You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mwanajeshi mmoja wa Israel auawa Ukingo wa Magharibi
Mwanajeshi mmoja wa Israel ameuawa na mwingine amejeruhiwa vibaya wakati wa operesheni ya kijeshi Ukingo wa Magharibi.
Viongozi wa jeshi Bolivia wakamatwa, jaribio la mapinduzi
Maafisa wawili wa ngazi za juu wa jeshi wamekamatwa kufuatia tukio la kuvamia majengo ya serikali nchini Bolivia.
Urusi yaishutumu Marekani kuhusika na shambulizi la Crimea
Urusi yaishutumu Marekani kuhusika na shambulizi la Crimea
Netanyahu asema hatokubali mpango unaokomesha vita Gaza
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesisitiza kuwa hatoiacha Hamas vile ilivyo katika ukanda wa Gaza.
Mzozo kati ya Israel na Hezbollah wazusha wasiwasi mkubwa
Israel imekuwa ikikabiliana na Hezbollah eneo la mpakani kati ya mataifa hayo mawili.
Urusi: Wanamgambo waua polisi 15, raia kadhaa huko Dagestan
Mamlaka imetangaza operesheni ya kukabiliana na ugaidi katika eneo hilo.
Israel yatanua mashambulizi Rafah, mzozo ukizidi na Mareani
Vikosi vya Israel vilianza kuishambulia Rafah mwenzi Mei na kusababisha watu kuhama tena.
Netanyahu aishutumu Marekani kwa kuzuia msaada wa silaha
Watu 37,369 wameuawa na zaidi ya 80,000 kujeruhiwa, wakiwamo watoto na wanawake, kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Gaza.
Wabunge wa Marekani wakutana na Dalai Lama
Wabunge wa Marekani wamekutana na kiongozi wa kidini wa Tibet, Dalai Lama, na serikali yake iliyo uhamishoni India.
SIPRI: Vichwa vya nyuklia vinawekwa katika hali ya tahadhari
Takriban vichwa 3,904 vya nyuklia tayari vimeunganishwa kwenye makombora na ndege za kivita.
Israel kusitisha mapigano kwa muda kila siku Gaza
Jeshi la Israel limetangaza kwamba litasitisha mapigano kwa muda hii leo ili kuruhusu misaada kuingia kusini Mwa Gaza na
Viongozi wa nchi za G7 wakubaliana kuipa msaada Ukraine
Wakuu wa nchi saba tajiri duniani pia wamekubaliana jinsi ya kukabiliana na malengo ya kibiashara na kisiasa ya China.
NATO yaunga mkono ujumbe wa mafunzo na msaada kwa Ukraine
Jumuiya ya kujihami ya NATO yakutana kujadili msaada wa mafunzo kwa Ukraine pamoja na ahadi za muda mrefu za kifedha.
Blinken ataka suluhisho la kidiplomasia Mashariki ya Kati
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kwa mara nyengine ametoa wito wa suluhisho la kidiplomasia kati ya Israel na Lebanon.
Mtoto wa Biden akutwa na hatia kwa kesi ya bunduki
Mtoto wa Biden akutwa na hatia kwa mashtaka yote ya kesi ya bunduki
Hamas yaitaka Marekani kuishinikiza Israel kusitisha vita
Wito huo umetolewa wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anatarajiwa kuanza ziara Mashariki ya Kati.
Macron kumpokea Biden katika ziara rasmi mjini Paris
Rais wa Marekani aliyeko ziarani nchini Ufaransa aliwasili siku ya Jumatano na kushiriki katika maadhimisho ya D Day.
D-Day: Macron, Biden wakutana na Zelensky
Biden ametangaza kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine chenye thamani ya dola milioni 225.
Marekani yapitisha muswada wa kuiwekea vikwazo ICC
Hatua ya Bunge hilo ambayo imewagawanya wanasiasa wa Marekani inajiri wakati vita vikiendelea katika Ukanda wa Gaza.
Biden aagiza kufungwa mpaka kati ya nchi yake na Mexico
Rais Biden wa Marekani aagiza kufungwa kwa muda kwa mpaka kati ya nchi yake na Mexico
Congress imepitisha muswada wa kuiadhibu mahakama ya ICC.
Bunge la Congress lapitisha muswada wa kuiadhibu mahakama ya ICC.
Qatar yataka misimamo ya wazi kuhusu mpango wa Gaza
Rais Joe Biden amesema Waziri Mkuu Benjamin Netayahu, anaonekana kukwamishwa juhudi za kumaliza vita kwa sababu binafsi
Vifo Gaza vafikia 36,555, Ukingo wa Magharibi kwafukuta
Volker Turk amesema anaunga mkono mpango wa Rais Joe Biden kukomesha vita Gaza.
Zaidi ya nusu ya miundombinu yote Ukanda wa Gaza imeharibiwa
Wakati huohuo Benjamin Netanyahu asema awamu ya kwanza ya mpango wa amani yaweza kufikiwa bila ya kusitishwa mapigano.
