You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rais Lula wa Brazil anafanya ziara nchini Marekani
Rais wa Brazil Luiz Lula da Silva anafanya ziara nchini Marekani akilenga kuimarisha mahusiano yaliyofifia.
Korea Kaskazini yaonyesha silaha zake katika gwaride
Jeshi lilionyesha pia idadi ya makombora ya nyuklia na ya masafa marefu yanayomilikiwa na nchi hiyo.
China yadai ´kupakwa tope´ kupitia hotuba ya Biden
China imesema imechafuliwa jina katika hotuba ya Rais wa Marekani Joe Biden ya Hali ya Taifa.
Biden awarai Warepublican kufanya kazi naye
Rais Joe Biden amewarai Warepublican kufanya kazi naye ili kukamilisha kazi ya kuujenga upya uchumi na kuunganisha nchi.
China yaishtumu Marekani baada ya puto lake kudunguliwa
Mvutano wa China na Marekani kuendelea kufuatia tukio la puto la China kudunguliwa katika anga ya Marekani.
Marekani, Korea Kusini zafanya luteka za kijeshi tena
Marekani na Korea Kusini zimefanya luteka za kijeshi kwa mara ya pili katika muda wa wiki moja.
Ziara ya Blinken: Uhusiano wa Marekani na China kuboreka?
Lengo ni kuendeleza mawasiliano lakini hakuna uwezekano kwa Marekani na China kufikia maendeleo katika uhusiano wao.
Marekani yachunguza puto la Kijasusi la China kwenye angani
Jeshi la Marekani, limesema linafuatilia puto la kijasusi la China ambalo limeonekana katika anga ya Marekani.
Rais Biden atoa rai kupitishwa mageuzi ya idara za polisi
Rais Biden amesema ana matumaini kifo cha Tyre Nichols kitashinikiza bunge kuidhinisha mageuzi katika idara za polisi.
Korea Kaskazini yajitayarisha kinyuklia kuidhibiti Marekani
Korea Kaskazini yasema yajitayarisha kuongeza uwezo wake wa silaha za nyuklia kukabili hatua za kijeshi za Marekani.
Ufaransa yakamata shehena ya silaha zikielekea Yemen
Maafisa wa Marekani wamedai kukamata silaha wanazodai zilikuwa zinatoka Iran kuelekea nchini Yemen.
Moscow yaishutumu Washington 'kuharibu' mkataba wa silaha
Urusi imeishutumu Marekani kuwa kuharibu mkataba wa udhibiti wa silaha, baada ya Marekani kusema haifuati makubaliano.
Blinken azungumza na rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi
Waziri wa Mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken amefanya mazungumzo na rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi
Blinken akutana na Rais wa Misri kujadili mizozo ya kikanda
Wakati huohuo,wizara ya afya ya Palestina imesema Wanajeshi wa Israel wamemuua Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi.
Watu saba wauliwa katika shambulio Jerusalem Mashariki.
Shambulio hilo ni miongoni mwa mabaya kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni nchini Israel.
Marekani yaweza kuvimaliza vita vya Ukraine - Kremlin
Kremlin imesema Rais Biden ana uwezo wa kuumaliza mzozo wa Ukraine kwa kuielekeza Kiev, lakini hajawa tayari kuutumia.
Urusi: Marekani imeamua kuzidisha mzozo nchini Ukraine
Marekani na washirika wake wa magharibi wameendelea kuipa silaha Urusi hatua inayozidi kuikasirisha Urusi.
Biden asema kuisaidia Ukraine ni jukumu la ulimwengu mzima
Marekani yaipongeza Ujerumani kwa kutoa vifaa vya kijeshi kwa Ukraine.
Trump kukubaliwa tena kutumia Facebook na Instagram
Kampuni ya Meta inayoumiliki mtandao wa kijamii wa Facebook na Instagram, imesema itazirudisha akaunti za rais wa zamani
Ujerumani kujibu haraka kuhusu vifaru vya kivita kwa Ukraine
Nchi za Magharibi zimekuwa zikiahidi silaha zaidi za ili kuisaidia Ukraine kupambana na mashambulizi kutoka Urusi.
Marekani kuipelekea Ukraine vifaru chapa M1 Abrams
Katika kile kitakachokuwa kubadilika kwa msimamo, serikali ya rais wa Marekani Joe Biden inatarajiwa kutoa ridhaa ya kut
Mshukiwa wa mauaji ya Monterey Park ajiuwa
Polisi nchini Marekani imesitisha juhudi za kumtafuta mtu aliyejihami kwa bunduki aliyewauwa watu 10 huko California, k
Ujerumani: Wanasiasa wakosoa kukwama kupeleka vifaru Ukraine
Inakaribia Mwaka mmoja sasa tangu majeshi ya Urusi yalipoivamia Ukraine.
