1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania watoa hisia mbalimbali kumuomboleza Mkapa

24 Julai 2020

Tumewauliza watanzania watamkumbuka vipi kiongozi huyo aliyekuwa rais wa tatu wa taifa hilo la Afrika Mashariki tangu mwaka 1995-2005. Na wewe tufahamishe, kitu gani kinakuja haraka kichwani likitajwa jina la Benjamin Mkapa?

https://p.dw.com/p/3fs29