You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Bomu laua watu 12 wakiwemo watoto nchini Kongo
Umoja wa Mataifa na maafisa wa serikali wamesema mabomu kadhaa yaliripuliwa hapo jana kwenye kambi mbili za wakimbizi.
Wanajeshi wa Urusi waingia kwenye kambi ya Marekani ya Niger
Hatua ya Niger ya kuwatimua wanajeshi wa Marekani ilikuja baada ya mkutano mjini Niamey mwezi Machi mwaka huu.
Marekani yaahidi kusaidia Burkina Faso dola milioni 55
Marekani yaahidi kusaidia Burkina Faso dola milioni 55
Urusi yadai kusonga mbele Ukraine
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema imefanikiwa kuliweka chini ya himaya yake kikamilifu eneo la Berdychi.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani atembelea Gaza
Akiwa kwenye kivuko hicho, Blinken alitembelea malori 10 katika wakati wa zoezi la kukaguliwa na wanajeshi wa Israel.
Jeshi la Marekani kurejea tena Chad kwa mazungumzo
Jeshi la Marekani linapanga kurejea Chad kwa mazungumzo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Iran yakosoa mipango ya kurekebisha uhusiano na Israel
Khamenei amesema mzozo wa Mashariki ya Kati utasuluhishwa pale dola la Palestina litakaporejeshwa kwa watu wake.
Kamanda wa IS auwawa nchini Mali
Vikosi vya usalama vya Mali vimesema Kamanda wa IS auwawa nchini humo katika operesheni ya kijeshi.
Blinken ziarani Israel kutafutia suluhu vita vya Gaza
Israel na Hamas wamekuwa wakizozana kuhusu suala muhimu la kusitisha kabisa vita huko Gaza.
Wawakilishi wa Hamas waondoka Kairo
Wajumbe wa Hamas wameondoka mjini Kairo baada ya mazugumzo na maafisa wa Misri juu ya pendekezo la kusitisha mapigano.
Marekani yaonya uwezekano wa mauaji ya kimbari Sudan
Marekani imeyatolea wito mataifa yanayoisaidia Sudan kusitisha msaada kwa pande zinazozozana nchini humo.
Mtaalamu wa mitandao wa Marekani afungwa jela miaka 21
Mtaalamu huyo alifanya kazi kwa muda mfupi katika Shirika la Usalama la Taifa la Marekani (NSA).
Hamas yaashiria kuwa tayari kusitisha mapigano
Blinken yuko Riyadh, Saudi Arabia, kwenye mkutano wa ushirikiano kati ya nchi yake na Baraza la Ushirikiano la Ghuba.
Korea kaskazini yaikosoa Marekani kwa msaada wake, Ukraine
Ushirikiano wa Korea Kaskazini na Urusi waibua wasiwasi.
Xi: China na Marekani zapaswa kuwa washirika, sio washindani
Blinken alikutana na viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa China kwenye ziara yake mjini Beijing.
Blinken akutana na rais wa China Xi Jinping mjini Beijing
Antony Blinken na mwenzie wa China Wang Yi walizungumzia pia mgogoro wa Taiwan pamoja na masuala ya biashara.
Blinken: nafasi sawa za kibiashara kati ya China na Marekani
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametoa wito kwa China kutoa nafasi sawa kwa biashara za Marekani.
Blinken aanza ziara yake China
Blinken aliwahimiza viongozi wa Ulaya kusimama kidete na kutoiunga mkono China kwa sababu inashirikiana na Urusi.
Marekani yaidhinisha msaada kwa Ukraine
Muswada huo umeidhinisha pia fedha za msaada wa kibinaadamu unaohitajika kwa Gaza, Sudan na Haiti.
Marekani yawawekea vikwazo viongozi wa makundi ya kigaidi
Kwa miaka kadhaa sasa, nchi za Afrika Magharibi zimekuwa zikikabiliwa na uasi wa makundi yenye itikadi kali za Kiislamu
Mvutano wazuka Marekani kutokana na maandamano ya Gaza
Maandamano yafanyika katika Vyuo Vikuu vya Marekani kupinga vita vya Gaza, masomo yasitishwa na waandamanaji kukamatwa.
Ukraine yaishukuru Marekani kwa msaada wa Kijeshi
Ukraine, viongozi wa mataifa ya magharibi walipongeza bunge la wawakilishi la Marekani kwa msaada wa kijeshi
Raia wa Niger washinikiza kuondoka kwa vikosi vya Marekani
Mwezi uliopita, Jeshi la Niger lilitangaza kuvunja makubaliano ya ulinzi na Marekani.
Ufilipino na Marekani kuanza luteka ya pamoja ya kijeshi
China inadai umiliki wa karibu ukanda mzima wa baharini, ambao ni njia muhimu ya biashara ya kimataifa.
Bunge la Marekani kupigia kura miswada ya msaada
Kura ya miswada ya misaada kufanyika baadaye leo.
Marekani yakataa kulitambua taifa la Palestina
Mataifa 12 yaliunga mkono azimio la Algeria, moja kupinga na mawili kukosa kushiriki.
