You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani, India, Japan, Australia zaunda mkakati wa baharini
Japan, Marekani, Australia na India zimeorodhesha hatua za pamoja kuimarisha ulinzi wa baharini na wa mitandaoni.
Marekani na Japan zalenga kuimarisha ushirikiano wa kijeshi
Marekani na Japan zasisitiza kuhusu tishio linaloongezeka kutoka China.
Merz:Ulaya ijiandae na uwezekano wa Trump kurejea madarakani
Merz amesema Ulaya inapaswa kujiandaa licha ya kuwa kwa sasa ushindani ni mkali.
Biden azungumza na Mfalme wa Jordan kuhusu vita vya Gaza
Viongozi hao wamejadili kuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa ili kufikiwa kwa mpango huo wa usitishwaji mapigano.
Harris aonyesha mwelekeo tofauti juu ya mzozo wa Gaza
Joe Biden alikabiliwa na ukosoaji wa namna alivyoshughulikia mzozo kwenye Ukanda wa Gaza.
Iran yakosoa vikali ziara ya Netanyahu nchini Marekani
Iran: Marekani haikupaswa kumpokea Netanyahu wakati vita vya kikatili vinaendelea Gaza kwa zaidi ya miezi tisa.
Hamas na Iran wakosoa hotuba ya Netanyahu Marekani
Kundi la wanamgambo wa Hamas pamoja na wizara ya mambo ya nje ya Iran wamekosoa vikali hotuba ya Waziri wa Israel Benjam
Marekani kuisaidia Tanzania kiusalama
Marekani imesema inakusudia kuiwezesha Tanzania kwa misaada ya kiusalama ili kukabiliana na kitisho cha ugaidi hasa kati
Mawaziri wa ASEAN wakutana huko Laos
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa ASEAN pamoja na wanadiplomasia waandamizi kutoka Marekani na China wanakutana leo hii katika
Biden kukutana na Netanyahu
Rais Joe Biden wa Marekani anatarajia kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Ikulu ya Marekani hii
Vita vyaendelea Gaza, mchakato wa mazungumzo wakwama
Wizara ya afya huko Gaza imesema kuwa zaidi ya Wapalestina 39,100 wameuawa.
Biden: Nakipokeza kizazi kipya mwenge wa uongozi
Rais wa Marekani Joe Biden amesema "anapokeza mwenge kwa kizazi kipya" wakati akieleza sababu za kujiondoa kwake kwenye
Netanyahu aapa kuendelea na vita Gaza
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema "maadui wa Israel ni maadui wa Marekani"
Netanyahu aapa kuendelea na vita Gaza
Netanyahu amewashutumu waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kwa kuwaita "wajinga wenye manufaa."
kinyang'anyiro cha urais chaendelea kushika kasi Marekani
Rais Biden anatarajiwa kuhutubia taifa wakati kinyang'anyiro cha urais kikiendelea kushika kasi.
Kamala Harris amshambulia Trump katika mkutano wa hadhara
Wachambuzi wanahisi, Harris aliye na miaka 59, anaonyesha mwenye kuongeza matumaini mapya katika chama cha Democratic.
Netanyahu kuhutubia Bunge Marekani
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kulihutubia bunge akiwa ziarani nchini Marekani
Marekani yaandaa mazungumzo ya kusitisha mapigano Sudan
Marekani yaandaa mazungumzo ya kusitisha mapigano Sudan kati ya pande zinazohasimiana.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine kuzuru China
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky,asema Marekani na China zinaweza kuvimaliza vita kati ya nchi yake na Urusi.
Viongozi wa dunia wamimina sifa kwa Rais Joe Biden
China na Urusi zasema kujiondoa kwa Joe Biden kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Marekani kumesababisha sintofahamu.
Kamala Harris aanza kampeni za Urais
Joe Biden alijiengua kwenye mbio za urais baada ya wiki kadhaa za shinikizo kutoka ndani ya chama chake cha Democrats.
Netanyahu aanza ziara nchini Marekani
Ziara ya Netanyahu nchini Marekani inajiri wakati vita vinaendelea kupamba moto Gaza na vinaashiria kutanuka zaidi.
Uchaguzi wa Marekani: Makamu wa Rais Kamala Harris ni nani?
Wakati safari ya Kamala Harris imekuwa ya kuvutia, alihudumu kwa miaka kadhaa katika kivuli cha Biden.
Joe akubali kung'atuka
Baada ya uvumi wa wiki kadhaa, Rais wa Marekani Joe Biden amethibitisha kuwa hatowania tena uchaguzi mkuu wa Novemba.
Urusi yadai kuzuia ndege za kivita za Marekani
Urusi imedai kwamba ilituma ndege zake za kivita za kwenda kuzizuia ndege mbili za kijeshi za Marekani.
