You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kundi la wanamgambo la kiislamu lawauwa wanajeshi 31 Niger.
Wanamgambo wa kiislamu wameshambulia kambi moja ya kijeshi katika eneo la Magharibi mwa Niger na kuwauwa wanajeshi 31.
Polisi Nigeria wako katika hali ya tahadhari
Polisi Nigeria wako katika hali ya tahadhari
Nigeria yaifanyia mageuzi mikataba ya mafuta
Rais Buhari alitangaza Jumatatu
Misikiti tisa mashuhuri Afrika
Misikiti hii sio tu sehemu za ibada - bali pia ni majengo yenye usanifu wa ajabu.
Afrika Kusini yafunga ofisi zake za ubalozi Nigeria
Afrika Kusini imezifunga ofisi za ubalozi wake nchini Nigeria kwenye miji ya Abuja na Lagos.
Umoja wa Afrika walaani wageni kushambuliwa Afrika Kusini
Zambia yasitisha mechi ya kirafiki
Wanamgambo wauwa watu 11 karibu na Maiduguri Nigeria
Shambulizi limetokea katika kijiji cha Wajirko, umbali wa kilomita 150 nje ya mji mkuu wa jimbo la Borno-Maiduguri.
Boko Haram wauwa tena Maiduguri
Watu wengine wanane walijeruhiwa kwenye mashambulio mawili yaliyotokea katika mji wa Mafa.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Hukumu ya kesi ya wachimbaji madini Afrika Kusini yatolewa
Watu 65 wauawa katika shambulizi la itikadi kali Nigeria
Tukio hilo ambalo ni mojawapo ya mashambulizi mabaya zaidi dhidi ya raia katika miaka ya karibuni nchini Nigeria
Nigeria na Senegal zatinga Nusu Fainali ya AFCON
Nigeria na Senegal zimefanikiwa kupenya na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya kandanda ya mataifa ya Afrika.
Je unafikiri ni timu zipi zitang'aa zaidi katika AFCON?
Michuano mikubwa ya soka barani Afrika inafanyika Cairo Misri huku timu 24 zikishiriki. Je unafikiri, ni timu zipi zitaweza kusonga mbele kutoka awamu ya makundi
Maiti kutambuliwa kwa msaada wa Ujerumani
Miaka 25 baada ya mauaji miili bado iko 800 katika madarasa na mabweni ya shule ya zamani ya Murambi.
Idadi ya waliokufa yaongezeka Lagos-Nigeria
Idadi ya waliokufa yaongezeka Lagos-Nigeria
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Buhari asema ushindi wake ni zawadi kutokana na juhudi zake alizofanya za kuyatekeleza malengo matatu nchini mwake.
Maoni: Aliyeshinda na aliyeshindwa Nigeria wote wabaya
Kwa mujibu wa matokeo rasmi, Buhari amemshinda mpinzani wake mkuu, Atiku Abubakar, kwa asilimia 55 dhidi ya 41.
Buhari apewa ridhaa ya kuliongoza tena taifa la Nigeria
Hata hivyo mpinzani mkuu Atiku Abubakar ameyakataa matokeo hayo
Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria
Waangalizi yametoa tathmini yao ya kwanza iliyoutaja uchaguzi kuwa amani, ingawa kumeripotiwa vifo visivyopungua 39.
Kura zaanza kuhesabiwa Nigeria
Nigeria imeanza kuhesabu kura za uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi.
Uchaguzi wa Rais wafanyika Nigeria
Rais Muhammadu Buhari amehakikisha kwamba usalama utaimarishwa natume ya uchaguzi itatimiza jukumu lake.
Uchaguzi ulioahirishwa Nigeria kufanyika Jumamosi
Rais wa Nigeria Muhamadu Buhari amewahimiza raia wa nchi hiyo kujitokeza kupiga kura siku ya Jumamosi.
Buhari ataka majibu baada ya uchaguzi
Mpinzani mkuu wa Buhari, Atiku Abubakar adai serikali ndio iko nyuma ya kuahirishwa kwa uchaguzi
Tume ya Uchaguzi Nigeria yakanusha kushawishiwa kisiasa
Wapigakura waonesha kukasirishwa sana na uamuzi wa kuahirishwa kwa uchaguzi masaa matano tu kabla ya kura kupigwa.
Wagombea wataka amani Nigeria baada ya uchaguzi kuahirishwa
Wagombea wakuu katika uchaguzi wa Nigeria uliocheleweshwa kwa wiki moja wahimiza utulivu
Uchaguzi wa Rais Nigeria waahirishwa
Tume ya Uchaguzi ya Nigeria imetaja sababu za matatizo ya kiufundi kuahirisha uchaguzi wa Rais, ubunge na useneta.
Buhari: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema serikali yake imejizatiti kuwa uchaguzi wa Jumamosi unakuwa wa huru na haki.
