You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Blinken aona fursa kwa Israel kushirikishwa kikanda
Blinken amesema mataifa ya kanda yanataka kushirikiana na Israel, lakini ikiwa tu kuna ahadi thabiti kuhusu Palestina.
Israel yatakiwa kupunguza mashambulizi yake Gaza
Rais wa Marekani Joe Biden amesema amekuwa akishirikiana na serikali ya Israel na kuihimiza kupunguza mashambulizi yake
Trump kuhudhuria kesi dhidi yake katika Mahakama, Washington
Mawakili wa Trump wanajaribu kufuta mashtaka dhidi ya mteja wao kwa hoja mpya kwamba rais wa zamani ana "kinga kamili"
Mamia wajitokeza kuwazika waliouawa kwenye milipuko Iran
Raisi ameapa kuwa nchi hiyo italipiza kisasi kwa mashambulizi hayo mabaya tangu mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 79.
Pyongyang yarusha makombora katika visiwa vya Korea Kusini
Hatua hiyo imechochea jeshi la Korea Kusini kuchukua hatua za utayari kwa kufanya mazoezi ya moja kwa moja ya kijeshi.
Blinken kufanya ziara nyingine Mashariki ya Kati
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken anakwenda Mashariki ya Kati.
Upinzani Kongo wagoma kuwasilisha pingamizi mahakamani
Wakati huo huo, Marekani imetoa wito wa kutatuliwa kwa amani na uwazi mizozo yoyote ya uchaguzi nchini Kongo.
Marekani yaitaka Kongo kutatua 'mzozo wa uchaguzi' kwa amani
Marekani yaitaka Kongo kuhakikisha malalamiko yoyote yanashughulikiwa kwa haki na uwazi."
Wagombea Urais Taiwan wachuana katika mdahalo
China inadai kuwa kisiwa cha Taiwan ni sehemu ya himaya yake
Rais wa Ufaransa atoa wito wa usitishwaji mapigano Gaza
Kwa sasa vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza vimepindukia 21,000 kulingana na Wizara ya Afya inayodhibitiwa na Hamas.
Israel yasema vita dhidi ya Hamas vitaendelea
Rais Joe Biden na Emir wa Qatar SheikhTamim bin Hamad Al Thani wajadili juu ya kuachiliwa kwa mateka waliosalia.
Marekani yashambulia wanamgambo wanaoiunga mkono Iran
Marekani imefanya mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iraq.
Je, nini hatma ya Trump baada ya hukumu ya mahakama?
Chama chake cha Republican kimeupinga vikali uamuzi huo na kudai kuwa huo ni unyanyasaji wa kisiasa dhidi ya Trump.
Ukraine, Urusi zadai kudunguliana ndege zisizotumia rubani
Ni wakati Rais wa Marekani Joe Biden akijiandaa kusaini amri ya kuziwajibisha taasisi za fedha zinazoifadhili Urusi.
Urusi: Mazugumzo ya kubadilishana wafungwa yako njia panda
Mazugumzo ya kubadilishana wafugwa kati ya Urusi na Marekani yako njia panda
Marekani yatoa wito wa uwazi kwa uchaguzi wa Kongo
Marekani yatoa wito wa uwazi kwa uchaguzi wa Kongo
Marekani yazindua muungano wa ulinzi wa Bahari ya Shamu
Mashambulizi yamesababisha kampuni kubwa za usafirishaji kubadilisha njia ya safari zao
Marekani na Israel kujadili operesheni ya kijeshi Gaza
Shirika la Afya Duniani, WHO limelaani juu ya uharibifu wa hospitali ya Kamal Adwan iliyopo kaskazini mwa Gaza.
Marekani na Israel zajadili kupunguza kasi ya vita Gaza
Mjumbe wa Marekani amesema nchi yake ina wasiwasi juu ya kuongezeka kwa idadi ya vifo katika Ukanda wa Gaza.
Israel yakabiliwa na ukosoaji kufuatia vita huko Gaza
Mashambulizi ya Israel tayari yamewaua Wapalestina 18,787, kwa mujibu wa Wizara ya Afya inayodhibitiwa na Hamas.
Wabunge waanzisha uchunguzi wa kumuondoa Biden madarakani
Hatua hiyo ina nafasi ndogo mno ya kufaulu kwa kuwa hakuna rais yeyote wa Marekani aliyewahi kuondolewa kwa mchakato huo
Israel yaendelea kuipiga Gaza licha ya ukosoaji wa Marekani
Rais wa Marekani Joe Biden alionya kuwa Israel inapoteza uungwaji wake mkono kutokana na kuua raia zaidi katika vita.
Zelensky atoa wito wa misaada zaidi ya kifedha
Rais Volodymyr Zelensky anawataka viongozi wa Nordic kuisaidia kifedha Ukraine kwa ajili ya kutengeneza silaha.
Zelensky awashawishi Wamarekani kuendelea kuisaidia Ukraine
Zelensky amesema nchi yake imefanikiwa kukabiliana na uvamizi wa Urusi, ingawa amesisitiza umuhimu wa umoja.
