binadamu katika kampeni zake za urais.
Azimio la Lugano la kuijenga upya Ukraine latiwa saini
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa asema uharibifu wa miundombinu nchini Ukraine utachukua miaka kadhaa kujengwa upya
Watu 6 wafariki katika siku ya uhuru Marekani
Mauaji ya watu sita yaliyofanywa na mtu aliyejihami kwa bunduki huko Chicago, Marekani Jumatatu, yametilia kiwingu maa
Marekani: Yumkini Shireen aliuwawa kwa risasi ya Israel
Marekani imefikia hitimisho kuwa risasi iliyomuua mwandishi habari Shireen Abu Akleh huenda ilifyetuliwa na Israel.
Mahakama ya ICC yaadhimisha miaka 20 ya uwepo wake
Mahakama ya ICC yaadhimisha miaka 20 ya uwepo wake
Mazungumzo ya mkataba wa nyuklia na Iran mbioni kuanza tena
Iran imeahidi kuwa mazungumzo kati yake na Marekani ya kuufufua mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015 yataanza tena karibuni.
Mahakama ya Juu Marekani yabatilisha haki ya kutoa mimba
Huenda mamilioni ya wanawake nchini Marekani watapoteza haki ya kutoa mimba
Wabunge wa Marekani wakubaliana muswada wa sheria ya bunduki
Marekani imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya bunduki na kuibua hofu kuu kwa raia.
Mapigano makali yaendelea mashariki mwa Ukraine
Ukraine imesema vikosi vya Urusi vimeingia katika eneo la viwanda la Sievierodonetsk baada ya kuanzisha mashambulizi.
Israel yasema muungano wa kanda watibua shambulizi la Iran
Israel yasema muungano wa kikanda watibua mashambulizi ya Iran
Mashahidi: Trump alimshinikiza Pence kubatilisha matokeo
Ushahidi ulitolewa unaonesha Donald Trump alimshinikiza makamu wake kubadili matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020.
Zelenskiy: Ukraine yakabiliwa na hasara chungu Severodonetsk
Vita vya Severodonetsk vimegeuka kitovu cha mapigano makali zaidi nchini Ukraine kati ya wanajeshi wa Ukraine na Urusi.
Biden kukutana na Mrithi wa Ufalme wa Saudia MBS
Ziara ya Biden itakayoanza Julai 13 hadi 16 ni yake ya kwanza katika Mashariki ya Kati tangu alipoingia madarakani
SIPRI: Idadi ya silaha za nyuklia kuongezeka duniani
SIPRI: Idadi ya silaha za nyuklia kuongezeka duniani
Mpango wa kudhibiti wahamiaji waandaliwa
Mpango wa kudhibiti wahamiaji waandaliwa
Biden ataka silaha za mashambulizi zipigwe marufuku
Rais wa Marekani Joe Biden ametaka juhudi za kudhibiti matumizi ya bunduki zifanyike sasa.
Urusi yadhibiti karibu asilimia ishirini ya ardhi ya Ukraine
Zelensky ameomba silaha zaidi huku vikosi vya Urusi vikiendelea na mashambulizi katika kuutwa kabisa mkoa wa Donbas.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 66
Ukurasa unaofuatia