You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Belarus yamuhukumu Mjerumani adhabu ya kifo
Belarus yamuhukumu Mjerumani adhabu ya kifo
Israel yathibitisha kifo cha kamanda wa ngazi ya juu Hamas
Jeshi la Israel limesema Kamanda wa ngazi za juu wa Hamas Rafa Salama amethibitishwa kuuwawa katika shambulio la anga.
Mahakama ya Kijeshi nchini DRC yawahukumu kifo askari 22
Mahakama ya Kijeshi nchini DRC yawahukumu kifo askari 22
Wanajeshi wawili wahukumiwa kifo kwa uoga nchini Congo
Wanajeshi wengine wanaoshtakiwa wanatarajiwa kupandishwa kizimbani leo.
Hezbollah yashambulia maeneo ya Israel
Shambulio hilo la Hezbollah ni moja kati ya mashambulizi makali zaidi tangu mapigano yalipoanza mpakani Oktoba 8.
Wanajeshi 25 wahukumiwa kifo Kongo
Wanajeshi 25 wamehukumiwa kifo kwa hatiani ya "kumkimbia adui" wakati wa mapigano na kundi la waasi la M23.
Wairan wapiga kura kumchagua rais mpya
Iran inafanya uchaguzi katikati ya sintofahamu ya umma kutokana na hali ngumu ya kiuchumi na kijamii.
Mahakama yabatilisha hukumu ya kifo cha rapa maarufu Iran
Mnamo mwezi Aprili, mahakama ya Iran ilimhukumu adhabu ya kifo mwanamuziki huyo kwa kosa la "ufedhuli"
Mtu mmoja auawa katika shambulizi la anga la Israel
Haya yanajiri huku wizara ya afya ya Gaza inayoendeshwa na Hamas ikisema watu 37,266 wameuawa katika eneo hilo.
Mamilioni wajitokeza Iran kumuaga Rais Ebrahim Raisi
Mamilioni wajitokeza Iran kumuaga Rais Ebrahim Raisi
Ayatollah Ali Khamenei awaongoza Wairan kumuaga Raisi
Ayatollah Ali Khamenei awaongoza Wairan kumuaga Raisi
Msukosuko wa ndege wasababisha kifo cha mtu mmoja
Mtu mmoja amekufa na wengine 30 wamejeruhiwa katika mtikisiko mkubwa wakati wa safari ya ndege ya shirika la Singapore A
Nchi za Ghuba zaomboleza kifo cha rais wa Iran
Miili ya viongozi hao pamoja na maafisa wake imepatikana baaada ya saa nzima ya utafutaji katika eneo la milima.
Rambirambi zamiminika kutokana na kifo cha Rais wa Iran
Risala za rambirambi zatolewa kutoka kote duniani kutokana na kifo cha Rais wa Iran Ebrahim Raisi
Iran yaomboleza kifo cha Ebrahim Raisi
Rais wa Iran, Ebrahim Raisi amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria kupata ajali.
UN yachunguza kifo cha mfanyakazi wake Rafah
Umoja wa Mataifa umetangaza kuanza kwa uchunguzi wa kifo cha mfanyakazi wake aliyeuwawa Gaza
UN yataka uchunguzi kuhusu kifo cha mwanaharakati wa Libya
Umoja wa Mataifa umesema umesikitishwa sana na kifo cha mwanaharakati Siraj Dughman aliyekuwa kizuizini.
Wakenya waomboleza kifo cha mkuu wa majeshi
Kenya maombolezo baada ya mkuu wa majeshi na maafisa tisa waandamizi jeshini kufariki dunia kwa ajali ya helikopta.
DRC:Wanajeshi hatarini kuhukumiwa kifo kwa tuhuma za "woga"
Mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na Kanisa Katoliki yameitaka serikali kuachana kabisa na adhabu ya kifo.
Miito yaanza kutolewa Urusi ya kurejeshwa adhabu ya kifo
Wakosoaji lakini wanahofia kwa kura Urusi inatumia sheria dhidi ya ugaidi na itikadi kali kuwaminya wapinzani.
Uingereza yakanusha ripoti za kifo cha Mfalme Charles III
Balozi za Uingereza mjini Moscow na Kyiv zimekanusha ripoti za zilizodai kuwa Mfalme Charles wa III amekufa.
Al-Qaeda nchini Yemen yatangaza kifo cha kiongozi wake
Al-Qaeda nchini Yemen yatangaza kifo cha kiongozi wake
UN: Iran ndiyo iliyosababisha kifo cha Mahsa Amini
UN: Iran ndiyo iliyosababisha kifo cha Mahsa Amini
Familia ya mbunge Cherubin DRC yapinga ripoti ya kifo chake
Wakili wa familia amesema ripoti hiyo ya mahakama ya DR Kongo ni kichekesho na matusi kwa mwanasiasa huyo wa upinzani.
Iran yafanya uchaguzi wa bunge
Wairani walishuka vituoni siku ya Ijumaa kuchaguwa wabunge wao ikiwa ni mara ya kwanza tangu maandamano ya mwaka 2022.
