1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makamu wa rais Burundi azungumza juu ya kifo cha Nkurunziza

Sylvia Mwehozi10 Juni 2020

https://p.dw.com/p/3dZlG

Kifo cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kinaonekana kuacha pengo kubwa la uongozi ukizingatia kwamba bado imebaki miezi miwili hadi pale rais mteule atakapoapishwa, na wengi wanajiuliza je ni jinsi gani Burundi itaweza kushughulikia changamoto hiyo? Katika kutafuta ufafanuzi Sylvia Mwehozi amezungumza kwa njia ya simu na makamu wa kwanza wa rais wa Burundi Gaston Sindimwo ambaye anaanza kwa kusema namna kifo hicho kilivyoleta simanzi.