You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Je, meli za kivita za EU zitawazuwia waasi wa Houthi?
Baada ya kusitasita awali pamoja na mgawanyiko, EU inapanga kuingilia kati mzozo wa Wahouthi, lakini hatari ni kubwa.
Bunge Uingereza lauchelewesha mpango wa wakimbizi wa Sunak
Baraza la juu la bunge la Uingereza limepiga kura kuuchelewesha mpango wa serikali wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Marekani na UK zaendeleza mashambulizi dhidi ya wahouthi
Waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wameapa kulipiza kisasi mashambulizi ya Marekani na Uingereza.
Sunak apata "pigo" katika kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Mpango wenye utata wa serikali ya Uingereza kuwapeleka wahamiaji nchini Rwanda umepata pigo Jumatatu, baada ya Baraza la
Marekani yafanya duru mpya ya mashambulizi dhidi ya Wahouthi
Mashambulizi hayo yananuia kupunguza makali na uwezo wa Wahouthi.
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya waijadili hali ya Gaza
Mawaziri wa mambo ya nje wa EU wamekutana kwa mazungumzo na wanadiplomasia wakuu kutoka mataifa muhimu ya kiarabu.
Cameroon yazinduwa chanjo ya Malaria
Cameroon imezindua mpango wa kwanza ulimwenguni wa chanjo dhidi ya Malaria kuokoa maisha ya maelfu ya watoto.
Mawaziri wa Israel na Palestina kuhudhuria mkutano wa EU
Mawaziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia, Misri na Jordan pia watashiriki mkutano huo.
Tawala za Kifalme zajiimarisha barani Ulaya
Kwa ujumla barani Ulaya, watawala wa kifalme huwa na majukumu yasiyo ya kimamlaka na yenye ushawishi mdogo kisiasa.
Mpango wa Sunak bado unakabiliwa na changamoto chungunzima
Hata hivyo bado Rishi Sunak anakabiliwa na vizingiti vingi kuhusiana na mpango wake huo.
Mpango wa Sunak wakuwapeleka wahamiaji Rwanda wafanikiwa
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema nchi yake iko tayari kurejesha fedha jkwa Uingereza ikiwa mpango huo hatutofanikiwa.
Muswada wa Sunak wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda wapita
Ni wabunge 11 kati ya 60 waliokuwa wanampinga walioamua kupiga kura dhidi ya muswada huo.
Uingereza kuijadili sheria ya kuwapeleka wakimbizi Rwanda
Mswada huo tata, hata hivyo, umesababisha mivutano ndani ya chama tawala cha Consevartives.
Waasi wa Houthi wasema wataanza kuzilenga meli za Marekani
Kundi la waasi wa Houthi wa nchini Yemen limesema linatanua operesheni zake kwenye Bahari ya Shamu.
Sunak atangaza msaada wa mabilioni ya dola kwa Ukraine
Msaada huo unajumuisha aina mbalimbali za silaha na risasi ambazo ni adimu nchini Ukraine ikiwemo makombora na droni.
Urusi: Uingereza kupeleka kikosi Ukraine ni kutangaza vita
Urusi imesema hatua ya Uingereza kupelekwa kikosi cha kijeshi Ukraine, ni tangazo la vita dhidi ya Moscow.
Marekani na Uingereza zashambulia ngome za wahouthi, Yemen
Waasi wa Houthi wamesema wapiganaji wao watano wameuawa na kuapa kulipiza kisasi
Marekani na Uingereza zashambulia waasi wa Yemen
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi makubwa ya anga yaliyoyalenga maeneo yanayoshikiliwa na waasi nchini Yemen.
Waziri Mkuu wa Uingereza awasili Ukraine
Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak anaizuru Ukraine kuzindua awamu mpya ya msaada kwa ajili ya Ukraine
Marekani na Uingereza zashambulia maeneo ya Kihouthi
Mashambulizi hayo ya angani yamepiga miji kadhaa ya Yemen, ambako waasi wa Kihouthi wanadhibiti maeneo makubwa.
Marekani, UK zadungua droni na makombora ya Wahouthi
Vikosi vya Marekani na Uingereza vimezitungua droni zaidi ya 20 na makombora matatu yaliyovurumishwa na waasi wa Houthi.
Hungary yapuuza tetesi kuhusu Orban kuongoza baraza la Ulaya
Orban ambaye ni mshirika wa Urusi huenda akaongoza kwa muda Baraza la Ulaya.
Uingereza yasusia mkutano wa Kampala wa Jumuiya ya Madola
Kongamano la maspika wa mabunge ya Jumuiya ya Madola mjini Kampala, Uganda limesusiwa na Uingereza.
Sunak: Uingereza itasimama kidete na Ukraine
Sunak: Uingereza itasimama kidete na Ukraine.
Wahamiaji karibu 30,000 wavuka kuingia Uingereza 2023
Wahamiaji karibu 30,000 wavuka kuingia Uingereza 2023
Ujerumani na EU watathmini kuweka ujumbe mpya bahari ya Sham
Marekani imekuwa ikiongoza kikosi kipya cha wanamaji kujibu mashambulizi ya waasi wa Houthi.