Wahouthi waripoti kifo cha kwanza cha raia
Wahouthi wameripoti kifo cha kwanza cha raia katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa Marekani na Uingereza.
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 22.02.2024
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Urusi yakataa uchunguzi wa kimataifa kuhusu kifo cha Navalny
Kremlin imekanusha madai ya mke wa Navalny Yulia Navalnaya kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin amehusika na kifo hicho.
Mabalozi wa Urusi wahojiwa kufuatia kifo cha Navalny
Umoja wa Ulaya umeapa kuiwajibisha Moscow baada ya kifo cha kiongozi huyo wa upinzani
EU yatafakari vikwazo vipya kufuatia kifo cha Navalny
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wameahidi kuwawajibisha waliohusika na kifo cha mkosoaji huyo maarufu wa Kremlin
Uchambuzi: Kifo cha Navalny pigo kwa upinzani nchini Urusi
Upinzani nchini Urusi umepoteza nyota yake inayong'a zaidi kwa kifo cha ghafla cha Alexei Navalny.
Urusi bado haijathibitisha sababu za kifo cha Navalny
Urusi bado haijathibitisha sababu za kifo cha Navalny
Mwili wa Navalny wabainika kuwa katika hospitali ya Siberia
Mwili wa Navalny wabainika kuwa katika hospitali ya Siberia
Nchi za Magharibi washutumu Urusi kufuatia kifo cha Navalny
Mataifa ya Magharibi yameendelea kumnyooshea kidole cha shutuma Rais Putin na serikali yake kufuatia kifo cha Navalny.
Ulimwengu waomboleza kifo cha kiongozi wa upinzani Navalny
Wafuasi wa Navalny wamejitokeza katika miji ya barani Ulaya na Marekani siku ya Ijumaa ili kumuenzi mwanasiasa huyo.
Alexei Navalny afariki akiwa gerezani
Rais wa Urusi Vladimir Putin amenyooshewa kidole na kutajwa kuwa anahusika moja kwa moja na kifo cha Alexei Navalny.
Kenya yaomboleza kifo cha mwanariadha Kelvin Kiptum
Kpitum alipata ajali eneo la bonde la Ufa baada ya kushindwa kulidhibiti gari alilokuwa akiendesha na kuacha barabara.
Namibia baada ya kifo cha Rais Geingob
Namibia imeanza awamu mpya ya uongozi baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Hage Geingob. Upi mwelekeo wake?
Tanzania: Edward Lowassa afariki dunia
Lowassa anatazamwa na wengi kama miongoni mwa viongoni wa kupigiwa mfano kutokana na misimamo yake.
Rais wa zamani wa Chile afariki katika ajali ya helikopta
Viongozi mbalimbali wa Amerika Kusini wametuma salamu za rambirambi.
Ulimwengu wamlilia nguli wa soka Franz Beckenbauer
Akijulikana kwa jina la utani la "Der Kaiser" yani Mfalme, Beckenbauer alishinda kombe la dunia kama nahodha na kocha.
Je, kundi la Hezbollah liliundwa vipi?
Hezbollah ni kundi linalofadhiliwa na Iran lenye makao yake nchini Lebanon ambako pia lilianzishwa.
Iran yaomboleza kifo cha kamanda wa walinzi wa mapinduzi
Sharif amedai kuwa mauaji ya Moussavi yalitokana na kushindwa kwa jeshi la Israel kuzuwia uvamizi wa Hamas wa Oktoba 7.
Papa Francis aomboleza kifo cha "raia wasio na ulinzi" Gaza
Papa Francis ametoa wito wa kusitisha mzozo kati ya Israel na kundi la wanamgambo la Hamas uliozuka tarehe 7 Oktoba.
Tanzania yathibitisha kifo cha mwanafunzi alietekwa na Hamas
Tanzania ilithibitisha kifo cha mmoja wa raia wake ambaye "aliuawa mara baada ya kukamatwa na Hamas" kusini mwa Israel.
IBUKA: Afisa wa zamani amekufa kabla ya haki kutendeka
Walionusurika na mauaji ya kimbari ya Rwanda wamelaani kifo cha aliyehukumiwa kwa mauaji hayo kabla ya haki kutendeka.
Kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha Nelson Mandela
Mandela alikuwa mwanasheria na mwanachama, baadaye kiongozi wa chama cha ANC kilichopigania haki nchini Afrika Kusini.
Mwanadiplomasia maarufu duniani, Kissinger afariki dunia
Henry Kissinger, aliyekuwa mwanadiplomasia wa juu wa Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.
WHO yaitaja hospitali ya Al Shifa kama "eneo la kifo"
Jeshi la Israel limesambaza video ya kile inachosema ni handaki la wanamgambo wa Hamas chini ya hospitali ya Al Shifa.
Wanaharakati Tanzania wataka adhabu ya kifo ifutwe
Wadau wa haki za binadamu, wanasheria na taasisi za kimataifa nchini Tanzania wamehimiza kufutwa kwa adhabu ya kifo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 10
Ukurasa unaofuatia