You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani yatiwa wasiwasi na ushawishi wa China barani Afrika
Rais Joe Biden atarajiwa kuunga mkono Umoja wa Afrika kujumuishwa kwenye kundi la G20
Iran yamnyonga mtu wa pili kuhusiana na maandamano
Majidreza Rahnavard alinyongwa hadharani katika mji wa Mashhad.
Marekani: Urusi na Iran zimeongeza uhusiano wao wa kijeshi
Marekani imesema Urusi na Iran zinashirikiana kijeshi kwa Iran kuipatia mifumo ya kisasa ya ulinzi na ndege za kivita.
Nchi za GCC zaipuuza Marekani na kujisogeza zaidi kwa China
China na Saudi Arabia zathibitisha tena umuhimu wa kuweko uthabiti kwenye masoko ya mafuta duniani.
Marekani, Ufaransa zaapa kuiwajibisha Urusi kwa vita Ukraine
Rais Biden amesema yuko tayari kuzungumza na Putin kwa sharti la kuondoa majeshi yake Ukraine.
Jeshi la Syria lapokea sifa kwa kumuuwa kiongozi wa IS
Haya ni kulingana na wale walioshiriki katika mapigano pamoja na jeshi la Marekani.
Ukraine: Tunahitaji mifumo ya ulinzi ya anga ya Marekani
Waziri Antony Blinken amelaani mashambulizi ya Urusi dhidi ya miundo mbinu ya kiraia na kuyataja kuwa yasiofaa.
Ripoti: Nusu ya mataifa ya kidemokrasia duniani yanashuka
Kati ya mataifa 173 yalioangaziwa, 104 yalikuwa ya kidemokrasia na 52 kati yake yalikuwa yanashuka.
Macron aanza ziara nchini Marekani
Marekani na Ufaransa walijikuta katika mvutano mwaka jana kufuatia mvutano wa manunuzi ya nyambizi na Australia.
Albanese ataka mashtaka ya Assange yasitishwe
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema kuwa amewaomba binafsi maafisa wa Marekani kusitisha mashtaka dhidi ya
Rais Emmanuel Macron aelekea Marekani
Ajenda kuu katika mazungumzo kati ya Macron na Biden ni Ukraine.
Marekani yasema yafuatilia kwa karibu kinachoendelea China
Marekani yasema yafuatilia kwa karibu kinachoendelea China
Mawaziri wa ulinzi wa Marekani na China wakutana
Mawaziri wa ulinzi wa Marekani na China wakutana nchini Cambodia
Marekani: Urusi ilifanya uhalifu wa kivita Kherson
Afisa mmoja mwandamizi wa Marekani amesema Urusi imewauwa, kuwatesa na kuwateka nyara raia wa Ukraine kwa mfumo wa wazi
Twitter yairejesha akaunti ya Trump
Akaunti hiyo ya Twitter ya Trump imerejeshwa baada ya kura ya maoni iliyoendeshwa na Elon Musk
Umoja wa Mataifa wataka mivutano zaidi izuiwe
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuzuiwa mivutano baada ya kombora kushambulia Poland karibu na mpaka wa Ukraine.
Poland: Kombora huenda lilirushwa kutoka Ukraine
Rais wa Poland Andrzej Duda amesema kombora lililoangukia nchini humo inawezekana lilirushwa na Ukraine.
Trump atangaza kuwania urais 2024
Trump alitumia hotuba yake kuukosoa utawala wa Joe Biden kwa kuiuwa kabisa hadhi na heshima ya Marekani.
Marekani yatangaza zawadi nono kwa taarifa juu ya Al-Shabab
Volker Turk amesema kuwa zaidi ya raia 600 wameuawa mwaka huu katika mashambulizi yaliyofanywa na Al-Shabab.
Biden na Xi wakutana mjini Bali nchini Indonesia
Biden na Xi wakutana mjini Bali nchini Indonesia
Widodo: ASEAN haipaswi kuwa wakala wa dola yoyote
Viongozi wa Kusini Mashariki mwa Asia wameapa kutoruhusu kanda hiyo kuwa uwanja wa vita vipya baridi.
Marekani: Wademocrat kuendelea kudhibiti baraza la seneti
Chama cha Democratic kimeendelea kudhibiti Baraza la Seneti la Marekani baada ya kupata ushindi muhimu jimbo la Nevada.
Trump afunguwa mashitaka kupinga kuitwa mbele ya Congress
Anadai "hakuna rais aliyepo madarakani ama wa zamani aliyewahi kulazimishwa kufanya hivyo."
Ukraine yachukua udhibiti wa mji wa Kherson
Ukraine yachukua udhibiti wa Kherson huku Marekani imeamua kutoa msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine.
Urusi yaviamuru vikosi vyake kuondoka mji wa Kherson
Hatua ya Urusi kuondoa wanajeshi wake Kherson itakuwa pigo kubwa, lakini Ukraine imepokea tangazao hilo lwa tahadhari.