Saudi Arabia yasikitishwa na kutotambuliwa Palestina
Saudi Arabia inasema imevunjika moyo na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushindwa kuipa uanachama Palestina.
Marekani yawarejesha wahamiaji 50 Haiti
Marekani imewarudisha zaidi ya wahamiaji 50 kutoka nchini Haiti, taifa linalokabiliwa na ghasia za magenge ya uhalifu.
Kupanda thamani ya dola kwazusha wasiwasi duniani
Kuimarika kwa dola ya Marekani kunaibuwa wasiwasi mkubwa sio tu katika nchi zinazoendelea bali hata zilizoendelea.
Viongozi wa Sudan Kusini wameshindwa kuandaa uchaguzi
Marekani yasema kuwa viongozi wa Sudan Kusini wameshindwa kukidhi viwango vya kuandaa uchaguzi hali inayotishia ustawi.
Japan, Korea Kusini na Marekani kuimarisha ushirikiano wao
Japan na Korea kusini kuimarisha uhusiano kati yao pamoja na kudumisha ushirikiano kati ya Tokyo, Washington na Seoul.
Qatar yatangaza mkwamo wa mazungumzo kati ya Israel na Hamas
Abdulrahman Al-Thani amesema mazungumzo kati ya Israel na kundi la Hamas ya kutafuta makubaliano ya amani Gaza yakwama.
Israel yaapa kulipiza kisasi dhidi ya Iran
Israel itajibu mashambulizi ya Iran licha ya rai kutoka kwa viongozi wa dunia ya kuitaka Israel kujizuia.
Trump apandishwa kizimbani kujibu kesi ya jinai
Mahakama kuu ya New York ilimshtaki Trump mnamo Machi 2023 juu ya malipo yaliyofanywa kwa Daniels
Kwa nini nchi za Kiarabu ziliisaidia Israel dhidi ya Iran?
Baadhi ya wachambuzi walitizama msaada wa mataifa ya kiarabu kwa Israel kuwa jambo la kusherehekewa.
Iran yaikamata meli ya Israel licha ya onyo la Biden
Jeshi la Iran limeikamata meli moja linayosema ina "uhusiano na utawala wa Kizayuni" kwenye Ghuba ya Uajemi.
Vifaa vya kisasa vya kijeshi vya Urusi vyawasili Niger
Marekani ina takriban wanajeshi 1,000 nchini Niger ingawa kwa sasa harakati zao zimekuwa ndogo
Cameron awasili Washington kujadiliana Ukraine, Gaza
Ziara ililenga kuwashinikiza wabunge wa Marekani kuidhinisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine na pia vita vya Gaza.
Ni misaada ipi ya kijeshi Marekani inaipatia Israel?
Mwezi uliopita, Marekani iliacha utamaduni wake wa kuikingia kifua Israel kwa kutokupiga kura juu ya kusitisha mapigano.
Netanyahu apanga 'tarehe' ya kuivamia Rafah
Israel inanuia kulisambaratisha kundi la Hamas ambalo inaamini bado wanajeshi wake wamejificha Rafah.
Yellen asema Marekani haitakubali viwanda vipya kuharibiwa
Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ameonya hii leo kwamba Marekani haitakubali viwanda vipya kuharibiwa na bidhaa
Yellen: Marekani haitakubali viwanda kuharibiwa na China
Bunge la China lilisema mwezi Machi kuwa litachukua hatua za kupunguza uzalishaji mkubwa wa viwanda nchini humo.
Kagame ahofia utata wa Marekani kwa wahanga wa mauaji
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema hii leo kwamba alikuwa na wasiwasi wa kile anachokiona kama kushindwa kwa Marekani ku
Yellen asema Marekani haitakubali viwanda vipya kuharibiwa
Waziri wa Fedha wa Marekani Janeth Yellen ameonya hii leo kwamba Marekani haitakubali viwanda vipya kuharibiwa na bidhaa
Marekani na China wakubaliana kufanya mazungumzo
Hatua hiyo itawezesha mijadala kuhusu kukosekana kwa usawa kwenye masuala makubwa ya kiuchumi.
Uhusiano wa Marekani na Israel kwenye mtihani mzito
Uhusiano na Israel ni sera ambayo vyama vya Democratic na Republican vya Marekani vinakubaliana nayo kikamilifu.
UN: Israel iwajibishwe kwa uhalifu wa kivita huko Gaza
Israel imepuuza uamuzi huo na kuutaja kuwa wa kupotosha na kusema Baraza hilo limeamua kulitetea kundi la Hamas.
NATO yafanya mkutano wa kuadhimisha miaka 75
NATO wana wasiwasi iwapo rais wa zamani wa Marekani Donald Trump atamshinda Joe Biden
NATO yajadili mfuko wa yuro bilioni 100 kwa Ukraine
Kando ya mkutano huo, mkutano wa NATO wanatarajiwa kujadili kinyang'anyiro cha kuchukua nafasi ya Jens Stoltenberg.
Marekani, Uingereza na EU zalaani mauaji kwa watoa misaada
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amedai kuwa mashambulizi hayo hayakukusudiwa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 66
Ukurasa unaofuatia