1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upi mustakabali wa Afghanistan mwaka mmoja baadaye?

31 Agosti 2022

Uongozi wa Taliban unaadhimisha mwaka mmoja tangu kuondoka kwa wanajeshi wa Marekani. Uongozi huo umeitaja siku ya leo kuwa ya ukombozi kutoka ukaliaji wa kimabavu wa Marekani. Lakini je, kuna mabadiliko yoyote mwaka mmoja tangu kuondoka kwa wanajeshi hao? Sikiliza mahojiano kati ya Amina Abubakar na mchambuzi wa masuala ya kimataifa anayeishi jijini London, Ahmed Rajab.

https://p.dw.com/p/4GHQq