1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA chaomboleza kifo cha Magufuli

19 Machi 2021

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania,CHADEMA, kinaomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa kupeperusha bendera nusu mlingoti katika ofisi zake zote za chama hicho.

https://p.dw.com/p/3qsgA