You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Saudi Arabia: Wauaji wa Khashoggi kuhukumiwa kifo
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo asema Marekani itawawajibisha watakaohusika na mauaji ya Jamal Khashoggi.
Ibada ya kumuaga Isaac Gamba yaendelea Dar es Salaam
Mwili wa Isaac Gamba uliwasili Dar es Salaam kutoka Ujerumani alfajiri ya leo.
Buriani Isaac Gamba
Idhaa ya DW na tasnia ya habari kwa jumla imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha mtangazaji wa habari Isaac Gamba
Trump kuiadhibu vikali Saudia kutokana na kupotea Khashoggi
Rais wa Marekani, Donald Trump ameonya kuwa nchi yake itachukua hatua kali iwapo itagundua kuwa Khashoggi ameuawa.
Mahakama ya kijeshi Misri yawahukumu kifo watu 17
Watu 17 wamehukumiwa kifo na mahakama ya kijeshi Misri kwa kuhusishwa na mashambulizi kadhaa ya mabomu katika makanisa
Viongozi wa Udugu wa kiislamu wahukumiwa kunyongwa Misri
Mashirika ya haki za binadamu yalaani hukumu hiyo katika kesi ambayo imetajwa kuwa fedheha
Kenya: Mwanafunzi auawa na kutupwa msituni
Timu maalumu ya wachunguzi wa mauaji ya binadamu nchini Kenya imetumwa katika kaunti za Migori na Homa Bay kuchunguza mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu aliekuwa ametekwa nyara pamoja na mwandishi habari wa kampuni ya Nation Media. John Juma alizungumza na Erick Oduor kuhusu sakata hilo.
Kifo cha mfalme wa Pop, Michael Jackson
Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson aliyejulikana sana kwa aina yake ya uchezaji wa kujinyonga na mavazi yake, Agosti 29 angekuwa anatimiza miaka 60. Jackson alifariki dunia mwaka 2009 akiwa na miaka 50 kutokana na kuzidisha madawa. Papo kwa Papo 29.08.2018.
Kifo cha McCain na ziara ya Papa Francis Magazetini
Kifo cha McCain na ziara ya Papa Francis Magazetini
Msiba wa kifo cha Kofi Atta Annan Mmagazetini
Msiba wa kifo cha Kofi Atta Annan Mmagazetini
Viongozi waomboleza kifo cha Kofi Annan
Kutoka katika bara lake la Afrika hadi Marekani, salamu za maombolezi zilimiminika kutoka kwa viongozi duniani.
Kumbukumbu ya Kofi Annan: Msuluhishi hodari na mtu makini
Kofi Annan alikuwa msuluhishi hodari aliyekuwa hakubali kushindwa
Tanzania yaomboleza kifo cha King Majuto
Rais wa shirikisho la wasanii Samson Mwakifamba amezungumza na mwenzetu Isaac Gamba juu ya kifo cha msanii maarufu wa vichekesho Amri Athumani Majuto maarufu King Majuto. Sikiliza hapa.
Kenya: Jopo lapendekeza hukumu ya kifo iondolewe
Jopo lasema ipo haja ya kuwa na adhabu anuwai ikiwemo kutumikia kifungo nje
Msichana alohukumiwa kifo kwa kuua apunguziwa adhabu
Adhabu hiyo imepunguzwa baada ya msichana huyo kukata rufaa
Msichana wa miaka 19 ahukumiwa kifo Sudan
Wanaharakati wa kutetea haki za binaadamu wamemtaka rais Omar al Bashir kumsamehe Noura.
Hukumu ya kifo yapungua Afrika
Adhabu ya kifo yapungua Afrika
Ni miaka 50 tangu kifo cha Martin Luther King Jr
Wamarekani weusi bado wanaachwa nyuma kwa karibu kila nyanja licha ya harakati za miongo kadhaa za kupatikana usawa.
Viongozi mbalimbali waomboleza kifo cha Winnie Mandela
Viongozi mbalimbali duniani wameendelea kutoa salamu zao za rambirambi kufuatia kifo cha Winnie Mandela.
Ufisadi Shuleni – Ep 1 ''Busu la Kifo''
Watoto wanaozaliwa nchi maskini wakabiliwa na hatari ya kifo
UNICEF, inasema watoto wanaozaliwa katika nchi maskini zaidi duniani wengi kutoka Afrika wanakabiliwa na hatari ya kifo
Gambia yasitisha adhabu ya kifo
Rais wa Gambia Adama Barrow ametangaza kusitisha adhabu ya kifo katika nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
Kifo cha Morgan Tsvangirai ni mshtuko na huzuni
Dunia imepokea habari za kifo cha Tsvangirai kwa masikitiko makubwa. Rambirambi kutoka kila upande zamiminika.
