1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 11.11.2018

Yusra Buwayhid
11 Novemba 2018

Viongozi wa dunia waadhimisha mkataba wa kumaliza WW1 mjini Paris Ufaransa. Maafisa wa nchi kadhaa wasikiliza ukanda wa sauti ya mauaji ya Khashoggi nchini Uturuki. Idadi ya waliouawa katika shambulio la Somalia yaongezeka hadi watu 53.

https://p.dw.com/p/382oC