Jeshi la Marekani ladungua droni na makombora ya Wahouthi
Taarifa ya jeshi imesema mabomu hayo yaliangushwa Jumamosi (01.06.2024) katika matukio mawili tofauti.
Zelensky aipongeza Marekani kwa kuondoa vikwazo vya silaha
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishukuru Marekani kwa msaada wake wa hivi karibuni kwa nchi yake.
Marekani yasusia kutoa heshima kwa hayati Raisi
Hatua hiyo ya Marekani na washirika wake imeibua ukosoaji mkubwa.
Ulaya na Marekani zasusia kutoa heshima kwa Raisi
Raisi ni kiongozi aliyeshtumiwa kwa kuwakandamiza wapinzani.
Wamisionari wa Marekani wauawa nchini Haiti
UN: Kisa hicho kinadhihirisha kwa mara nyingine kuwa hakuna anayeweza kuepuka vurugu nchini Haiti.
Biden kuipa Kenya hadhi ya mshirika mkuu nje ya NATO
Rais Joe Biden wa Marekani amesema ataifanya Kenya kuwa mshirika mkuu asiye mwanachama wa Jumuiya ya NATO.
Biden, Ruto waahidi kulinda demokrasia Afrika na kwingineko
Biden alisema ataiorodhesha Kenya kama taifa la kwanza la Afrika kuwa mshirika muhimu asiye mwanachama wa NATO.
Marekani kuitaja Kenya "mshirika wake mkuu" wa nje ya NATO
Kenya na Marekani zinaztimiza miaka 60 ya ushirikiano wa kidiplomasia wakati Ruto akizuru taifa hilo.
G7 inahitaji kusimama kudhibiti ukuaji wa China kiviwanda
G7 inahitaji kusimama pamoja kudhibiti ukuaji wa China kiviwanda
Nchi tatu za Ulaya zaitambua Palestina kama dola huru
Israel inaendeleza vita vyake katika Ukanda wa Gaza dhidi ya kundi la Hamas kwa zaidi ya miezi saba sasa.
Wahouthi waidungua droni ya Marekani
Wahouthi wa Yemen wameidungua droni ya Marekani chapa MQ9 katika anga la mkoa wa al Bayda kusini mwa Yemen.
Rais Biden kuzungumza na Ruto wa Kenya Alhamis
Rais wa Marekani Joe Biden atamkaribisha Alhamisi wiki hii rais wa Kenya William Ruto kwa mazungumzo mapana yanayotaraji
Biden, Ruto kujadili msamaha wa deni kwa Kenya wiki hii
Mazungumzo ya Biden na Ruto Alhamisi yatajikita kwenye uhusiano wa kibiashara, kiusalama na msamaha wa madeni ya Kenya.
Aliyemshambulia mume wa Nancy Pelosi ahukumiwa miaka 30 jela
Tukio hilo lilifanyika mnamo mwezi Oktoba mwaka 2022.
Kenya yakabiliwa na kiunzi kupeleka polisi Haiti
Chama kidogo cha upinzani nchini Kenya kimewasilisha hoja mpya ya kuitaka serikali isiwapeleke polisi nchini Haiti.
China na Urusi kuanza "enzi mpya" ya ushirikiano
Viongozi hao wawili wametia pia saini taarifa ya pamoja ambayo inadhihirisha wazi upinzani kwa Washington.
Marekani yakamilisha bandari ya misaada kwenye Pwani ya Gaza
Huku jeshi la Israel kisemesema wanajeshi wake watano wameuliwa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio Gaza.
Marekani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Marekani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Antony Blinken amekutana na Volodymyr Zelensky mjini Kiev
Antony Blinken amekutana na Volodymyr Zelensky mjini Kiev
Baraza Kuu la UN laidhinisha ombi la uanachama wa Palestina
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo Ijumaa lilipitisha kwa wingi mkubwa wa kura azimio linalounga mkono Palestina kuwa m
Wapalestina waukimbia mji wa Rafah
Jeshi la Israel limesema linaendesha "operesheni makhsusi" huko Rafah inayolenga kuwamaliza wanamgambo wa Hamas.
Guterres azitaka Israel, Hamas kusitisha mapigano
Maandamano ya kupinga mauaji ya Israel kwenye Ukanda huo yameenea hadi kwenye vyuo vikuu barani Ulaya.
Ujerumani yasema mazungumzo ya Gaza hayapaswi 'kuhatarishwa'
Ujerumani yazihimiza pande zote kuendeleza mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza
Washauri wapya wa kijeshi wa Urusi wawasili Niger
Washauri wapya wa kijeshi wa Urusi wamewasili nchini Niger pamoja na zana za kijeshi.
Urusi yadungua makombora manne yaliyotengenezwa na Marekani
Urusi yatangaza kufungua kesi ya uhalifu dhidi ya Volodymyr Zelenskiy na kumweka kwenye orodha ya watu wanaotafutwa.
Rwanda yakanusha shutuma za Marekani kuhusu Kongo
Badala yake Rwanda imewalaumu wanamgambo kuhusika na shambulio hilo, ikisema wanaungwa mkono na jeshi la Kongo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 66
Ukurasa unaofuatia