Mwaka mmoja tangu kifo cha Tshisekedi
Ni mwaka mmoja tangu kifo cha kiongozi mkuu wa upinzani huko DRC Etienne Tshisekedi. Mwili wake ungali Ubelgiji kutokana na mvutano kati ya familia yake na serikali. Msemaji wa chama cha upinzani cha UDPS Valentin Mubake anazungumzia kinachoendelea.
Mediterania Bahari ya kifo
Ripoti ya IOM yasema hatari yaongezeka kwa wahamiaji baada ya njia nyingi za kuingia ulaya kufungwa
Kwanini watu huamua kujiua?
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani inaonyesha kuwa watu takriban milioni moja hujiua kila mwaka.
Maandamano Kenya kufuatia kifo cha asfisa wa uchaguzi
Sikiliza mahojiano na Mwanaharakati wa haki za binaadamu Ken Wafula kuhusu maandamano yao
Mahojiano kuhusu kifo cha afisa wa tume ya uchaguzi Kenya
Mwili wa meneja wa teknolojia na mawasiliano wa tume inayosimamia uchaguzi Kenya IEBC Chris Musando umepatikana, siku tatu tu baada ya afisa huyo kutoweka
Kifo cha Helmut Kohl: Bendera zapepea nusu milingoti
Helmut Kohl anakumbukwa nyumbani kama baba wa muungano wa Ujerumani, uliopatikana baada ya kuanguka kwa ukuta wa Berlin.
Wajerumani wasikitishwa na kifo cha Kohl
Bila shaka Wajerumani wana haki ya kusikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha Helmut Kohl, anasema Abdullah Salim Mzee, mkazi wa Potsdam, mji mkuu wa Ujerumani, katika maoni yake wakati wa mahojiano maalumu na Josephat Charo.
Dunia yaomboleza kifo cha Helmut Kohl
Kansela Angela Merkel amemtaja Kohl kama tukio la bahati la Wajerumani.
Manuel Noriega: Kifo cha dikteta
Askari wa zamani, raia wa Panama aliyetawala kimabavu Manuel Noriega afariki hospitalini akiwa na miaka 83
China yaoongoza katika utoaji hukumu ya kifo duniani
Shirika la Amnesty International lasema China bado inoongoza duniani kote katika utoaji hukumu ya kifo.
Hatima ya dhabu ya kifo Marekani
Mashindano ya nyímbo Eurovision yapewa sura ya kisiasa
Churkin akumbukwa na wengi umoja wamataifa
Churkin akumbukwa na wengi umoja wamataifa
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 1: ''Kifo Hakina Heshima''
Upinzani DRC baada ya kifo cha Tshisekedi
Kunatarajiwa kuwepo na mtikisiko kwa upande wa upinzani baada ya kufariki mwanasiasa mkongwe Etienne Tshisekedi.
Wacongo waomboleza kifo cha Tshisekedi
Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo amezungumza na wananchi kusikia wanachosema kuhusu kifo chake.
Kifo cha rais wa saba wa Ujerumani Roman Herzog
Kufariki dunia Roman Herzog na wasichana wa kiislam kutakiwa washiriki katika mafunzo ya kuogelea
Cuba yajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi
Wacuba wanajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi kitakachokuwa hadi Desemba 4.
Kifo cha Fidel Castro: Dunia yatoa rambirambi
Dunia yatoa rambirambi kufuatia kifo cha Fidel Castro
Mahakama yamuondolea Morsi adhabu ya kifo
Mahakama hiyo pia imebatilisha hukumu ya kifo dhidi ya wanachama wengine wa vuguvugu la udugu wa Kiislamu.
Thailand yaanza maombolezo kifo cha Mfalme
Shughuli za burudani zapigwa marufuku ili kutoa fursa ya kuomboleza kwa mwezi mzima, maombolezo yatachukuwa mwaka mzima.
Erdogan apewa onyo
Adhabu ya kifo haikubaliki Umoja wa Ulaya
Erdogan: Huenda tukarejesha adhabu ya kifo
Mataifa ya Magharibi yamtaka Erdogan asitumie adhabu ya kifo
2015 yavunja rekodi kwa adhabu za vifo zilizotekelezwa
Amnesty International yatahadharisha kuhusu ongezeko la adhabu ya kifo
Walinzi wawili wa mbunge wa Somalia wauwawa mjini Mogadishu
Amisom yasema imewauwa viongozi kadhaa wa Al Shabaab
Messi au Ronaldo? mabishano yasababisha kifo
Mtu mmoja ameuawa India kutokana na mzozo wa nani jogoo kati ya Messi na Ronaldo
Kifo cha Scalia chatikisa kinyang'anyiro cha urais Marekani
Rais Barack Obama amesema atatekeleza majukumu yake ya kikatiba na kumteua mrithi wake
Saif al-Islam Gaddafi ahukumiwa kifo
Mahakama ya Libya imemhukumu Saif al-Islam Gaddafi na watu wengine wanane hukumu ya kifo kwa uhalifu wa kivita
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 10
Ukurasa unaofuatia