1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kifo cha Maradona chausikitisha ulimwengu wa soka

Sudi Mnette27 Novemba 2020

Kipindi cha Karibuni kinaanza kwa kuangazia majonzi makubwa miongoni mwa wapenzi wa soka duniani kote kutokana na kifo cha nguli wa soka raia wa Argentina Diego Maradona. Vilevile katika Kiswahili Kina Wenyewe utasikia "Nafasi ya Kiswahili kwenye utamaduni wa Waswahili

https://p.dw.com/p/3luqj