Marekani: Matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula
Chama cha Republican kinajaribu kunyakua udhibiti wa Baraza la Wawakilishi kutoka kwa chama cha Democratic cha Biden.
Ikulu ya Kremlin yakataa kuthibitisha mazungumzo na Marekani
Ikulu ya Kremlin yakataa kuthibitisha mazungumzo na Marekani
Biden, Trump na kampeni za uchaguzi wa katikati ya muhula
Rais wa Marekani, Joe Biden na rais wa zamani Donald Trump wafanya kampeni kuelekea uchaguzi wa katikati ya muhula.
Twitter kuanza kuwafuta kazi wafanyakazi wengi Ijumaa
Kampuni ya mawasiliano ya mitandaoni Twitter imesema itaanza kuwafuta kazi wafanyakazi leo Ijumaa.
Korea kaskazini yavurumisha makombora karibu na Korea Kusini
hatua hii inafanyika wakati ambapo Marekani na Korea Kusini wakifanya luteka kubwa za angani wiki hii
Watu 100 wauawa kwa mashambulizi ya mabomu Somalia
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mashambulizi mawili ya mabomu kwenye mji mkuu wa Somalia, Mogadishu imefikia 100.
Mawaziri wa ASEAN wadhamiria kuutatua mzozo wa Myanmar
Mazungumzo hayo yanafanyika kabla ya mkutano wa kilele wa viongozi wa ASEAN unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba.
China yajaribu 'kuhujumu' mfumo wa haki wa Marekani
Maafisa wa sheria Marekani wameishutumu China kwa kuendeleza kampeni ya kijasusi, kuhujumu mfumo wa haki na kuiba siri.
Japan na Australia zaboresha mkataba wao wa usalama
Mataifa hayo mawili yamekubaliana pia kuboresha usalama wa nishati.
Marekani yarejesha mazungumzo ya ulinzi na Urusi
Mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Urusi wamefanya mazungumzo siku ya Ijumaa
Guterres: Hali inaendelea kuwa mbaya Ethiopia
Ethiopia : Guteress atahadharisha hali inaendelea kuwa mbaya
Khamenei asema Jamhuri ya Kiislamu ni mti usiotikisika
Khamenei asema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mti usiotikisika
Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya
Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya
Iran:Marekani inataka kutusambaratisha
Wakari Iran ikiishutumu Marekani, mashirika ya kiraia yanaripoti idadi ya watu kufariki kutokana na maandamano
Korea Kaskazini yarusha makombora mengine ya masafa ya mbali
Japan, Korea Kusini zasema hazitavumilia vitisho vya mara kwa mara, huku China ikiitaka Marekani kuwa mkweli.
Marekani yaonya kuhusu tishio la nyuklia la Urusi
Mamlaka za kijeshi nchini Urusi zinakabiliwa pia na upinzani wa ndani kutokana na vita vyake na Ukraine.
Korea Kaskazini yafyatua kombora kuelekea Japan
Korea Kaskazini imefyatua kombora la masafa ya kati kuelekea katika pwani yake ya mashariki na kaskazini mwa Japan.
Kiongozi Mkuu wa Iran ailaumu Marekani na washirika wake
Umoja wa Ulaya umependekeza vikwazo vipya dhidi ya Iran kutokana na ukandamizaji wa waandamanaji.
Biden anahofia 'hasara kubwa ya maisha'
Biden anahofia 'hasara kubwa ya maisha'
Viongozi walaumu hujuma kwa uvujaji wa Nord Stream 1 na 2
Umoja wa Ulaya umesema uvujaji wa mabomba ya gesi ya Nord Stream umetokana na hujuma na kuapa kulipiza kisasi.
''Kura ya maoni" kukamilika kwenye maeneo ya Ukraine
Kile kinachoitwa kura za maoni na Urusi kwenye majimbo ya Ukraine yanayodhibitiwa na Urusi kumalizika Jumanne.
Marekani yapuuza "kura ya maoni" ya Urusi
Urusi inawania kuyanyakua maeneo manne inayoyakalia nchini Ukraine.
Kenya inanufaika vipi na mahusiano ya kiuchumi na Marekani?
Rais wa Kenya William Ruto amefanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden mjini Washington usiku wa kuamkia leo na kila upande ukatoa ahadi ya kuendeleza mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi baina ya nchi hizo mbili. Mbali na masuala ya ulinzi, Marekani ni mshirika muhimu wa kiuchumi kwa Kenya. Sikiliza mahojiano kati ya Rashid Chilumba na mchumi Frederick Mweni akiwa mjini Nairobi.
Iran yasema kuwa tayari kufufua makubaliano ya nyuklia
Awali mwaka 2018, Marekani ilijiondoa kwenye makubaliano hayo na kuiwekea tena vikwazo Iran.
Marekani yashauriwa kutoiachia pasifiki kwa China
Wataalamu wameishauri Marekani kuainisha vipaumbele vya mataifa ya visiwa vya pasifiki katika mahitaji yake ya kiulinzi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 66
Ukurasa unaofuatia