Gavana ashambuliwa siku chache kabla ya uchaguzi Nigeria
Wanigeria watakwenda katika vituo vya kupigia kura kumchagua rais wa Nigeria
Wagombea urais Nigeria waahidi kuyakubali matokeo
Wagombea wawili wakuu wa urais nchini Nigeria wametowa mwito wa kuwepo utulivu wakati wa uchaguzi na kuyabali matokeo.
Ukeketaji ni nini na unafanyika wapi?
Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu watoto UNICEF linasema wasichana na wanawake wanakeketwa katika nchi karibu 30.
Rais Buhari amsimamisha kazi jaji mkuu
Hatua ya Rais Buhari imekuja ikiwa ni wiki chache tu kabla ya kufanyika uchaguzi wa rais
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Tshisekedi ni rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya kufanyika mabadiliko ya uongozi kwa njia ya kidemokrasia
Niger: Wanamgambo 280 wa Boko Haram Wauawa
wizara ya Ulinzi nchini Niger imesema zaidi ya wanamgambo 280 wameuawa karibu na mpaka wa Nigeria.
Serikali ya Nigeria yalaumiwa kwa kusababisha vifo
Zaidi ya watu 3500 wameuwawa huku serikali ya Nigeria ikielekezewa lawama kwa kusababisha vifo hivyo.
Vinyago vilivyochukuliwa wakati wa Ukoloni virejeshwe Afrika
Vinyago vilivyochukuliwa wakati wa Ukoloni virejeshwe Afrika
Waasi wa Boko Haram wanatumia ndege zisiondeshwa na marubani
Mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Nigeria yameongezeka huku wanajeshi 39 wakiuawa mwezi huu pekee
Boko Haram yauwa wanajeshi watatu wa Nigeria
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram wamewauwa wanajeshi watatu katika shambulio Nigeria
Nigeria: Wakulima wawili wauwawa na Boko Haram
Wapiganaji wa jihadi wamewauwa wakulima wanne karibu na mji wa kaskazini mashariki mwa Nigeria wa Maiduguri
Taarifa ya habari za asubuhi 11.11.2018
Viongozi wa dunia waadhimisha mkataba wa kumaliza WW1 mjini Paris Ufaransa. Maafisa wa nchi kadhaa wasikiliza ukanda wa sauti ya mauaji ya Khashoggi nchini Uturuki. Idadi ya waliouawa katika shambulio la Somalia yaongezeka hadi watu 53.
Nigeria yateua kamanda mpya kupambana na Boko Haram
Kamada wa operesheni dhidi ya Boko Haram nchini Nigeria abadilishwa kwa mara ya tano, huku mashambulizi yakiendelea.
Nigeria: Watu 15 wauwawa na Boko Haram
Kundi la Boko Haram lashambulia vijiji
Kiongozi aliyetoweka wa waasi Nigeria atangaza yuko Israel
Kiongozi aliyetoweka wa waasi nchini Nigeria Nnamdi Kanu anayetaka kuundwa taifa lao la Biafra, atangaza yuko Israel.
Maafisa wa soka Nigeria washitakiwa kwa kutumia fedha vibaya
Maafisa 3 wa soka nchini Nigeria wameshitakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya dola milioni 9.5
Wanajeshi wawili wa Nigeria wameuwawa na wengine kujeruhiwa
Miripuko imetokea Kumshe na Dikwa
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Waziri wa awali Nhlanhla Nene alikiri mbele ya tume ya uchunguzi kwamba aliwahi kuitembelea familia ya Gupta mara kadhaa
Kiongozi wa #BringBackOurGirls kuwania urais Nigeria
Anampa changamoto rais Muhadu Buhari kuhusu ahadi alizotoa wakati wa kampeini ya kuelekea uchaguzi uliompa madaraka
Uchaguzi wa rais nchini Cameroon wakabiliwa na vurugu
Uchunguzi wa maoni waonesha kuwa Biya ana uhakika wa kushinda. Watu milioni saba wa Cameroon wana haki ya kupiga kura.
Nigeria yatangaza kikosi kushiriki Kombe la Mataifa Afrika
Kwa mara nyengine tena nahodha wa timu hiyo John Obi Mikel, hayumo katika kikosi hicho.
App ya kugundua dawa bandia Nigeria
Wasichana watano wa shule ya sekondari nchini Nigeria wamefanikiwa kutengeneza programu ya simu ya mkononi ama App ya kutambua dawa bandia, tatizo ambalo ni sugu nchini humo. Inafanyaje kazi, sikiliza makala haya ya Sema Uvume.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Gazeti la Süddeutsche linasema katika makala yake kwamba watu hao wameahidi maisha mazuri kwa wananchi wote.
Kansela Angela Merkel akamilisha ziara yake barani Afrika
Kansela Angela Merkel akamilisha ziara yake barani Afrika
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 19
Ukurasa unaofuatia