Wajumbe wa COP28 wahangaikia kufikia makubaliano
Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Dubai, umeingia katika muda wa ziada.
Marekani: Mapigano kusitishwa kwa saa 72 Mashariki mwa Kongo
Afisa wa UN atoa tahadhari kwa baraza kuu la usalama la UN kwamba mvutano kati ya Kongo na Rwanda umekuwa ukiongezeka
Papua New Guinea haina makubaliano ya usalama na China
Waziri Mkuu wa Papua New Guinea amesema hakujawahi kufanyika mazungumzo ya masuala ya ulinzi na China.
Trump agoma kurudi mahakamani
Donald Trump, ameamua kutokujitokeza tena mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya udanganyifu inayomkabili.
Mataifa ya kiisalam yaikosoa Marekani katika vita ya Gaza
Marekani yatakiwa kuchukua "jukumu pana" katika kuishinikiza Israel kukubali kusitisha mapigano katika vita vya Gaza.
Israel yaendelea na mashambulizi Gaza
Jeshi la Israel laishambulia kwa makombora maineo kadhaa ya Gaza baada ya Marekani kuzuia azimio la Umoja wa Mataifa.
Armenia na Azerbaijan kuchukua hatua za kurejesha uhusiano
Azerbaijan itawaachilia wanajeshi 32 wa Armenia na Armenia itawaachia wanajeshi wawili wa Azerbaijan.
Juhudi za Israel kuwalinda raia Gaza zatiliwa shaka
Blinken amesema bado kuna tofauti kubwa kati ya nia ya kuwalinda raia wa Gaza na matokeo halisi ambayo yanashuhudiwa.
Marekani, Korea Kusini, Japan kukutaka kwa kujadili usalama
Marekani, Korea Kusini, Japan kukutaka kwa kujadili usalama
Marekani yabaini uhalifu wa kivita katika vita vya Sudan
Marekani yabaini uhalifu wa kivita na mauaji ya kikabila katika vita vya Sudan
Maseneta wazuia muswaada wa matumizi kwa Ukraine na Israel
Baraza la Seneti la nchini Marekani limeuzuia muswada wa matumizi kewa Ukraine na Israel
Marekani: Vikosi pinzani vimefanya uhalifu wa kivita, Sudan
Mapigano hayo yaliyozuka katikati mwa mwezi Aprili yamesababisha vifo na watu kuyakimbia makazi yao.
Marekani, Canada, Kenya zaunga mkono kupunguza hewa chafu
Hayo wameyasema katika Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Tabianchi unaoendelea Dubai (COP28).
Afisa wa zamani akiri kuhusika mauaji ya rais wa Haiti
Afisa huyo ni mtu wa nne kukiri jukumu lake la kuhusika katika mauaji ya rais wa Haiti Jovenel Moise mnamo mwaka 2021.
Iran yakana kuhusika na kuvishambulia vikosi vya Marekani
Iran yakana kuhusika na kuvishambulia vikosi vya Marekani
Zelensky kuwahutubia maseneta wa Marekani kwa msaada zaidi
Zelensky kuwahutubia maseneta wa Marekani kwa msaada zaidi
Wahouthi wazishambulia meli za Marekani kwa droni
Marekani imesema meli zake za kivita zilizidunguwa ndege tatu zisizo na rubani ili kujilinda siku ya Jumapili.
Marekani yalaani shambulio la kigaidi Ufilipino
Washington imesema inafanya mawasiliano ya karibu na mshirika wake Ufilipino.
Marekani yaahidi dola bilioni tatu kwa mfuko wa mazingira
Marekani itachangia dola bilioni 3 kwa mfuko wa mabadiliko ya tabia nchi duniani, ikiwa ahadi yake ya kwanza tangu 2014.
Korea Kaskazini yatishia satelaiti za kijasusi za Marekani
Pyong Yang yaonya Marekani kwamba itaharibu satelaiti za kijasusi za taifa hilo ikiwa serikali yake itajaribu shambulio.
Mwanadiplomasia maarufu duniani, Kissinger afariki dunia
Henry Kissinger, aliyekuwa mwanadiplomasia wa juu wa Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.
Nini kinafuata kwa Marekani-India baada ya njama ya mauaji?
Waendesha mashtaka wa Marekani wamedai afisa wa India alihusika katika njama ya kumuua mwanaharakati wa Sikh New York.
Pyongyang yadai kunasa picha za satelaiti yake ya kijasusi
wanadiplomasia wakuu wa Marekani, Korea Kusini na Japan wamefanya mazungumzo kuhusu hilo.
Meli ya kivita ya Marekani yazuia mashambulizi ya Wahouthi
Meli ya kivita ya Marekani yazuia mashambulizi ya Wahouthi
Uchaguzi wa Rais Liberia: George Weah akiri kushindwa
Rais wa Liberia George Weah amekubali kushindwa katika awamu ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumanne.
Japan na China zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Uhusiano wa China na Japan ulivurugika hivi karibuni kufuatia uamuzi wa Japan kutiririsha maji kutoka kinu Fukishima.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 66
Ukurasa unaofuatia