Biden aapa kushinda pamoja na kushinikizwa ajiengue
Biden aapa kushinda pamoja na kushinikizwa asishiriki uchaguzi wa Novemba
Kundi la IS huenda linajiunda upya
Kundi la kigaidi la IS limedai kuhusika kwenye mashambulizi 153 huko Syria na Iraq, miezi sita ya kwanza ya 2024.
Donald Trump atarajia mapokezi ya kishujaa
Trump atapewa mapokezi ya kishujaa wakati akikubali uteuzi wa kuwania urais wa Marekani kwa chama cha Republican.
Rais Biden alazimika kusitisha kampeni zake
Biden asitisha kampeni zake baada ya kugundulika na virusi vya UVIKO-19.
Israel yaishambulia tena Gaza licha ya ukosoaji wa Marekani
Netanyahu: Hamas wanakabiliwa na shinikizo. Huu ndio wakati hasa wa kuongeza maradufu shinikizo hilo.
Rais Biden asema hatoacha kumkosoa Trump
Rais wa Marekani Joe Biden amerejea kufanya mikutano ya kampeni kwa mara ya kwanza tangu jaribio la kumuua Donald Trump
Trump ajitokeza mkutano wa RNC baada ya shambulio
Siku ya kwanza ya mkutano wa Republican ilikamilika baada ya kumuidhinisha rasmi Trump kuwa mgombea wake.
Viongozi wa dunia walaani shambulio dhidi ya Trump
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani na kuliita tukio hilo kuwa ni vurugu za kisiasa.
Biden ataka Wamarekani watulize joto la kisiasa
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kutuliza joto la kisiasa kufuatia jaribio la kumuu
FBI yachunguza jaribio la mauaji dhidi ya Trump
FBI imesema mwanamume huyo ameuwawa mara tu baada ya kufanya shambulio hilo.
Viongozi wa dunia walaani shambulio dhidi ya Trump
Kauli za kulaani jaribio la mauaji dhidi ya Trump zimetolewa na viongozi mbalimbali duniani
Jaribio la mauaji dhidi ya Trump lachunguzwa
Shambulio la risasi lililomjeruhi sikioni
Biden: Niko sawa kiafya hivyo msiwe na hofu
Mfululizo wa matukio hayo unaongeza shinikizo juu ya uwezo wake wa kiakili ingawa yeye anasisitiza kuwa yuko sawa.
Washirika wa NATO waahidi kuipa Ukraine msaada zaidi
Rais Joe Biden alitangaza msaada huo wa fedha baada ya kukutana na Rais Volodymyr Zelensky mjini Washington.
Biden asema hang'oki licha ya makosa ya aibu
Rais Joe Biden amesema ataendela na kampeni yake licha ya wasiwasi kuhusu utimamu wake wa kuongoza na makosa kadhaa.
Viongozi wa NATO wahitimisha mkutano wao wa kilele
NATO walitangaza msaada zaidi wa kijeshi ili kuunga mkono juhudi za Ukraine za kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Mawaziri wa Armenia na Azerbaijan kukutana Washington
Mawaziri wa Armenia na Azerbaijan kukutana Washington kwa mazungumzo ya amani
Viongozi wa NATO wakutana Washington chini ya wingu la vita
Viongozi wa jumuiya ya NATO wanaanza mkutano wao wa kilele leo Jumanne,Washington Marekani
Marekani yamtaka Modi kusisitiza juu ya uadilifu wa Ukraine
India ni mshirika wa kimkakati wa Marekani.
Vikosi vya Marekani vyaondoka katika kambi yao Niamey, Niger
Tarehe ya mwisho ya kuondoka kwa vikosi vya Marekani nchini Niger, imewekwa na watawala wa kijeshi wa nchi hiyo.
Hamas yakubali pendekezo la Marekani juu ya mateka wa Israel
ana na maafisa wa afya wa Gaza mzozo huo umegharimu maisha ya zaidi ya wapalestina 38,000.
Biden akataa kujitowa kinyang'anyiro cha urais Marekani
Biden amekataa kujitowa kwenye uchaguzi wa Novemba, licha ya shinikizo la kumtaka afanye hivyo.
Pyongyang yakosoa luteka za kijeshi zikiongozwa na Marekani
Korea Kaskazini imeonya kwamba luteka hiyo itakuwa na matokeo mabaya.
Biden, Trump wakabiliana katika mdahalo wa uchaguzi wa rais
Biden na Trump wamejibizana kuhusu rekodi zao za masuala ya kiuchumi, utoaji mimba na uhamiaji katika mdahalo huo
Biden na Trump kukabiliana katika mdahalo wa kwanza 2024
Wagombea wa urais nchini Marekani, Biden na Trump, watakabiliana katika mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi wa Novemba,
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 66
Ukurasa unaofuatia