Ukoloni ulivyobadilisha mfumo wa utawala wa Togo milele
Togo ilipandishwa hadhi kama "koloni la mfano" kukidhi andasa za watawala wa kikoloni wa Kijerumani.
Waziri wa jimbo la Ujerumani ahimiza usalama zaidi wa mipaka
Wito huo unafuatia maelewano yaliyofikiwa wiki hii na Umoja huo kuhusu waomba hifadhi
Miito ya kusitisha mapigano Gaza yazidi kuongezeka
Waziri wa Ulinzi wa Marekani anatarajiwa kuishinikiza Israel isitishe mapigano katika mkutano na waziri mkuu wa Israel
Kenya, EU wakaribia kukamilisha makubaliano ya biashara
Makubaliano hayo yanafungua njia kwa Kenya kusafirisha rasmi bidhaa zake kwenda Umoja wa Ulaya bila ushuru na ukomo.
Kenya, EU zasaini makubaliano "ya kihistoria" ya biashara
Rais William Ruto amesema Kenya na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano ya kihistoria ya bishara.
Marekani na Israel kujadili operesheni ya kijeshi Gaza
Shirika la Afya Duniani, WHO limelaani juu ya uharibifu wa hospitali ya Kamal Adwan iliyopo kaskazini mwa Gaza.
Ukraine yakumbwa na shambulizi baya la mtandaoni
Shirika la intelijensia la Uingereza limesema Ukraine ilikumbwa na shambulio baya la mtandaoni lililodumu kwa siku mbili
Makumi ya wahamiaji wanusurika wakivuka kuingia Uingereza
Mamlaka ya baharini ya Ufaransa imewaokoa wahamiaji 66 waliokuwa wakijaribu kuvuka ujia wa maji wa Uingereza.
Zelensky awahimiza viongozi wa EU kuridhia uanachama wake
Zelensky awahimiza viongozi wa EU kuunga mkono mazungumzo ya uanachama wake.
Sunak kuimarisha mpango wake wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Mswada huo utakapopitishwa, utawalazimisha majaji kuichukulia Rwanda kama nchi ya tatu salama.
Polisi Hong Kong yatoa zawadi kwa habari juu ya wanaharakati
Polisi ya Hong Kong hata hivyo imekataa kutoa habari kuhusu wanaharakati hao watano.
Scholz: Uamuzi wa EU unapaswa kuwa ishara pia kwa Putin
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema ni muhimu kuwa na makubaliano ya pamoja yatakayoifaa Ukraine.
Viongozi wa EU waanza mkutano kukiwa na visiki vya Orban
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wametatizika mwanzoni mwa mkutano wa kilele juu ya kutimiza ahadi zao kwa Ukraine.
EU: Makampuni yatakayosababisha athari za kijamii kuwajibika
Sheria mpya za EU kwa makampuni kupunguza athari mbaya katika utendakazi wao.
Zelensky atoa wito wa misaada zaidi ya kifedha
Rais Volodymyr Zelensky anawataka viongozi wa Nordic kuisaidia kifedha Ukraine kwa ajili ya kutengeneza silaha.
Bunge la Uingereza launga mkono wahamiaji kupelekwa Rwanda
Wabunge nchini Uingereza wamepiga kura ya kuunga mkono mpango wa serikali kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda.
Waziri Mkuu Sunak ashinda mtihani wa uongozi...kwa sasa
Bunge la Uingereza limeidhinisha muswada huo kwa kura 313 za ndiyo dhidi ya kura 269 za hapana.
Bunge la Uingereza laridhia kupeleka wakimbizi Rwanda
Wabunge nchini Uingereza wameridhia mpango wa serikali kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda.
Sunak akabiliwa na upinzani bungeni juu ya sera ya wakimbizi
Rishi Sunak akabiliwa na ushindani mkubwa bungeni kufuatia mpango wake wa kuwahamisha wakimbizi kuelekea Rwanda.
Umoja wa Ulaya wakubaliana juu ya sheria muhimu ya AI
EU kuandaa sheria za kudhibiti miundo ya akili bandia - AI, kama ya ChatGPT, baada ya masaa 36 ya majadiliano.
Uingereza yazidi kuilipa Rwanda
Uingereza iliilipa Rwanda pauni milioni 100 zaidi mwezi Aprili, mbali na pauni milioni 140 zilizotolewa mwaka uliopita.
Uingereza, Marekani zaishutumu Urusi kwa ujasusi mitandaoni
Uingereza na Marekani zimezishutumu idara za ujasusi za Urusi kwa kujihusisha na kampeni endelevu za ujasusi mtandaoni.
Sunak: Tutafanikiwa kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amesisitiza kwamba mpango wa kuwapeleka wanaozafuta hifadhi Rwanda utafanikiwa.
Sunak ataka uungwaji mkono kupeleka wahamiaji Rwanda
Sunak ataka uungwaji mkono kupeleka wahamiaji Rwanda
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 45
Ukurasa unaofuatia