1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji karibu 30,000 wavuka kuingia Uingereza 2023

2 Januari 2024

Takriban wahamiaji 30,000 walivuka waliongia Uingereza kwa boti ndogo mwaka 2023, inaonesha kupungua kwa zaidi ya theluthi moja kwa mwaka.

https://p.dw.com/p/4amRS
UK Migration am Ärmelkanal
Picha: Ben Stansall/AFP

Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa serikali.Inagawa kuingia kinyume cha sheria kwa watu 29,437 kwenye pwani ya kusini mashariki ya Uingereza bado idadi yake inawekwa katika nafasi ya pili kwa mwaka tangu maafisa waanze kuchapisha idadi hiyo 2018.Safari za hatari katika moja mapitio ya meli zenye makubwa zaidi dunianizimekuwatatizo kubwa la kisiasa kwa serikali ya kihafidhina ya Uingereza, huku Waziri Mkuu Rishi Sunak akiahidi mwaka jana kuzizua boti boti hizo.