Zelensky:Muhimu ni vifaru chapa Leopard
Zelensky ameyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa washirika wake Magharibi uliokuwa ukijadili msaada zaidi Ukraine
Ujerumani: Bado hakuna mwafaka wa kupeleka vifaru Ukraine
Viongozi wa Ulaya Ijumaa walitoa wito kwa Ujerumani kutoa idhini ya kupelekwa nchini Ukraine vifaru vya Kijerumani chapa
Teknolojia rafiki yajadiliwa Davos
Teknolojia rafiki yajadiliwa katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia
Safari za ndege zacheleweshwa Marekani
Wakala unaosimamia na kuongoza safari za ndege za shirikisho nchini Marekani FAA umetangaza kusitisha safari zote za nde
Safari za ndege zacheleweshwa Marekani
Wakala unaosimamia na kuongoza safari za ndege za shirikisho nchini Marekani FAA umetangaza kusitisha safari zote za nde
Israel, nchi za kiarabu wajadili usalama Abu Dhabi
Israel imeshiriki mojawapo ya mikutano mikubwa na nchi za Kiarabu katika miongo kadhaa wakati wa kongamano lililofanyika
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Hatimaye McCarthy achaguliwa spika nchini Marekani
Mwanasiasa wa Republican Kevin McCarthy amechaguliwa kuwa spika mpya wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani.
Ukraine yakataa ombi la Putin la kusitisha mapigano kwa muda
Kyiv imetupilia mbali tangazo hilo na kusema hatua hiyo ni hila tu za Urusi, Ujerumani imepanga kuipa Ukraine silaha.
McCarthy ashindwa kupata kura za kuwa spika mpya Marekani
Je, mkwamo huu ni dalili ya kuwepo matatizo ndani ya chama cha Republican?
Bunge Marekani lashindwa kumpata spika kwa siku ya pili
Kevin McCarthy anayetokea California alishindwa katika duru ya nne, ya tano na ya sita ya uchaguzi wa kuwa spika
McCarthy aapa kusalia katika mbio za uspika Marekani
Wajumbe wenye msimamo mkali wa chama chake cha Republican walipinga mara kadhaa jaribio lake la kuchaguliwa kuwa spika
Palestina yalaani ziara ya waziri wa Israel eneo la Al-Aqsa
Ofisi ya Netanyahu ilisema ni ziara ya kawaida ambayo haivunji hadhi ya sasa ya Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa.
K.Kusini na Marekani wajadili mazoezi ya pamoja ya nyuklia
Hayo yamewekwa wazi na Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol.
Wabunge Marekani kumchagua spika mpya
Macho yatakuwa kwenye uchaguzi wa spika wa baraza la wawakilishi linaloongozwa na Warepublican walio na wingi mchache
Wataalamu: Huenda kukazuka kirusi kipya cha Corona
China inashuhudia idadi kubwa ya maambukizi ya Uviko-19 baada ya kulegeza hatua za kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo.
Biden aidhinisha msaada wa dharura New York
Mamakala nchini humo zimeonya kwamba hali mbaya zaidi huenda ikashuhudiwa kwa mujibu wa vipimo vya hali ya hewa
China:Tutaimarisha ushirikiano na Urusi 2023
China imeyasema hayo kwenye mkutano wa njia ya video na kuilaumu Marekani kwa sera ilizoziita mbovu
Biden, Zelenskiy wajaribu kuizuwia Congress kusitisha msaada
Lakini ni uvumilivu kiasi gani zaidi litakuwa nao bunge lililogawika na umma wa Marekani kwa vita hivyo?
Urusi: Hatua ya kuipa Ukraine silaha zaidi yazidisha mzozo
Urusi imesema kuzidi kuipa Ukraine silaha kunazidisha mgogoro huo.
Mmiliki wa Twitter Elon Musk atangaza kuachia ngazi
Mmiliki wa Twitter Elon Musk atangaza kuachia ngazi
Rais Volodymyr Zelensky kuzuru Marekani
Rais Volodymyr Zelensky anatarajiwa kuwasili Marekani Jumatano, ziara yake ya kwanza tangu uvamizi wa Urusi Februari 24.
Wabunge Marekani wataka Trump ashtakiwe
Trump amepinga mashtaka dhidi yake na kuyataja kuwa njama ya kumzuwia kugombea tena urais.
Biden: Afrika inastahili dhima kubwa zaidi duniani
Rais wa Marekani Joe Biden ameunga mkono hatua ya Afrika kuwa na dhima kubwa duniani na kuapa kuwa mstari wa mbele katik
Ulaya yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Umoja wa Ulaya watangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi.
Marekani kuipa Ukraine mfumo wa Patriot, Urusi yatoa onyo
Vita kati ya Urusi na Ukraine vimeingia mwezi wa 10 sasa na kusababisha vifo, hasara na uharibifu mkubwa, Ukraine.
Blinken: Marekani kutoa tangazo 'zito' kuiunga mkono Afrika
Blinken amesema Marekani itatoa tangazo zito Ijumaa kuunga mkono uanachama wa kudumu wa Afrika katika kundi la G20.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 66
Ukurasa unaofuatia